kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kima

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania China ni maswahiba wa Urusi ila raia wake wamajaa Marekani kuliko Urusi!

    Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa. Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maridhiano yanahitajika haraka sana ndani ya uongozi mpya wa chadema, hali inaweza kua mbaya zaidi mbeleni hilo lisipo tiliwa maanani

    Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema. Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa...
  4. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Arab contractor wanakabidhi bwawa la umeme, watu elfu 11 wameshiriki kulijenga, ndio Mradi Mkubwa wa kiuhandisi kuwahi kutokea Tanzania

    Muda si mrefu kampuni ya ujenzi inakabidhi bwawa la umeme. Ujenzi wa bwawa hilo ndio biggest engineering project kuwai kufanyika Tanzania na Africa mashariki yote. 1. idadi ya watu 11856 wamefika rufiji na kushiriki kulijenga 2. Raia wa mataifa 56 tofauti wamefika rufiji kushiriki kulijenga...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Pamoja na utajiri wake; matatizo ya Elon Musk na familia yake ni makubwa kuliko maskini

    Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:- 1. Wake wa Zamani Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti: Justine Musk (2000–2008): Justine alikuwa mke wa kwanza wa Musk, na walizaa watoto watano pamoja...
  6. Moaz

    JamiiForums Tanzania Sababu Za Wageni Kufanikiwa Zaidi Kibiashara Afrika Kuliko Wazawa na Nini Tufanye Ili kujinasua na hili Tatizo

    Wageni wanapofanikiwa zaidi kuliko wazawa katika nchi nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, kuna sababu nyingi za msingi zinazoeleza hali hii. Wageni mara nyingi wanauelewa mfumo wa kiuchumi, kisheria, na kiutawala kwa namna ambayo huwapa faida kubwa. Pia, kuna masuala ya kihistoria, kisera, na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saed Ramovic: Ligi ya Algeria ina Ushindani mkali kuliko Tanzania, ambapo kuna timu Tatu tu!

    Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema, "Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki...
  8. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

    Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi. Ina maana Mungu amewaumba wachamungu waje kupata matatizo hapa duniani?? Mashoga Majambazi...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waafrika wahamiaji Ulaya na Marekani wanajiona wazalendo sana kwa mataifa yao mapya kuliko kizazi cha watumwa.

    Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa! Wao...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha asomae na afahamu ujio wa Mungu utakuwa wa haraka kuliko inavyodhaniwa

    Ufunuo wa Yohana 22:10-21 10 Akaniambia, Usiyatie muhuri maneno ya unabii wa kitabu hiki, kwa maana wakati huo umekaribia. 11 Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa. 12 Tazama, naja...
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

    Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k. Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  13. THE FIRST BORN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  14. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipa wa Simba anachezeshwa mpira kuliko straiker, winga na kiungo

    Hapo vip!! Katika pita pita mitandaoni nimekutana na andiko kama hili nikaona inaukweli mkubwa sana. Mimi nimshabiki wa Simba ila sijawahi kuelewa huu mpira wa kurudisha nyuma unaochezwa na Simba,ni mpira wa kipxmbavu na wa ovyo sana kwasababu imekuwa ikitugharibu mara nyingi. Yaani kipa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la Maria Space ni bora kuliko la Tulia- Tanzania

    Yaani ulisikiliza Maria space ndiyo utajua kuna watanzania wengi tu wenye akili na hoja. Watanzania wanajadili mambo ya msingi kuliko bunge ambalo ni bunge la uchawa na kusifia tu. Hakuna mjadala wa maana kwa sasa. Kama unataka kujifunza na kuelewa Tanzania ni hapa Jamii na Maria Space. Je kuna...
  16. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa usajili wa mpanzu ndiyo hasara kubwa kuliko yote ligi kuu

    I salute you kinsmen Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao zinaona aibu kuwavunjia mkataba. Huyu Mpanzu ndiyo garasa kuu kuliko mengine maana ameletwa kwa...
  17. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi husikiliza marafiki zao wa kiume zaidi kuliko wapenzi wao linapokuja suala la mahusiano. Lakini je, hii ni sahihi?

    1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa marafiki. 2️⃣ Si marafiki wote wanatoa ushauri mzuri. Wengine wanakupa maoni kutoka kwenye uzoefu wao...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vya kibiashara vya Trump ni hatari kwa Marekani kuliko vita vya silaha ilivyopigana na inavyoshiriki mataifa ya nje

    Katika vita vya silaha taifa la Marekani limetia hasara kubwa maeneo mengi duniani na hawajawahi kushinda hata sehemu moja. Wamepigana Afghanistan na hatimae wakashindwa na kukimbia mbio nyingi.Iraq nako ni kama hivyo.Libya mpaka balozi wa Marekani aluliwa ubalozi wao ulipochomwa moto. Ukienda...
  19. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Naomba tuweke mambo sawa Rwanda wahutu ni wengi kuliko watusi. Hii ni kwa wale ambao tumewahi fika Rwanda

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Nimeona nije hapa niweke mambo sawa Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi sana kuliko watusi Robo tatu ya watu wa Rwanda ni wahutu Asante sana kwa kunisikiliza Sisi wafuasi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

    1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe 2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani. 3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja Naona hili dogo la Dr...
Back
Top Bottom