Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

Miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
288
502
Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma.

Moja ya mkoa huo ni Shinyanga.
Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%.

Kinachoshangaza ni jiji kama Arusha kuzidiwa na hata morogoro huku kilele zikiwa nyingi. Kwa takwimu hizi ni wazi kuwa kanda ya ziwa ni eneo zuri kuwekeza na kufanya biashara mbali na Dar.

Ref.
IMF 2019.

Maajabu hata Tanga imeizidi Arusha!
 
Maajabu hata Tanga imeizidi Arusha!
Sio Maajabu ipo Hivyo miaka yote, watu tu wabishi.

Tanga na Shinyanga hii Ni mikoa ambayo inazalisha sana Nchi hii ila hela inayorudi kwa Ajili ya Maendeleo ni Ndogo.

Shinyanga wana Madini na Tanga wana Viwanda.
 
Kuna miji inakua, inamaendeleo nk ila haipigi makelele kama Arusha nk, inafanya mambo kimya kimya hutasikia makelele kama ya Arusha
 
Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma.

Moja ya mkoa huo ni Shinyanga.
Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%.

Kinachoshangaza ni jiji kama Arusha kuzidiwa na hata morogoro huku kilele zikiwa nyingi. Kwa takwimu hizi ni wazi kuwa kanda ya ziwa ni eneo zuri kuwekeza na kufanya biashara mbali na Dar.

Ref.
IMF 2019.

Halafu unaleta list za mwaka 2019 uko...kipindi icho wasukuma walikuwa wanashika nchi ..em leta za mwaka 2023 tuone
 
Back
Top Bottom