Baada ya Titanic, Meli nyingine kubwa zaidi duniani ipo tayari kuanza safari zake mwaka 2024

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Utengenezaji wa Meli inayotajwa kuwa kubwa zaidi duniani umekamilika nchini Finland na tayari imefanya majaribio ya kwanza ya safari ndogo kabla ya kukabidhiwa rasmi Oktoba mwaka huu ili mwaka January 2024 ianze safari zake.

IMG_7767.jpeg


Meli hii yenye ukubwa wa mita 365 (wastani wa viwanja 3.5) itakuwa na uzito unaokadiriwa kufikia tani 250, 800, itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 5610 na wahudumu 2350.

Meli hii yenye mabwawa 16 ya kuogelea imekamilisha majaribio yake ya kwanza ya kusafiri baharini Juni 22, 2023 ambapo ilisafiri mamia ya maili ili kujaribu mifumo yake kadhaa ikiwemo ile ya umeme, usukani, breki na kelele ilionekana kuwa na ufanisi mkubwa.

====

A vessel that’s set to be the world’s biggest cruise ship has completed construction at a shipyard in Finland and has made its first foray into open water for sea trials ahead of likely delivery in October this year.

Royal Caribbean International’s Icon of the Seas is a mammoth 365 meters long (nearly 1,200 feet) and will weigh a projected 250,800 tonnes. For comparison, that’s like trying to keep two CN Towers afloat.

When it sets sail on Caribbean waters in January 2024, it will comfortably hold some 5,610 passengers and 2,350 crew. The boat’s piece de resistance will be the world’s largest waterpark at sea. Named Category 6, it’ll feature six record-breaking water slides, but guests who want a more leisurely experience can also relax in the boat’s seven pools and nine whirlpools.

It’s being built at Meyer Turku shipyard, one of Europe’s leading shipbuilders, in Turku, Finland. At an on-site press panel earlier this year, Royal Caribbean International president and chief executive Michael Bayley told media that the vessel was on track to join the Royal Caribbean fleet on October 26, ahead of its 2024 debut.


The current title holder of world’s largest cruise ship is another vessel in the Royal Caribbean fleet, Wonder of the Seas, which made its inaugural voyage just last year and is a slightly teensier 1,188 feet in length, with a mere 18 decks to explore.

Royal Caribbean International is pitching Icon of the Seas as the cruise line’s evolutionary peak, using the latest technology and building on 50 years of learnings through the company’s history.

“We are positioning it as the ultimate family vacation and when you step back and look at all the energy and time that has gone into creating this ship it is mind-blowing,” Bayley said.

The Icon completed its first set of sea trials on June 22, according to a Royal Caribbean statement.

“During her first set of sea trials, Icon of the Seas traveled hundreds of miles, during which the main engines, hull, brake systems, steering, noise, and vibration levels were all tested,” the statement said. “Everything was done on time as outlined in the schedule, despite her departure being delayed due to wind conditions.”

The ship promises more than 40 ways to dine, drink and be entertained, many of which are included in the cruise fare. With 20 decks and eight neighborhoods to explore, the idea is to cater to every type of vacationer, with everything from areas dedicated to young families, to adults-only spaces such as Royal Caribbean International’s first dueling pianos bar.

There are 28 different types of accommodations, with more categories for families, more layouts with ocean views and more space for group travelers. The cruise line says it’s the longest timeframe it’s ever dedicated to “designing the perfect home base.”

Icon of the Seas is also Royal Caribbean International’s first ship powered by liquefied natural gas (LNG) and fuel cell technology, as part of the company’s move to a clean-energy future.

2,600 workers per day​

Some 2,600 workers have been grafting on Icon of the Seas each day. For the sea trials, hundreds of specialists were on board to assess performance over four days.

Royal Caribbean says a second set of sea trials is scheduled for later in 2023.

Buzz about the ship is such that advance sales have been record-breaking. Michael Bayley is reported to have described Icon of the Seas during the company’s quarterly financial results as “literally the best-performing new product launch we’ve ever had.”

Icon of the Seas will sail seven-night Eastern and Western Caribbean vacations from Miami all year round. Every sailing will include a visit to Perfect Day at CocoCay, Royal Caribbean’s award-winning private island destination, as well as its new expansion, Hideaway Beach.

CNN
 
Zipo meli kubwa zaidi ya titanic tu muda mrefu so hii sio ya kwanza
Ipo Sea Giant
Queen Mary
Harmony of the sea
Symphony of the seas
Meli kubwa nyingi ni kwa ajili ya cruise maana kwa sasa tofauti na cruising hakuna mtu anasafiri continent to continent kwa meli wakati kuna ndege.
 
White people huwa hawachoki au hawakati tamaa, baada ya titanic ikaja nyambizi nayo ikapotea na watu.

Hatujii hii meli mpya itakuwaje.

Ila wakumbuke kuwa Mungu yupo, na wampe Mungu Utukufu wake.
Sasa kwa uonavyo na uhisivyo watu weusi hasa wa Africa tunazitendea haki kweli akili tulizopewa na Muumba?

Hapa tu ni akili ya huyo mtu mweupe inafanya tunawasiliana kirahisi kabisa
 
naona Bahari inataka roho zingine …

uzuri kuna vitu vingine unabaki kuvisoma hewani wala hata harufu yake hutasikia maana hata hio milioni 4 ya nauli sijawahi kuishika labda nikacheze kamali kama yule kwenye Titanic 😁
 
Meli kubwa zaidi duniani inayoitwa "Icon Of The Seas" iko karibu kuanza safari zake hapo mwakani kuanzia Januari 2024.

View attachment 2675246

Meli hiyo inayotengenezwa nchini Finland na kampuni ya kutengeneza meli iitwayo Royal Caribbean International itakuwa na uwezo wa kubeba abiria wapatao 5610 na idadi ya wafanyakazi 2350.

Meli hii ya Icon Of The Seas inasemekana ni kubwa mara 5 zaidi na nzito kuliko Titanic yenyewe ina uzito wa tani 250,800, wakati Titanic ilikuwa na uzito wa tani 50,210.

Hadi muda huu unaposoma hii mada, tayari maelfu ya watu mbalimbali wamekata tikiti ili kuwa miongoni mwa abiria wake wa kwanza kusafiri na chombo hicho.

NB: Vipi ingekuwa bongo baada ya kile chombo cha OceanGate kupata ajali, muda mfupi wakatangaza kuanza safari nyinge je ungelipia?.

Ndivyo ilivyo kwa meli hii, mjadara unaendelea kutofautisha na titanic ila watu kama wote wanalipia mtoko na chombo kipya, vipi wewe Mtanzania?.
Childhood mates wametisha mno kuliko hata ile meli ya Mchina

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom