kukosea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sozo_

    Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

    Mimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke. Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa...
  2. GENTAMYCINE

    Kwa Lomalisa na Bigirimana Pesa ya Tajiri imepotea, na nilichokiona kwa Aziz Ki ni 'Domo Kubwa Kuvimba' lake tu na Kukosea Kwingi

    Yassin Mustafa ana uwezo mkubwa kuliko Joyce Lomalisa Mutambala kwa Beki ( Mbavu ) ya Kushoto. Zawadi Mauya ana uwezo mara 100 kuliko Mchezaji wa Newcastle United ya katika Photoshop ya Mitandaoni Bigirimana. Saido Ntibanzokinza na Yacouba Sogne ni Wazuri mara Milioni kuliko Domo Kubwa Kuvimba...
  3. GENTAMYCINE

    Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

    Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi. Chanzo: Habari Leo...
  4. mulwanaka

    Missouri, Marekani: Jaji eliyemhukumu kijana wa miaka 18 jela kakiri kukosea, kijana hakuwa na hatia yoyote ya kuua

    Eliyehukumiwa na Jaji kwa kosa la jinai la kuua akiwa mtoto umri wa miaka18, baada ya kukaa jela kwa miaka 38 na kufikisha umri wa miaka 56, limegundulika kwamba hakuwa na hatia na alifungwa kimakosa. Mahakama kuu ya Federal state ya Mosouri US na wanaharakati wamekusanya $ 1.5m sawa na 3bn...
  5. May Day

    Ukiwafurahisha dakika 5 watakushangilia kama vile umepatia mwaka mzima, ukuikosea kidogo tu watasahau na kukugeuka papo hapo

    Kwa sasa sio ajabu kumsikia Shabiki anamtolea maneno yasiyo na staha Mchezaji kwa vile tu hajaridhishwa na alivyocheza mechi kadhaa zilizopita wakakosa matokeo chanya. Kwa mfano Mtu atasahau kabisa kuwa Boko ndiye alichangia zaidi ya nusu ya magoli yaliyopelekea timu yao kuwa Mabingwa wa nchi...
  6. K

    SoC01 Kukosea ni Darasa la Kuvuna Faida

    Ukweli ni kwamba, mwanadamu ana mipaka ya uwezo katika utendaji wake; yani mwanadamu ana mapungufu katika namna moja ama nyingine, hivyo kushindwa kufanya mambo fulani kwa ukamilifu- hivyo hukosea (au kufanya makosa). Na hili ni dhahiri katika nyanja zote tu zinazohusu maisha ya mwanadamu...
  7. MTAZAMO

    Tatizo la Machinga, Tulikosea, Tunakosea, Tutaendelea kukosea!

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna sehemu tulikosea, tunakosea na tutaendelea kukosea. Wimbo wa Machinga kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi kama yupo anayefikiri ni wimbo wa juzi basi ana upungufu wa akili. Nani hapa ambaye anaweza kukataa kuwa kwa mfano mitaa ya Kongo ilivyo leo pako hivyo miaka...
  8. Replica

    Rais Samia: Tuziangalie Sheria za Uchaguzi zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

    Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa...
  9. Pascal Mayalla

    Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni binadamu kama binaadamu wengine wote na anaweza kukosea kama binaadamu wengine wote, kwa kufanya makosa...
  10. ndege JOHN

    Kwani ukikosewa lazima uombwe msamaha na yule aliyekukosea?

    Kanuni ya msamaha ipoje maana kuna mtu nimemkosea sana nimemdhalilisha familia yake sasa kwa bahati nzuri au mbaya nilikuwa nimelewa kiasi cha kutojitambua na hivyo kusababisha kero. Ila kiukweli sikumbuki hata niliyemkosea sura yake ananitangazia mbovu kitaa ananitafuta sasa shahidi wetu...
Back
Top Bottom