Kitu nilichokigundua kuhusiana na kuku

Kitu nilichokigundua kuhusiana na kuku

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,039
Reaction score
3,084
Mwanzo nilikua najua kwamba ili kuku watage mayai lazima wawe wamepandiwa na jogoo, nilikua na amini hivyo kwa miaka na miaka hadi siku za karibuni

Kiuhalisia ni kwamba kuku anataga kwa mzunguko wake wa kawaida hata bila jogoo lakini mayai yake hayataweza kutotolewa bila jogoo

Hicho ndo kitu nilichokigundua na nikashangaa sana kwamba nimekaa miaka yote na kuku bila kujua nikajua na watu wengi pia watakua hawajui hili ndo maana nime amua ku share
 
Back
Top Bottom