Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza vifaa vya malisho ya kuku

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
967
664
Wana JF habarini za mchana,

Nahitaji picha za malishio ya kuku ya kutengenezwa kwa maboksi au material yeyote kwaajili ya kulishia kuku kwa wale wanaotengeneza yao binafsi maana sina hela ya kununua ya dukani.
 
Izo feeder za kulishia kuku unaweza tengeneza hata wewe nyumbani,ni mbao ndefu zenye upana kiasi zinakuwa 3

images%20(1).jpg
 
Wana JF habarini za mchana,

Nahitaji picha za malishio ya kuku ya kutengenezwa kwa maboksi au material yeyote kwaajili ya kulishia kuku kwa wale wanaotengeneza yao binafsi maana sina hela ya kununua ya dukani.
 
Dah, ngoja nijaribu hii
Hii kitu inafaa sana kuanzia maisha ya ufugaji.
unakomaa mwenyewe na nyundo na misumari.

Maji unachukua galon la lita tano kisha unalikata ubavuni pande zote mbili kiasi cha kuku kuweza kuingiza shingo na kutoa kwa uhuru bila kubanwa,kisha unaweka maji kuku wanakunywa,mambo mengine yatajiseti mbele kwa mbele.
 
Kwani zipo nzuri unazozijua braza?
Tembelea hiyo page utaona nilizungumzia kuhusu vyombo vya kulia chakula. Vyombo vingi vya viwandani humwaga chakula na huleta hasara kwenye upotevu wa chakula. Maana unapaswa kuhakikisha kuku hawamwagi chalula. Wanakula na kinaingia tumboni
 
Back
Top Bottom