kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Dalton elijah

    MPYA Ni kweli kunguni, anakaa miezi 18 bila kula na akiwa hai?

    Kumekuwepo na machapisho kadha wa kadha kumuhusu kunguni katika moja ya mjadala inayoendelea kwenye mitandao kupitia tovuti ya Mchinga blog imechapisha kuwa mdudu kunguni anaweza kuishi takriban miezi 18 bila kufa na akaendelea kuwa hai. Katika chapisho ambalo lina nukuu ya jumbe zifuatazo...
  2. M

    Umejiandaa kupika au kula nini Idi hii?

    Imezoeleka siku za siku kuu watu hula pilau, biriani, chipsi kwa familia nyingi, siku ya sikukuu harufu za vyakula hushabiiana kwa nyumba nyingi kwani wengi hula vyakula vya aina moja. Ni kama tumekosa ubunigu hivi wa kuonesha utofauti kwenye siku muhimu kama siku za sherehe na sikukuu. Hebu...
  3. Sifi Leo

    Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

    CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima. Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
  4. The Dictator

    Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

    Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed. Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati...
  5. S

    Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  6. A

    KERO Baadhi ya Watoto wanasoma mpaka Saa 11 Jioni bila kula Wilayani ya Karagwe, hilo si jambo jema

    Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika. Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana. Katika kufatilia...
  7. Inside10

    Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

    Wakuu Hii Video Sijui Ya Lini Nimekutana Nayo Mtandaoni.. https://www.instagram.com/reel/DVmBxopCM-5/?igsh=Nnp2amUycTVub3Ax
  8. M

    Said Issa Mohammed: Heche tuheshimiane, siwezi kula nguruwe mimi

    Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya kuwa ‘akazie swaum kwa kula nguruwe'. Akieleza kuwa yeye ni muislam na ulaji wa nguruwe kwa misingi...
  9. Komeo Lachuma

    Waislamu wanaruhusiwa (HALAL) kula FISI NA MIJUSI. Lakini Nguruwe ni kharamu

    Waislamu tunaruhusiwa kula FISI na MIJUSI hao ni HALAL kabisa Hadithi inayoelezea hivyo ni riwaya ya Sayyidina Jabir ibn Abdullah (RA) kuhusu uwindaji na kula fisi, na ipo katika makusanyo ya hadithi ya Kiislamu. Muhtasari wa tukio Sayyidina Ibn Ammar (RA) alimwuliza Jabir ibn Abdullah (RA)...
  10. Roving Journalist

    LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  11. ngara23

    Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

    Mimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena. Tuache unafiki hakuna...
  12. Tundusami

    Mwanaume anayejielewa hawezi kula mbususu ya elfu 5

    Asilimia kubwa ya demu anayegawa uroda kwa elfu 5 kushuka chini uyo mbususu yake aitunzi vizuri ,ni lahisi kukuta mbususu inanuka,lahisi kupata magonjwa ya zinaa gono uti sugu Lakini kula mbususu kuanzia elfu 50 uyu ni nadra sana kukuta haijali mbususu yake kwanza ata hicho kifuniko cha asali...
  13. Think2

    Wanaume wenzagu wa Musoma, jifunzeni kula vizuri basi! Mnatia aibu

    Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua...
  14. Scott junior

    Usiwashe cheche bila kula

  15. kingzeddy

    Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

    Habari wanajamii, Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara, lakini cha kushangaza zaidi ni kwamba dada wa kazi humkaribisha mume chakula. Je, hili linaashiria nini...
  16. M

    Jose mla Vichwa - Kuna kipi huyu jamaa hawezi kula kama kafikia huku ?

  17. Pdidy

    Kula chumaa hioo

    MUONGOZO WA CHAKULA, KATIKA KUIMARISHA AFYA YA UZAZI KWA MWANAUME 2026 📌ASUBUHI ✅Chai - iwe ya viungo vya Asili pekee • Tangawizi, iliki, karafuu, mdalasini au mchaichai ✅VitaFunwa • Viazi, Mihogo, Magimbi, Ndizi (chemsha tu) • Mayai, mbogamboga ✅Matunda - Aina yoyote ❌ Kama Hakuna Ulazima...
  18. Genius Man

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula. Vita ni vita
  19. comrade_kipepe

    Wakatoliki washindwa kula mbuzi katoliki

    Nimepenyezewa hapa habari za ukweli kabisaa na mtu aliekua kwenye press ya wakatoliki leo, naskia nyuma ya camera kuna mtu si akaleta bwana sinia la mbuzi katoliki na ndizi kama kuwashkuru wakatoliki kuungana. Naskia bwana wale jamaa wengi wao wakasema wao dini yao hairuhisu kula MBUZI KATOLIKI...
  20. M

    Mwalimu mwenzangu amerudi kula sikuu analalamika ndugu zake kumkomalia kwa nini haoi.Amesema mwaka huu haendi.

    Yupo hapa kijiweni kwangu. Tangia asubuhi ni Farasi Mweupe, ambiance, Kitoko na Kigogo. Anasema ndugu zake walimuweka kiti moto kiasi cha kuishiwa raha ya sikukuu. Kwa nini hauoi na una miaka 47. Jamaa kachukia sana. Leo kafikia kwangu toka Safari na kibegi chake cha mgongoni. Kaanza...
Back
Top Bottom