ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,810
- 39,547
1. Emma ndo turufu ya mwisho iliyobaki CCM kusawazisha mambo na ikiwezekana awapumbaze.
2 JK anamtumia Emma kimkakati
3. Emma anamtumia nguvu ya Utanganyika,
JK anamleta Emma anajua majority watampokea kwakuwa ni Mtanganyika
4. Emma anakuja Kwa mbinu ya udini (ukatoliki) anajua kwakuwa watu wanalalamikia muislam wa Unguja Sasa Wacha aje huyu
5 anatumia historical background ni mtu ambaye hakuwa na skendo mbaya za ufisadi na mauaji
6. Wanamtumia Emma wakimpa agenda ili aonekane kuwa ni anti Samuya.
Adai katiba mpya, apinge mauaji n. K
8. Nimetabiri hatufuki 2030 kabla Emma hajajiuzulu, laZima ajiuzulu ili ionekane hayuko kundi like la mashetani
9 Emma ni walewale ni mpango wa JK na Rostamu wake
Wanataka wampachike
10. Tumpuuze Emma Watanganyika wenzangu