Fuga kuku mkuu andaa mabanda mazuri tuHabarini wadau.
Nimepata kamtaji hapa ka 10m, Nina eneo la ekari mbili mkuranga.
Enyi wajuvi.
Naombeni msaada kwenu.
Ufugaji upi unalipa kati ya samaki sato au kuku wa kisasa?
Naomba maoni yako hapa.
Ninapofikiria mdondo na.mahepe unaweza kuwakimbia kukuKuku is better than sato. Trust me bro.
Mkuu Hicho kilichokupa 10M si uendelee nacho?Habarini wadau.
Nimepata kamtaji hapa ka 10m, Nina eneo la ekari mbili Mkuranga.
Enyi wajuvi.
Naombeni msaada kwenu.
Ufugaji upi unalipa kati ya samaki sato au kuku wa kisasa?
Naomba maoni yako hapa.
Kufunga kuku uache kazi ufanye kaziHuo mtaji kwa samaki utakimbia mapambano. Hizo ekari mbili inafaa kwa kuku wawe wa kisasa au kienyeji utajua wewe ila kila kimoja kina mpangilio wake. Huo mtaji kuchimba bwawa la samaki tu haitoshi, maana huwezi chimba kibwawa cha samaki wachache economies of scale itakukatalia. Wakati kwa kuku unaweza fuga hata kama kucheza yaani huku shamba la mihogo hapa banda la kuku.
Mkuu aliiba sasa aendelee na wizi anataka kutoka kwenye wizMkuu Hicho kilichokupa 10M si uendelee nacho?
HahahaMkuu aliiba sasa aendelee na wizi anataka kutoka kwenye wiz
Kuna Tapeli alikuja na stori za kufunga Sungura akatushawishi kuwa hadi mmoja wa Sungura unauzwa ni dawa pia, Yule mshenzi Mungu anamuonaFuga kambale na kuku , mavi ya kuku pia ni chakula cha kambale
Ulilima nini?Bei imenikimbiza ndugu, tunalima kwa gharama afu watu wa amkos wanatuamulia tuuze sh ngapi.