Habarini wadau
Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa.
Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza mayai tu tray moja ni 15K. Sasa nimepiga hesabu naona kunua makoo ni rahisi kwa mazingira niliopo...
TUNAUZA VIFARANGA WA KUKU CHOTARA AINA YA KROILA, BEI SH 1,500
WANAPATIKANA KILA WIKI
UMRI: SIKU 2
CHANJO: MAREK'S
TUPO KAHAMA, TUNASAMBAZA MAENEO YOTE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA
0767659145
0620246040
0787659145
Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja.
To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
Ukipita barabarani maeneo ya Shekilango unakutana na harufu kali sana ya uozo inayotoka machinjio ya kuku yaliyopo ndani ya Soko la Shekilango.
Hivi Manispaa husika Ubungo / Kinondoni wameshindwa kudhibiti hali hii? Afya za walaji wanaoenda kununua na kuchinjiwa kitoweo cha kuku ikoje?
HAPO...
Habari zenu wadau. Naomba kupatiwa dawa mujarrab ya kutibu ugonjwa wa mafua na uharo kwa kuku wa aina zote maana kwangu hili tatizo lishakuwa sugu.
Muwe na siku njema
Naomba kwa wazoefu wa mikoa ya Dar, Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya mnipe uzoefu wenu.
Wafugaji wengi wa kuku wanauza kuku kwa mazoea sana, mnunuzi anakuja anamshika anamtikisa kidogo hivi anakadiria uzito alafu mnaanza kubishana bei.
Ila naona huu ni wizi wa hali ya juu. Naomba nipate uzoefu...
Hamjambo!
1. Kuna nyumba hapa mwaka mpya na Christmas hawakusherehekea.
2. Hawakupika chakula cha maana.
3. Lakini Kila wakisikia taarifa msiba ya kiongozi wa kiserikali wanafanya tafrija. Wananunua pombe, wanapika chakula kizuri, wanachinia kuku.
4. Wanaweka Muziki. Katafrija kadogo kwa...
Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya
Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu,
Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza ufugaji wa kuku kwa matumaini makubwa, lakini wengi wao wanakata tamaa njiani kutokana na hasara ambazo...
Marekani imekiuaka sheria za kimataifa.
Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa.
Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia
Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika
kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara
Pakua Fuga app Leo Playstore Fuga - Apps on Google Play
Wengi tunadhani tutakumbuka tarehe za Kuku wetu chanjo kichwani,lakini sio kweli , Kama Young Lunya alivyosema "Kichwa kina vitu vingi"
Ukweli mchungu ni kwamba unaweza kusahau kuwapa kuku wako Chanjo ya Tsh 8,000 alafu ikakuletea hasara ya kupoteza kuku wenye thamani ya zaidi ya Tshs 1,000,000...
Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako
Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila kuteseka kupata bajeti halisi, na bila stress ya kufuatilia kila kitu manual,
basi hivi ndivyo unaweza...
Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje.
Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi.
Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha maandamanl?
Wafugaji wamekuwa wakituomba sehemu moja ya kujifunza mambo muhimu ya ufugaji wa kukuna hatimaye imefika!
JIFUNZE ni kipengele kipya ndani ya Fuga App kinachokupa maarifa ya uhakika kuhusu: chakula, chanjo, makazi, afya, na mbinu za kuongeza faida.
Ni rahisi kusoma, kuelewa, na kutumia kila...
Wakuu,
Nilitegemea angekemea utekaji na kusema kwamba kwenye awamu yake ya pili hategemei kusikia wala kuona Watanzania wanatekwa.
Lakini hola!
Maana yake ni kwamba tutaendelea kutekwa na kile kikundi cha Watu Wasiojulikana wataendelea kutunyakua Watanzania.
Hii nchi imeoza to the core!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.