kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Lycaon pictus

    Watu wa kanda ya ziwa ni warefu sababu ya kula dagaa

    Habarini. Dagaa ni chakula kimoja kinadharaurika sana na kuonekana cha kimasikini, lakini ni moja ya vyakula bora kabisa duniani. Ni hivi, mifupa ya mtu hujengwa kwa sehemu kubwa kwa Calcium. Sasa, ukiondoa maziwa, chakula kinachofuatia kwa kuwa na calcium kwa wingi ni samaki wanaoliwa na...
  2. President of China

    Namna ya kula embe dodo kistaarabu

    Embe dodo ni aina ya maembe ambayo ni matamu sana. Watu wengi hawajui namna ya kula tunda hili kwa raha na kistaarabu. Leo katika uzi huu nitaeleza namna ya kula embe hili. UTANGULIZI Embe dodo linaweza kuliwa likiwa limeiva au likiwa bichi. Na wakati mwingine embe dodo likiwa bado changa...
  3. kyagata

    Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

    Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku. Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia...
  4. Boss la DP World

    Bajeti ya kula mbususu

    Habari zenu wakuu, naombeni mchanganuo wa bajeti ya kula mbususu kwa mwaka 2023. Kawaida bajeti yangu huwa kama ifuatavyo; 1. Kama nitaila nyumbani basi ntaiandalia zawadi ya 20,000 - 200,000 kutegemeana na uzuri wa mtoto na mnato wa mbususu. 2. Kama ntalia lodge basi hapo itaongezeka 25,000...
  5. JanguKamaJangu

    Senegal: Mwandishi anayeshikiliwa, afya yake yawa tete baada ya kugoma kula

    Pape Ale Niang, ambaye anajulikana kwa kuandika maandiko yanayoikosoa Serikali amekimbizwa hospili kutokana na kuweka mgomo wa kula akipiga mashtaka dhidi yake. Niang alikamatwa Novemba 6, 2022 akidaiwa ‘kufichua habari zinazoweza kudhuru ulinzi wa taifa’. Alifanya mgomo wa kula Decemba 2, 2022...
  6. M

    Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

    Nataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae. Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka...
  7. Dr Msweden

    Kula kwa urefu wa kamba yako,hili daraja limejengwa kwa billion 31

    Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania. Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
  8. M

    Video: Maulid Kitenge yuko Qatar kikazi ama kula bata?

    Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
  9. SACO

    Hii ni kawaida kwa RAV 4 old cc 1990 kula mafuta? Naomba msaada wenu

    Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida? Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
  10. Miss Zomboko

    Kwanini zamani wazazi walikuwa wakitukataza kuongea wakati wa kula?

    Siku hizi Utaratibu huu naona umepotea kabisa au labda umebaki kwa Familia chache sana. Familia za sasa mkiwa Mezani mnakula ni mwendo wa kupepeta stori mpaka Msosi unaisha. Kwanini zamani hii ilionekana kuwa tabia mbaya? Nini kimebadilika?
  11. Brain Kingdom

    Kama hupendi unene na uzito usiofaa pata haya maarifa ufanikiwe ndani ya mwezi mmoja

    Habari wadau, Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati. Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani...
  12. JanguKamaJangu

    India: Polisi walaumu panya kula Kilo 200 za bangi zilizotakiwa kutumia kama ushahidi

    Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi. Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi zilipokuwa zikiendelea, tamko la Polisi limesema “Panya ni Wanyama wadogo na hawawaogopi askari ni...
  13. GENTAMYCINE

    Wakatoliki wenye Watoto wanaopokea Komunio ya Kwanza leo mbona hatualikani Kula Pilau?

    Nichukue nafasi hii Kuwapongeza Watoto Wote wa Kikatoliki ambao leo wanapata Komunio yao ya Kwanza. Tafadhali Wazazi wa hawa Watoto GENTAMYCINE nawaomba hebu nipeni basi Code ili nije Kula nanyi hiyo Mipalau yenu mlioipika ili niokoe Bajeti yangu ya Chakula kwa leo Jumapili. Nijibuni upesi kwa...
  14. denooJ

    Songwe: Aua kisha kuula nyama mwili wa marehemu

    Lazaro Adamsom mwenye miaka 40 mkazi wa Songwe, anatuhumiwa kumuua Berta Shugha mwenye miaka 69, kisha kuukata kata mwili wake na kuuchoma kama mishkaki, kisha kuila. My Take: Tunapoelekea panatisha sana. ---- Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke...
  15. NetMaster

    Wakristo wasio Wasabato wanaruhusiwa kula paka, panya, kobe, kinyonga, kenge, kunguru, nyani, n.k?

    Kwa kuwa sisi ni wakristo ni kwamba sisi tunafata nyayo za Yesu Kristo. Ni vipi kitu ambacho hakusema Yesu Kristo kinawekewa mabano ya kuweka uchambuzi wa maono ya waliotafsiri biblia? mbaya zaidi kuna biblia hata hayo mabano hayamo, uchambuzi umeunganishwa kuonekana ni maandiko matakatifu...
  16. NetMaster

    Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

    MUHIMU: Kwa wale baadhi yao wenye tabia hii, sio wote, wapo wanaojiheshimu ! Elimu yangu niliishia form 4, ilinibidi nianze maisha ya kujitegemea kwa kujifunza useremala naoufanya hadi sasa (najikongoja wala siwezi kujisifia nimefanikiwa ) Katika miaka mingi nimeweza ku observe kwamba kua...
  17. BARD AI

    Fahamu hatari ya kutumia mafuta ya Kula yanayouzwa kwenye Jua

    Kuongezeka kwa biashara ya mafuta ya kupikia kunaweza kuwa na manufaa kwa uchumi wa nchi, lakini kufanya biashara hiyo katika mazingira ya wazi, ni hatari kwa afya ya watumiaji. Uuzaji wa mafuta ya kupikia kwenye maeneo ya wazi hukaribisha uwezekano wa athari za oksaidi, ambazo zinaweza...
  18. T

    Miaka 60+ ya CCM, hakuna uhakika wa kula, Maji wala umeme

    Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa maji wala umeme. Leo unga wa sembe kilo ni zaidi ya shilingi elfu 2, maharage yako shilingi elfu 4...
  19. ommytk

    Kwa wale tuliowahi kula michango, tukutane hapa

    Hela bwana Shetani sana hahahaah, hivi kuna mtu umewahi kukusanya mchango hata wa msiba tu halafu usichomoe hata 10,000 yaaani lazima itakuja kishawishi tu utachomoa sijui kwanini! Hivi kuna mtu ambaye hajawahi hata siku moja umechangisha hata kuchomoa kidogo?
  20. Kipenzi Changu

    Yanga imewahi kula 6-0 na Raja Casablanca, Historia kujirudia

    1 ASEC Mimosas 6 10 4 13 2 Manning Rangers 6 9 6 10 3 Raja Casablanca 6 12 7 8 4 Yanga 6 5 19 2 J BI BE PTS 1 ASEC Mimosas 6 10 4 13 2 Manning Rangers 6 9 6 10 3 Raja Casablanca 6 12 7 8 4 Yanga 6 5 19 2 Kwa vile wenzetu wanapenda kuishi kwa historia, leo naleta...
Back
Top Bottom