kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watu wa nje hawawezi kutupenda kuliko tunavyojipenda sisi wenyewe. Au kama hatujaamua kupendana

    Hamjambo! 1. Ni Makosa kuamini watu wa nje wanaweza kutupenda kuliko tunavyopendana wenyewe kwa wenyewe. Hilo ni kosa. 2. Nitazungumza kisaikolojia alafu nitachanganya na siasa kidogo. Ambapo kote kunahusu mahusiano baina ya watu ndani ya jamii au taifa na kimataifa. 3. Kisaikolojia binadamu...
  2. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Nini kinamfanya Emmanuel Nchimbi kuwa na furaha muda wote kuliko kiongozi yeyote nchini?

    Mayi! Mimi mwenyewe au nanyi mwaona? Yaani Emmanuel bhana anafuraha muda wote kuliko kiongozi yeyote hapa nchni. Anayefuata ni Baba Levo. Nyie embu nijuzeni kunani? Maana sio bure. Jamaa yenyu stress Hana. Amzidi furaha Mama Samuya, samuya body language yake tuu yaonyesha ako na stress full...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Umoja wa Mataifa ulete mchunguzi huru, Mauaji yaliyofanyika ni makubwa kuliko inavyodhaniwa

    Umoja wa Mataifa kupitia baraza lake la usalama utume mchunguzi huru na ukweli ufahamike. Maana haya hayakuwa mauaji dhidi ya waandamanaji bali ni mauaji dhidi ya raia wasio na hatia. Jana kuna familia wamefanya ibada ya mazishi kwa kutumia picha ya mpendwa wao ambae hajaonekana tangu oktoba...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Bora tuwe na serikali mseto kuliko kutumia mbinu za kijima,kishamba kwenye chaguzi zetu hizi!

    Wakati mwingine natamani nichukue fimbo niwachape viboko makada wazee wa chama changu ccm mpaka basi! Hivi kilichofanya Hadi mkachelewesha katiba Hadi Leo tunakosa option ya ushindi Hadi tumwage damu kiasi hiki ni nini!!? We mzee kikwete kilichokufanya usisimamie katiba mapema ipatikane na...
  5. concordile 101

    JamiiForums Tanzania Jinsi kikundi cha watekaji cha wasiojulikana kinavyoweza kuja kuwa na nguvu kuliko JWTz tukizembea

    Katika miaka ya karibuni, baadhi ya matukio ya utekaji na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu yamehusishwa na kile kinachoitwa kikundi cha wasiojulikana nchini Tanzania. Ingawa taarifa zao ni za kusikika tu bila ushahidi wa wazi, mjadala kuhusu uwezekano wa kikundi hiki uongezeka na tishio...
  6. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Kelele ni nyingi kuliko ukweli

    Kwanza naomba kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na mwenye uhai wetu kwa kutuweka tuwe hai hadi sasa. Pili nipongeze jitihanda mbalimbali za serikali, asasi za kirai, taasisi za kidini, jumuiya za kitaifa na kimataifa kwa kuwa mstari wa mbele kutafuta suluhu na mstakabari mwema wa taifa...
  7. Criss

    JamiiForums Tanzania Kuliko kupata mateso mara mbili, si bora tukomae atoke!

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa rasilimali fedha kutokana na mauaji aliyoyasababisha . Hii maana yake ni kwamba Taifa lijiandae kupitia magumu plus kwa sababu ya unjinga wa kikundi cha watu wachache kushindwa kufanya maamuzi yenye busara ...
  8. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Viongozi ambao inasemekana sio wazawa, ndo wameonesha wana uchungu na NCHI hii kuliko hawa wazawa?

    Wakuu, Amani iwe NANYI. Nimetafakari kwa kina, Sijapata majibu. Kwa nini hawa viongozi wanao semwa sio wazawa hivyo wapishe nafasi zao, Utendaji kazi wao ulionekana hauna mawaa, Hawana skendo za ufisadi, Matumizi mabaya ya madaraka nk. Ni viongozi ambao wamekua wakikubakika katika jamii hata...
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara?

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara? Huu ni utafiti wangu tu TANZANIA KWANZA
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania linahitaji "inner engineers" wakati huu kuliko wakati wowote ule: Tumevuta nguvu hasi " negative energy" kwa kiwango kikubwa sana

    Wapo wapi "Mystic figures" wa Kitanzania wakati huu?. Yapo wapi mafundisho na mafunzo ya kujitambua badala ya kutambulishwa? Wapo wapi watu watakaosaidia wasijua kusudi la uwepo wao kulijua kusudi hilo kama anavyofanya Sdhguru India?. Je tuna tayari wa kuwasikiliza? Wapo wapi watu watakaofunua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika akishapata Ajira, Cheo au biashara hana habari na mambo ya haki, mali, wala shida za Tanganyika

    Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
  12. sergio 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sasa mimi ndiye mwenye mpenzi mzuri kuliko wote Tanzania

    Siitaji kusifiwa maana nishasifiwa sana Ila ni mwanamke ambae kila mwanaume anamtamani Mara nyingi nimeshawahi kwenda nae BAR kwa heshima watu wanatupisha kutuachia seat tena madingi na heshima zao Tuna tembea njiani watu kupark gari kuomba watusindikize tunakoenda NB: hii ni story kutoka...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maisha ya watu ni muhimu kuliko biashara au kitu chochote

    Habari za leo! 1. Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana. 2. Kuendesha biashara ikasimama ni kazi ngumu sana. Inahitaji uvuje jasho na uwe mstahimilivu. 3. Najua uchungu wa kuibiwa biashara na kuvunjiwa biashara uliyoisotea kwa miaka na miaka. 4. Kwa kujua hilo ndio maana tunawapa pole wale...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi

    Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi.
  15. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Mungu anatajwa sana kuliko Israel, Vatican na Mecca na hili ndo chanzo cha matatizo yote

    Dar ni automatic sauna Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu. Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip...
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Napata amani nikijitambulisha kama MTanganyika kuliko MTanzania

    Siku za hivi karibuni ,nimejikuta napata faraja Kila nikilitamka neno Tanganyika. Najisikia fahari sana kujitambulisha mbele za watu hususani wageni kama MTanganyika na sio mTanzania.. Inanifanya nijihisi karibu zaidi na asili yangu , chimbuko langu, wazee wangu na watu wetu wazuri ..Kila...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Sarafina 1987: The Soweto youth uprising scene. Sasa nimeona maana yake, ina uhalisia kuliko nilivyodhania kabla..!!

  18. Keynez

    JamiiForums Tanzania "Umkhonto we Sizwe" (MK) ilianzishwa na kina Mandela baada ya mauaji ya watu wachache kuliko waliouawa kwenye MO29

    Fuatilia historia ya Afrika Kusini na harakati zao za kutokomeza ubaguzi wa rangi. Kuna kitu walikianzisha kinaitwa "Umkhonto we Sizwe". Hii ni project maalumu iliyoanzishwa baada ya mauaji yanayojulikana kama "Sharpeville Massacre" yaliyotokea March 21, 1960 baada ya serikali kutumia nguvu...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa unyama huu, nachukia muungano kuliko hata shetani Samuya

    Bila huu muungano mgongano tungekuwa na shetani kati yetu? Japo bado yupo njaa Kikwete, tusingekuwa na hii ghasia kusema ule ukweli. Tuvunjilie mbali huu uzwazwa tuone watakwenda wapi. Natamani komredi Mtikila angekuwa hai.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ni ya thamani kuliko uhai wa watanzania

    Waliotekwa, waliouawa hatuoni wala hatuumi. Ila tumeona miondombinu ikiharibiwa na imetuuma. Hii haikubali. -Yaani hotuba zote za wenye mamlaka ya juu katika nchi hazigusii uharibifu wa uhai wa watu. Ila uharibifu wa mali na miundombinu. -Hotuba hazionyeshi kukubali kuwa wapo waliotekwa, au...
Back
Top Bottom