kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

    Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo. Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi watu kutanguliza Uislam au Ukristo kwenye mambo nyeti kuliko Utaifa maana yake nini?

    Wasalaam JF, Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuliko kununua gari used Bongo bora usubiri uagize tu used Japan

    Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani. Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea. Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini imezoeleka wenye vyeo ama wanaofanya kazi baadhi ya taasisi wanaheshimiwa zaidi kwenye jamii kuzidi wafanya biashara wenye pesa zaidi

    Watu wakiwa na vyeo ama wanafanya kazi taasisii flani unakuta wanaheshimiwa kuzidi wafanya biashara, wakulima, wafugaji, n.k. wenye pesa zaidi, kwanini ? Top shelf- Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa taasisi, n.k. Mahakamani - mahakimu ha majaji Jeshini - Wengi wakivaa gwanda tu...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Sehemu tajiri kuliko zote ulimwenguni, taifa tajiri la Tanzania 2050

    UTANGULIZI Miaka 7 iliyopita niliamua kufanya uchunguzi na tafiti mbalimbali kwa nini mataifa mengi sana ya afrika ni masikini pamoja na taifa letu la Tanzania. Katika uchunguzi na tafiti zangu niliamua kusoma historia ya ulimwengu wa kale,nikasoma na ulimwengu wetu wa sasa na nikasoma...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Titanic, Meli nyingine kubwa zaidi duniani ipo tayari kuanza safari zake mwaka 2024

    Utengenezaji wa Meli inayotajwa kuwa kubwa zaidi duniani umekamilika nchini Finland na tayari imefanya majaribio ya kwanza ya safari ndogo kabla ya kukabidhiwa rasmi Oktoba mwaka huu ili mwaka January 2024 ianze safari zake. Meli hii yenye ukubwa wa mita 365 (wastani wa viwanja 3.5) itakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ndo mapenzi ya yanavyouma bora kuumwa kabisa kuliko kuugua mapenzi

    Saa tisa usiku kasoro nipo namsikiliza msanii wangu pendwa enrique yule wa hero huku nikiangalia kidonda changu cha mapenzi ambacho kinamalizia kupona ...kama unanifutuatilia utajua uzi flani flani nilizoandika maana humu kwangu sehemu yangu ya kuwekwe kumbukumbu za matukio yangu...
  8. JamiiForums Tanzania Makubaliano yaliyopitishwa bungeni ni makubwa kisheria kuliko mkataba wowote wa bandari utakaotengenezwa

    Kumekuwa na upotoshaji wa kimakusudi unaofanywa na spika, baadhi ya wabunge, viongozi wa serikali na wapiga debe wengine wa sakata la Bandari kupewa DP world. Wapiga debe hao wamekuwa wakisema kilichopitishwa bungeni ni makubaliano tu ya ushirikiano na sio mkataba, hivyo makubaliano hayo ni...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania tumekopa kwa shughuli binafsi zaidi kuliko kwa ajili ya biashara na kilimo

  10. JamiiForums Tanzania Bora kuufuta kwanza mkataba wote wa bandari na DP World kuliko kujaribu kurekebisha chochote ili ufae

    Tanzania tupo kwenye mjadala mzito unaohusu bandari na waarabu wa Dubai (DP world), na kiini cha mjadala wote ni kuhusu dosari za kimsingi zinazounguka mkataba wenye. Jambo moja la wazi linalokubalika na pande zote katika mjadala huu ni kuwa, sote (serikali na wakosoaji) tunakubali kuwa mkataba...
  11. JamiiForums Tanzania Malezi ya Mama pekee husaidia kugundua kipaji kuliko ya wazazi wote wawili

    Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti, 1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Bora Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kuliko Waarabu wa DP World

    Baada ya kudodosa dodosa mikataba ya makampuni ambayo yamejikita katika uwekezaji wa Bandari, nimeona na nimejiridhisha kabisa kwamba, masharti ya Wachina kwa Bandari ya Bagamoyo, yalikuwa nafuu kuliko hawa jamaa wa DP World. Zifuatazo ni baadhi ya sababu zilizonifanya nifikie maamuzi haya: 1...
  13. JamiiForums Tanzania Kitu rahisi kuliko vyote dunia ni kulalamika

    Habari wakuu, nimefanya utafiti mdogo nimegundua kitu rahisi kuliko vyote dunia ni kulalamika. Asilimia kubwa ya watu wanaopenda kulalamika huishia kuwa masikini, na ndio maana umasikini ni synonym ya kulalamika. Na pia nimegundua kitu kigumu zaidi duniani ni kuwajibika. Kuwajibika na kutimiza...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi duniani itaendelea duniani kama siasa inalipa vizuri kuliko viwanda

    Katika quote maarufu za siasa Kuna hii ambayo inatabiri maendeleo ya nchi na watu wake. Inasema "katika nchi ambayo utajiri wa haraka kabisa ni kuwa MWANASIASA kuliko kufanyabiashara, kulima, na kuwa mwekezaji" Basi umasikini wa hiyo nchi mkubwa wa kutupwa kwasababu katika hiyo nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Bandari mambo mazuri kuliko tunavyofikiria. DP World

    Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu. Jifunzeni kutafuta fursa. Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao. Hatuna ujanja, sisi...
  16. JamiiForums Tanzania Ushahidi: Sikubaliani na hoja ya kwamba walimu wengi ni failure wa kidato cha nne au sita

    Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu. Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita Binafsi nimejaribu kufuatilia hili kwa muda mrefu, na nimekuwa nikisoma guide books za kila mwaka. Ninachoona ni...
  17. JamiiForums Tanzania Kwetu ni bora uvunje glass cup kuliko kuacha kwenda Kanisani. Kuna mwanamke mwenye sifa hii?

    Wakubwa shikamoni na wadogo wote hamjambo.. Niseme jambo langu, nimeanza na kujieleza kuwa nimekulia familia ya ibada - Mkristo. Kitu cha kwanza nilichogundua katika maarifa na hekima niliyopata kupitia imani yangu ni kwamba maisha ya binadamu au kila jambo linalotokea kwa binadamu huanzia...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

    Wakuu, Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili. Nasema nimegadhabishwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma. Moja ya mkoa huo ni Shinyanga. Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%. Kinachoshangaza ni...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Watu wanaosema tukajiajiri ni wale ambao tayari wana Vyeo na Nafasi Serikalini: Kujiajiri kunahitaji Elimu Kubwa Kuliko ya Kukaa Ofisini

    Utangulizi Kelele zilisikika zikisema “watu ambao wanasema vijana tukajiajiri ni wale waliokaa maofisini, wao tayari wana vyeo na nafasi, kujiajiri sio kitu rahisi, ingekuwa ni rahisi na wao wajiajiri basi, watulee kwanza kufanya biashara ili tunapokua tuweze kuwa wafanyabiashara bora. "Hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…