kulala

Kulala (plural: Kulals, also known as Moolya) is a caste of India.
The Kulala community is found primarily in the Kasaragod district of Kerala state in India, where they have several exogamous gotras, including Banjan, Banjera, Salian and Upian. They speak the Tulu, Kannada and Malayalam languages. Another Kulala community exists in Andhra Pradesh, where they speak the Telugu language and are also known as Kummara and variants of that name, such as Kumbara and Kummari.The traditional occupation of Kulala people is making pottery, although in the present day their occupations also include government service and wage-labour. Despite this, they held the respect of other communities and their product was an essential item.

They belongs to other backward class.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania CUF fufueni "Blue guard", CHAUMA anzisheni "Hakuna kulala", na ACT mje na "Nchi ni yetu sote" ili kujibu mapigo ya chipukizi wa CCM

    Nashauri vyama vya upinzani kuamka na kuanza kuandaa nguvu ya kupambana na ccm. Huku mitaani nimeona viongozi wanaotokana na ccm wanaandaa vikundi vya ulinzi na usalama kama maandalizi ya uchaguzi ujao. CCM Imeandaa Green guards na chipukizi. CUF kulikuwa na Blue Guard, nawashauri muifufue na...
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kweli kupiga nyimbo za ibada kwenye nyumba za kulala wageni?

    Kuna Guest House moja mbali na mtaani kwangu huwa napenda kwenda kufanyia tabia mbaya. Hii Guest ni imetulia sana, hata entrace zake ni rafiki kwa ajili ya wanachama wa ndoa zao Imeibuka tabia mbaya ya kucheza nyimbo za dini pamoja na mahubiri kutoka redioni ama runingani. Msimamizi huyo wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kulala njaa kwa kukosa pesa ya kula? Ulifanyaje?

    Hii ilinitokea kati ya mwaka wangu wa 2 na wa 3 wa chuo kikuu. Nilifanya kibarua cha kuhudumu kwenye mgahawa kila nikitoka chuo ili kujikimu na mahitaji yangu ya chuo, Pesa ilikua ngumu sana. Nilijiskia aibu ila ilibidi nifanye kile nilichokifanya ili niweze kuishi. Kuna muda nilikua nakusanya...
  4. Guacamole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

    Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi. Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi. At the end naambiwa siko romantic! Mnaoweza haya mambo hebu...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kutumia Mkate, Nyama ya Kukaanga, Coca, Kababu au Tambi kabla ya Kulala?

    Wadau nimekutana na hiki kitu kwamba ni hatari kwa Binadamu yeyote kula vyakula kama Kababu, Suya, vinywaji vya Coca, Nyama ya Kukaanga kwa Mafuta na Mikate yenye Ngano kabla ya kwenda kulala. Je, lina ukweli kiasi gani hili?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Jiongezeni Wakuu wa Shule; ni kwamba achaneni na habari za mahafali mtapigwa mawe!

    Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa. Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu. Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

    Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika...
  8. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MPENZI wako alishawahi kulala usingizi wakati mna-do?

    Nipo na shosti hapa analalamika kuwa Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea Eti unamsaidiaje shosti wangu??
  9. DON YRN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba tengefu kwa ajili ya uzinzi na uasherati?

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika. Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati? Wako katika ujenzi wa Taifa, DON YRN.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Je, kulala kwenye floor kunapunguza uzito?

    Eti kulala kwenye sakafu kunasaidia uzito kupungua?
  11. stan john

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Lodge au Hotel ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo. Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Je, kulala kwenye sakafu kunasaidia kupunguza uzito?

    Nimekutana na jamaa anadai kuwa mtu akilala kwenye floor au tiles basi atapungua kilo moja, je Kuna ukweli gani kuhusu hili?
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

    Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako. Chumba cha pili ndo ulale na huyo uliyemnunua huku mfukoni ukiwa na pesa yake TU basi! Ziada mfukoni humo labda mipira tu...
  14. BABA TUPAC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mwanaume kulala bila nguo kabisa?

    Wakuu, Hivi mnaona ni sawa kwa mwanaume kulala bila nguo kabisa? Yaani bila hata bukta wala boxer Ikitokea dharura usiku utafanyaje? majambazi wamevamia au moto una waka. Mi naona mwanaume anatakiwa awe anavaa boxer, bukta na jeans kabisa ili kujiepusha hii itasaidia kujiepusha hatari kubwa...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Umerogwa sio bure: Unang'ang'ania Dar es miaka mingi, kula kwa shida, kulala kwa shida, unasafiri kwa shida huku kuna ardhi Tanzania haina mwenyewe

    Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu. Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu. Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu. Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote. Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Iringa: Akamatwa na meno 7 ya tembo katika nyumba ya kulala wageni

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limemkamata Jacob Mhanga (54) Mkazi wa kijiji cha Utiga Mkoani Njombe akiwa na meno saba ya Tembo katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amesema Mtuhumiwa huyo alikutwa katika nyumba ya kulala wageni katika kijiji cha...
  17. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Saa kumi na moja alfajiri ndiyo muda wa malijendari kuamka au kwenda kulala

  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wakazi: Niliwahi kulala kwenye gari miezi miwili baada ya kufukuzwa home

    Wakazi Rapa namba mbili nchini amesema hamna wakati mbaya ambao hawezi kusahau maishani mwake Kama siku alipofukuzwa nyumbani kwao. Amesema hayo alipokuwa akiongea na mtangazaji gwiji Jabir Saleh. " Nilizinguana na mshua nilipomaliza form 4, baba akaniambia niondoke home, kwa hiyo...
  19. KENZY

    JamiiForums Tanzania Dude limegoma kulala!

    Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini! Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali...
  20. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanafunzi waliochelewa kuripoti shule ya wasichana ya Lucas Malia walala mtaani baada ya kuzuiwa kuingia

    Wakuu, Nimekutana na ujumbe unasambaa kwenye mitandao ya kijamii Twitter, Instagram na hata humu JF nimeona mtu kaweka uzi kuwa wanafunzi tena wakike kutoka shule ya wasichana ya Lucas Malia walifungiwa mlango na hivyo kulazimika kulala nje sababu eti walichelewa kufika siku waliyotakiwa...
Back
Top Bottom