Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

Dec 9, 2022
15
16
Wakuu mimi ni 26 Me, mzaliwa wa kanda ya ziwa, taaluma yangu Medical doctor degree, nimeletwa na mambo mawili;

Kwanza

Naota nakula sana mara nyingi ni wali na matunda na muda mwingine unajaribu kukataa kabisa ila kuna mtu anakubembeleza. Hii ya leo nimeenda sokoni nikakuta matunda mfano wa nyanya nkasema ninunue, yalionekana mabaya ila muuzaji ambae ni mwanamke, binti yake na mume wake wakayarekebisha na kunipa nile. Tena walikuwa wananisimamia nikila na kuyasifia ile naamka nshakula na mdomoni pamejaa mate na tumbo liko full.

Pili
Naota sana napiga mitihani au napambania kupiga mitihani ya level ambazo nishapita na utakuta napambania sana kupata hiyo nafasi huku wenye mamlaka wakinibania. Hii ya juzi nimeota nimefeli f4 nikarudi kurudia primary kusoma na wadogo zangu ambao nao hawako primary walishatoka kitambo.

Kuhusu maisha yangu mimi niko single, wanawake nakuwa nao kwa hamu, wengine wa kununua, wengine ni wale wanaojichanganya tu; sina mapenzi kabisa na nlishasahau mapenzi ya kweli yakoje.

Nliwahi na huwa nanunua malaya ambapo kwenye harakati hizo huwa natetemeka sana, moyo unauma na mapigo ya moyo kwenda mbio na kila nikifanikiwa kuwa naye mlingoti unazingua kusoma na nkifankiwa kumaliza naye mchezo roho inasuta hadi natamani kufa ila siku zikipita tena narudia.

Idadi ya malaya niliowahi kununua haiesabiki na hadi jana nimefanya hadi naandika hapa roho inauma mno. Nna uhakika asilimia mia hakuna anayejua na anayeweza kudhani hata kwa kuhisi kuwa mimi naweza kununua malaya.

Mahusiano yangu na wanawake ni mabovu sana nkishalala nae tu namsahau naanza kuangalia mwingine wengi wanalia na kuona nazingua maana kwa muonekano nlonao mwanamke akiniona atasema huyu ndo mwanaume ila akinijua vizuri ataishia kulia maana hatachoka kuona rangi za kila aina.

Mimi pia n introvert nachoshwa na watu waongeaji sana nafurahi kampani yangu mwenyewe, sinaga maneno mengi huwa naongea kufikia conclusion na sipendi majadiliano ya muda mrefu. Naweza kumkubalia mtu ashinde kwenye majadiliano na wakati ndani ya moyo wangu nmekataa.

Nna marafiki wachache sana ambao naweza sema ni quality, naweza kuzoeana na watu kwa muda mchache na kupotezeana nao kirahisi. Kuhusu wazazi na wadogo zangu nawajali sana kwa lolote wanalohitaji napambana waweze kupata.

Nilikuwa mtu wa dini na imani sana ila siku hizi sisali na mlango wa kanisa nmeusahau. Maisha yangu ya shule hayakuwahi kuwa magumu kwenye ufaulu, hadi sasa nina ajira kwenye taasisi binafsi, kama kazi za kitabibu napiga kweli ila naona ufahamu wangu unapungua sana sitaki kusoma na thinking yangu naona inapungua.vision na malengo yangu ya kimaisha hayako na mpangilio yani kuna namna nnavopangilia maisha ya mbeleni sio kama nlivokuwa awali.

Maswali nnayojiuliza ni mawili;

Kwann kila siku ndoto zangu ni hizo mbili na sio za maisha kama nlvokuwa hapo nyuma
Pili kwa nn nakosa vision na maisha yangu ya mbeleni yan naamka naenda napiga kazi narudi kulala cycle inaendelea.

Nliyoyaandika yote ndo nmekuwa nkipitia tangu nkiwa na miaka 20 nkiwa mwaka wa kwanza chuo. Baada ya miaka sita ya maisha ya namna hii nmeamua leo nifunguke niweke wazi wakuu mnisaidie maana hadi naandika hapa nmechoshwa na ndo mara ya kwanza nalizungumzia.

Mnisamehe uandishi wangu hauko vizuri sana.
 
Hizo ndoto zako sio nzuri hata kidogo.
Ndoto za kula na kufanya mitihani huwa zinaashiria dalili mbaya maishani mwako.

Ukiona zinajirudia rudia Ni ishara kwamba Mungu anazidi kukumbusha majanga ambayo yanaweza kukumba maishani mwako na anataka uchukue hatua ya kufanya sala ili zile ndoto ziishe.

Kama huwezi kuziombea zile ndoto Basi nenda kanisani kwa mchungaji wako akupe msaada wa maombi.
 
Hayo matunda naona ni kama yale ya kimasihara. Ukiendelea hivyo jiandae kuoa mwanamke ambaye siyo chaguo lako umesukumiziwa wa 'wakwe' zako.
 
Kuna nguvu za Giza na mikosi maishani mwako,hata kununua Malaya tuu sio jambo kawaida ,unatakiwa kufanyiwa deliverence ili maisha yako yaende mbele,pia kununua Malaya Ni Jambo hatari la kukuletea mikosi au bahat mbaya kwa kuwa Malaya wengi Ni washirikina sana na wanamaagano na madhabahu za kuzimu.Kama hutabafilika utakuja kujiua ,Mambo yako mengi yatakuwa yanakwama mno,hata ukitongoza wanawake wa kawaida watakukataa,watu watakukataa,utazaraulika,huna itakachofanikiwa,Rejea kwa Mungu na utubu,upo kifungoni,unazunguka kwenye eneo moja kwa mda mrefu ,
 
Yote hayo ni dadili nzuri sana ya kutawaliwa na nguvu za giza kwa kiwango kikubwa. Kuota kula usingizini ni ndoto mbaya kabisa na katika uhalisia mtu huwa analishwa uchafu wote ikiwa ni pamoja na nyama za watu na uchawi.

Kuota unarudia madarasa au kufanya mitihani ya siku za nyuma ni ishara ya kurudishwa nyuma katika maendeleo yako. Kuna kila dadili na ishara za kulogwa na kurudishwa nyuma. Kwa kifupi unaibiwa maisha na maendeleo yako.

Historia yako na wanawake inasadifu vizuri sana hoja kwamba umeingiliwa na roho chafu kupitia kujamiiana. Hii ni njia kubwa sana kwa watu kuingiliwa na mapepo. Malaya wengi ni maajenti wa kuzimu na hutumia fursa hiyo kufanya kazi na kuzimu kwa kuwapelekea watu kupitia kujamiiana. Watu wanaotekwa namna hii huharibikiwa maisha yao kiuchumi, ndoa, n.k. na maisha yao husimama.

Ukiona ufahamu wako unazidi kutoweka ndio mbaya sana kwani polepole unafanyika msukule na mwishoni utakuwa zezeta kabisa na kutumiak fully na ulimwengu wa roho.

Fanya uongofu wa maisha yako. Acha dhambi, mrudie Mungu wa Kweli kwa nja ya Yesu Kristo. Ukienda kwa waganga ndio umejimaliza.
 
Asante mkuu
Hizo ndoto zako sio nzuri hata kidogo.
Ndoto za kula na kufanya mitihani huwa zinaashiria dalili mbaya maishani mwako.

Ukiona zinajirudia rudia Ni ishara kwamba Mungu anazidi kukumbusha majanga ambayo yanaweza kukumba maishani mwako na anataka uchukue hatua ya kufanya sala ili zile ndoto ziishe.

Kama huwezi kuziombea zile ndoto Basi nenda kanisani kwa mchungaji wako akupe msaada wa maombi.
 
Du
ukiota unakula ndoto kiuhalisia unalishwa vitu vya kic
A

Asante kwa kunielimisha mkuu
 
Hizo ndoto zako sio nzuri hata kidogo.
Ndoto za kula na kufanya mitihani huwa zinaashiria dalili mbaya maishani mwako.

Ukiona zinajirudia rudia Ni ishara kwamba Mungu anazidi kukumbusha majanga ambayo yanaweza kukumba maishani mwako na anataka uchukue hatua ya kufanya sala ili zile ndoto ziishe.

Kama huwezi kuziombea zile ndoto Basi nenda kanisani kwa mchungaji wako akupe msaada wa maombi.
Sawa mkuu Asante
 
Yote hayo ni dadili nzuri sana ya kutawaliwa na nguvu za giza kwa kiwango kikubwa. Kuota kula usingizini ni ndoto mbaya kabisa na katika uhalisia mtu huwa analishwa uchafu wote ikiwa ni pamoja na nyama za watu na uchawi.

Kuota unarudia madarasa au kufanya mitihani ya siku za nyuma ni ishara ya kurudishwa nyuma katika maendeleo yako. Kuna kila dadili na ishara za kulogwa na kurudishwa nyuma. Kwa kifupi unaibiwa maisha na maendeleo yako.

Historia yako na wanawake inasadifu vizuri sana hoja kwamba umeingiliwa na roho chafu kupitia kujamiiana. Hii ni njia kubwa sana kwa watu kuingiliwa na mapepo. Malaya wengi ni maajenti wa kuzimu na hutumia fursa hiyo kufanya kazi na kuzimu kwa kuwapelekea watu kupitia kujamiiana. Watu wanaotekwa namna hii huharibikiwa maisha yao kiuchumi, ndoa, n.k. na maisha yao husimama.

Ukiona ufahamu wako unazidi kutoweka ndio mbaya sana kwani polepole unafanyika msukule na mwishoni utakuwa zezeta kabisa na kutumiak fully na ulimwengu wa roho.

Fanya uongofu wa maisha yako. Acha dhambi, mrudie Mungu wa Kweli kwa nja ya Yesu Kristo. Ukienda kwa waganga ndio umejimaliza.
Asante
 
Wakuu mimi ni 26 Me, mzaliwa wa kanda ya ziwa, taaluma yangu Medical doctor degree, nimeletwa na mambo mawili;

Kwanza
Naota nakula sana mara nyingi ni wali na matunda na muda mwingine unajaribu kukataa kabisa ila kuna mtu anakubembeleza. Hii ya leo nimeenda sokoni nikakuta matunda mfano wa nyanya nkasema ninunue, yalionekana mabaya ila muuzaji ambae ni mwanamke, binti yake na mume wake wakayarekebisha na kunipa nile. Tena walikuwa wananisimamia nikila na kuyasifia ile naamka nshakula na mdomoni pamejaa mate na tumbo liko full.

Pili
Naota sana napiga mitihani au napambania kupiga mitihani ya level ambazo nishapita na utakuta napambania sana kupata hiyo nafasi huku wenye mamlaka wakinibania. Hii ya juzi nimeota nimefeli f4 nikarudi kurudia primary kusoma na wadogo zangu ambao nao hawako primary walishatoka kitambo.

Kuhusu maisha yangu mimi niko single, wanawake nakuwa nao kwa hamu, wengine wa kununua, wengine ni wale wanaojichanganya tu; sina mapenzi kabisa na nlishasahau mapenzi ya kweli yakoje.

Nliwahi na huwa nanunua malaya ambapo kwenye harakati hizo huwa natetemeka sana, moyo unauma na mapigo ya moyo kwenda mbio na kila nikifanikiwa kuwa naye mlingoti unazingua kusoma na nkifankiwa kumaliza naye mchezo roho inasuta hadi natamani kufa ila siku zikipita tena narudia.

Idadi ya malaya niliowahi kununua haiesabiki na hadi jana nimefanya hadi naandika hapa roho inauma mno. Nna uhakika asilimia mia hakuna anayejua na anayeweza kudhani hata kwa kuhisi kuwa mimi naweza kununua malaya.

Mahusiano yangu na wanawake ni mabovu sana nkishalala nae tu namsahau naanza kuangalia mwingine wengi wanalia na kuona nazingua maana kwa muonekano nlonao mwanamke akiniona atasema huyu ndo mwanaume ila akinijua vizuri ataishia kulia maana hatachoka kuona rangi za kila aina.

Mimi pia n introvert nachoshwa na watu waongeaji sana nafurahi kampani yangu mwenyewe, sinaga maneno mengi huwa naongea kufikia conclusion na sipendi majadiliano ya muda mrefu. Naweza kumkubalia mtu ashinde kwenye majadiliano na wakati ndani ya moyo wangu nmekataa.

Nna marafiki wachache sana ambao naweza sema ni quality, naweza kuzoeana na watu kwa muda mchache na kupotezeana nao kirahisi. Kuhusu wazazi na wadogo zangu nawajali sana kwa lolote wanalohitaji napambana waweze kupata.

Nilikuwa mtu wa dini na imani sana ila siku hizi sisali na mlango wa kanisa nmeusahau. Maisha yangu ya shule hayakuwahi kuwa magumu kwenye ufaulu, hadi sasa nina ajira kwenye taasisi binafsi, kama kazi za kitabibu napiga kweli ila naona ufahamu wangu unapungua sana sitaki kusoma na thinking yangu naona inapungua.vision na malengo yangu ya kimaisha hayako na mpangilio yani kuna namna nnavopangilia maisha ya mbeleni sio kama nlivokuwa awali.

Maswali nnayojiuliza ni mawili;
Kwann kila siku ndoto zangu ni hizo mbili na sio za maisha kama nlvokuwa hapo nyuma
Pili kwa nn nakosa vision na maisha yangu ya mbeleni yan naamka naenda napiga kazi narudi kulala cycle inaendelea.

Nliyoyaandika yote ndo nmekuwa nkipitia tangu nkiwa na miaka 20 nkiwa mwaka wa kwanza chuo. Baada ya miaka sita ya maisha ya namna hii nmeamua leo nifunguke niweke wazi wakuu mnisaidie maana hadi naandika hapa nmechoshwa na ndo mara ya kwanza nalizungumzia.

Mnisamehe uandishi wangu hauko vizuri sana.
Miaka 26.... medical doctor mwenye degree... kisha ananunua malaya n.k n.k...

Hili jukwaa tulikomboe linachukua nafasi ya facebook!
 
Back
Top Bottom