kuku

  1. synthesizere

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku wa nyama (Broiler)

    Habari za wakati huu Nahitaji kujua wapi nitapata vifaranga bora vya kuku wa nyama (broiler) kwa maeneo ya Dar au Pwani na bei zao zikoje. Nikipata mawasiliano itakua nzuri zaidi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenga zilizotumika (used) zakubebea kuku

    WADAU, NATAFUTA TENGA ZILIZOTUMIKA (USED) ZA KUBEBEA KUKU KAMA HIYO YA KWENYE PICHA HAPO CHINI. KAMA UNAZO NAOMBA NICHECK INBOX. NAITAJI ZILIZOTUMIKA KWA UNAFUU WA BEI.
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kati ya samadi ya ng'ombe, mbuzi, kuku, nguruwe, Sungura nk. ipi ni bora zaidi shambani?

    Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga mboga, matunda au mahindi? Je, kati ya kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, Kuku, Nguruwe, Sungura ipi ni...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuku wa Ilala (Tanzania) wameshajipeleka wenyewe Omdurman (Sudan) kuchinjwa Jumapili

    Na ukitaka 'Kitoweo' chako chochote kichinjwe vyema jitahidi sana umtafute Muislamu halafu awe ni Mwarabu wa 'Kisudani' utafurahia show yake ya uchinjaji ambayo mara nyingi huianzia Saa 3 kamili usiku baada ya kumaliza kuswali saa 2 kamili usiku.
  5. Rashidi Jololo

    JamiiForums Tanzania Mfugaji huyu wa Kuku wa Mayai 120,000 anapatikana mkoa gani ili tukajifunze kwake?

    Ndugu zanguni wazima? Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda). Tafadhali mwenye...
  6. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Kiroho, kama humsaliti mke wako yeye pia hawezi kukusaliti

    Hii nakupa chukua.. Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndiyo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati, hii pia nakupa chukua. Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wauza Vifaranga wasiofaa kuliwa baada ya Kuku kuadimika Dar

    Afisa Mifugo Mkoa wa Dar es Salaam Odetha Mchunguzi, amethibitisha kukosekana kwa kuku na kueleza kuwa hali hiyo imetokana na kupanda kwa bei ya vyakula vya kuku na zuio la Serikali la uingizaji wa vifaranga kutoka nje. Uhaba huo kwenye masoko makubwa ya kuku ya Shekilango na Mwananyamala...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujapokea taarifa rasmi kuhusu ufugaji hatarishi wa kuku Broila

    Serikali imethibitisha kutopokea taarifa rasmi ya utafiti unaoonesha wafugaji wa kuku wanatumia dawa za antibayotiki na hivyo kiasi kikubwa cha dawa hizo kuonekana kwenye maini, kisha kuwa na madhara kwa watumiaji wa kitoweo hicho kwa kusababisha usugu wa vimelea vya dawa. Waziri wa Mifugo na...
  9. Simeone

    JamiiForums Tanzania Je, kuku aina ya broiler hawafugiki kienyeji?

    Hivi broiler nikiwafuga kienyeji, yaani wajitafutie chakula kwani kuna shida gani?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mnawapendea nini kuku wa KFC?

    Nimekula kuku wa KFC jana, kwakweli nilikuwa dissapointed mno, ile hype yote niliyokua naisikia haikuwa na ukweli upande wangu. Kuku hana ladha ni mafuta tu. Angalau chipsi zao ndo zina ladha. Au mnasemaje wadau ambao mshawahi kula hii kitu?
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hii siyo sawa kabisa, inakuwaje wezi wa kuku wanatupwa jela, wakati wezi wa mali ya umma wanaachwa huru?

    Tulimsikia Rais wetu, Samia Suluhu Hassan, katika hotuba yake ya majuzi, huko Katika Chuo cha Polisi Moshi, akieleza kuwa baadhi ya maofisa wa Polisi, wanaiba mafuta ya petrol/diesel, wanayoletewa kwa matumizi ya Umma na kuyaweka kwenye daladala zao binafsi! Rais Samia pia akaendelea kueleza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayeuza soya ya chakula cha kuku jumla

    Naomba msaada anaejua mtu anayeuza soya ya chakula cha kuku jumla aniambie
  13. Rupia Marko D

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Je kuchanganya kuku na bata pamoja kuna madhara gani katika ufugaji
  14. Rupia Marko D

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Suruhisho la kuku anayedonoa vifaranga na kuviua kabisa
  15. Rupia Marko D

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya Kuku

    Natamani kujua magonjwa ya kuku, naombeni msaada wenu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sensa ya Watu na Makazi: Tuliulizwa kama unafuga ng'ombe, mbuzi, kuku. Lakini kwanini hatukuulizwa kama unafuga Nguruwe na Mbwa?

    Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi? Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani? Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuku mweusi ni kuku ghali zaidi duniani

    According to Greenfire Farms, the Ayam Cemani is the "most unique chicken on the planet." It's found in Indonesia and its pitch black color is what's made it famous. Not only are their feathers and skin a dark hue, but their bones, muscles and organs are even black. Many kinds of chicken have...
  18. TATACHACHA

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Formula uchanganyaji wa chakula kuku wa mayai miezi 2 hadi 4

    Habari ndugu zangu, Naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4. Naomba nitumieni.
  20. Lastmost

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuku kupata vipele kwenye utumbo unasababishwa na nini?

    Salaam, Habari za mchana huu? Wadau ninaomba kujua kwa mwenye uelewa wa huu UGONJWA. Leo nimechinja kuku, nikakuta utumbo wake una vipelevipele, ila kuku alikuwa mzima kabisa kabla sijamchinja. Wataalamu naomba kujua ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
Back
Top Bottom