Tunawashukuru Wafugaji wa Kuku kwa hili🫶🏾💚

Tunawashukuru Wafugaji wa Kuku kwa hili🫶🏾💚

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
209
Reaction score
247
Mwezi wa Aprili umekuwa mwezi mkubwa zaidi wa Fuga App tangu tulipozindua.

Idadi kubwa zaidi ya watumiaji wapya kwa mwezi mmoja. Wastani wa ukuaji wa 55% kila mwezi. Na sehemu muhimu zaidi ukuaji wote ni bila matangazo ya kulipia
Screenshot_20260501_073614.jpg

Hakuna matangazo ya kulipa. Hakuna kampeni. Wafugaji wanawaambia wafugaji wenzao watumie Fuga kwa sababu inawasaidia kweli kweli kuendesha biashara zao za kuku vizuri zaidi.

Mafanikio haya ni ya timu ya Primax ambayo kila wiki inaboresha Fuga App na kutafuta njia mpya za kutatua changamoto halisi za wafugaji wadogo. Na ni ya kila mtumiaji aliyetuamini mapema na kuendelea kutumia Fuga.

Kwa watumiaji wetu wote na wasaidizi - ASHANTENI!! Tunaendelea kujenga.
Heri ya Siku ya Wafanyakazi🫶🏾💚
 
Back
Top Bottom