Akihojiwa na vyombo vya habari mitandaoni, Mamluki huyo ametamba kwamba yeye ni Taasisi na ni Mkubwa kuliko Chadema.
Ikumbukwe kwamba Yericko hana Cheo chochote CHAUMA Bali ni mbeba begi wa Salum Mwalimu
Kwa kauli yake hiyo mnadhani ana akili timamu au ni kichaa kamili?
Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao
Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita.
Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
abiria
airport
arusha
bajeti
dar
fedha
ila
inashangaza
kidogo
kiwango
kuliko
kuona
kutengwa
mapato
mara
mwanza
mwanza airport
ndogo
ni kwanini
ni ya
nyingi
pili
sawa
shughuli
sio
uwanja
vingine
viwanja
wengi
zaidi ya
WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa...
Mahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta...
Watu wamejitokeza kwa wingi lakini wananipa mashaka kama wameenda kwa hiyari yao au wamekusanywa kwa malipo.
Rio Ferdinand alishastaafu mpira miaka hiyo. Hakuwa na ushawishi mkubwa sana ukizingatia alikuwa anacheza nafasi ya beki.
Sasa kwa nyomi iliyojitokeza imenipa maswali maana hata wengi...
Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania.
Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji na bila nafasi ya kujenga viwanda vya dawa nchini.
Wakati huo huo, kila siku serikali inaendelea...
Anonymous
Thread
andiko
dawa
jambo
kuagiza
kuliko
mabilioni
mitaji
moja
serikali
uovu
vijana
wageni
wakati
wake
wataalamu
wengi
Firstly, nakumbuka walivyofurahia vijana wa tanzania kuuliwa na hamas kipindi kile, walivua utanzania kabisa na kushabikia hamas kisa tu ni kobaz wenzao. Pia mnajua upande gani waliokuwa juzi hapa.
Then, fuatilia nyuzi zao, wako tayari kusimama na muuaji haijalishi ni ukatili wa namna gani...
Nchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga
Halafu pia tumfanyie figisu kwenye kiwanda chake cha Mtwara , haiwezakini akadharau maamuzi ya...
Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa mapenzi Fatilia matukio ya usaliti kuuana kuchinjana wanawake wakikristo wanaongoza wao headlines zote...
Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa hoja hizi ukoje ikiwa kati ya watu 10 maskini, 7 ni wanawake?
Sir David Attenborough, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 leo, amesafiri karibu kila kona ya Dunia kama sehemu ya azma yake ya kuwaelimisha wengine kuhusu ulimwengu wa asili.
Mtangazaji huyo, maarufu kwa sauti yake ya kipekee ya utulivu, aliweka viwango vipya vya makala za...
Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa kuna mende anayetoa maziwa” yenye virutubisho vingi zaidi kuliko maziwa ya ng’ombe.
Taarifa hizo zinadai kuwa mende wa aina ya Pacific Beetle Cockroach, ambaye huzalisha kimiminika maalumu cha lishe kwa watoto wake...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wa kizazi cha 2000 (Gen Z) kuelekeza nguvu, muda, na rasilimali zao katika starehe na teknolojia; ikiwemo mitandao ya kijamii, gaming, mavazi, kamali(kubeti), na ajira za mtandaoni, badala ya sekta za uzalishaji kama kilimo na biashara ambazo zilikuwa uti wa...
Habari zenu
Nimefika Dodoma nikaopoa kipoozeo flani hivi hapa mitaa ya nkuhungu.
Oya,hiki kitoto cha kihehe kina mbunye ya moto na tamu balaa,kinakata mauno kama feni.
Kwa kweli wanawake wa Dar inabidi mjitafakari sana kwa huu upinzani ulioibuka huku Dodoma.
Vita vya hivi karibuni vitakuwa 'shida moja kubwa' ikiwa uranium iliyosafishwa ya Iran haitaondolewa kwenye mikono ya magaidi hao— afisa wa IDF alisema.
Afisa wa jeshi la Israeli anasema kwamba ikiwa akiba ya zaidi ya kilo 400 za uranium iliyosafishwa hadi 60% haitaondolewa kutoka Jamhuri ya...
Kuna timu imeshaona itaaibika iwapo mechi zote za ddrby zitachezeshwa na waamuzi kutoka nje na kwa hiyo imeanza kampeni kali ya kuonesha mwamuzi wa Kenya aliyechezesha mechi ya derby hafai.
Simba huwa wamezubaa na kuziacha kelele hizi ambazo zinaweza kusababisha kughairishwa kwa utaratibu wa...
Naomba kuuliza swali,
Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa?
Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
Anonymous
Thread
kila siku
kuliko
magari
magari ya serikali
serikali
siku
wao
wengine
wenye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.