Dawa ya kuku ya minyoo (flatworms)

dks1131

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
225
160
Wakuu habari yenu, naomba kufahamu dawa inayoweza kusaidia kuondoa shida hiyo ya minyoo(flatworms) katika kuku wangu. Nimejaribu kutafuta maduka ya madawa ya mifugo nilipo sijapata jawabu.

20201016_134807.jpg
 
Kuna dawa ya minyoo huwa naitumia inaitwa Piperazine inauzwa maduka ya dawa ya mifugo.
 
Kuna dawa ya minyoo huwa naitumia inaitwa Piperazine inauzwa maduka ya dawa ya mifugo.
Mkuu hiyo ni kwa ajili ya roundworms..(kutokana na maelezo yaliyopo kwenye package) nilitumia hiyo haijaonesha matokeo yayote.
 
Duuu flatworms sijawahi kusikia hii. Ipo kwenye kinyesi mkubwa hivi au ni kwenye ngozi? Nahitaji hii elimu.
 
Back
Top Bottom