kukata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Simu yangu nikipigiwa haioneshi jina la mpigaji hata option ya kupokea au kukata Simu siioni

    Wakuu, sielewi hii simu niliichezea vipi usiku wakati nimelala maana nililalia. Ila tatizo kubwa ni kuwa nikipigiwa huwa haioneshi jina/namba la mpigaji, pia haitokei option ya kupokea au kukata.. yaan zile alama za kijani na nyekundu. So wataalam wa setting niende sehemu gani nikaset vizuri...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Changamoto zipi umeziona kwenye kukata rufaa ya mkopo ambazo unahitaji majibu

    Habari wanajf Kuna baadhi ya changamoto hii ya kuandikiwakwenye allocation index no xxx not found imewakuta watu wengi ina maana gani?
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania UWT kumsaidia kukata Rufaa Maria aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

    Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumuhukumu kifungo cha miaka 22 Jela, Maria Ngoda Mkazi wa Mtaa wa Zizi la ng'ombe, Manispaa na Mkoa wa Iringa baada ya kumkuta na hatia ya kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria, Kamati ya Utekelezaji ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya mwanauke kukata kiuno au kukatika wakati achezapo ngoma

    Kuuliza si ujinga. Nauliza kutokana na kichwa cha habari kuna siri gani wadada wanapokata au wanapoonekana wanacheza ngoma,huwaga kama wanashindana ,sielewi ndio kuwa uyaone au uyajue. Na mara nyingi wanawavutia watazamaji wengi tu.kuna siri gani ,wataalamu tuelimisheni.
  5. The introvert

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Kuhusu kukata rufaa HESLB

    Habari za wakati huu wadau wa elimu Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024.... Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata rufaa pamoja na utaratibu wake unavyokuwa Sababu kuu ya kuomba kukata rufaa ni kutokana na mfumo wa...
  6. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kuumwa na tumbo la kukata na kuhara

    Aisee jana mida ya saa 7 usiku niliumwa tumbo la kuvuruga nikaenda chooni kupush naiikaanza choo ngumu hapo tumbo linauma sana baadae nikaanza kuharisha huku tumbo inauma sana je nitumie dawa gani ili nizuie kuharisha
  7. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Tanesco kwamba umeme kukata ni sababu ya kukua kwa shughuli za kiuchumi imekaa kisiasa

    Sitaki kukubaliana na Tanesco eti kwamba awamu ya sita Kuna ongezeko la shughuli za kiuchumi hadi kupelekea upungufu wa umeme.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO kukata umeme usiku kucha si mnahatarisha maisha ya wananchi na usalama wa nchi?

    Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao. Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
  10. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kukata umeme siku mbili mfululizo haikubaliki

    Mmekuwa mnakata leo kesho upo. Tulikubaliana na hilo. Tukasema tutavumilia na tukaweka sawa ratiba zetu. Sasa huu utaratibu wa kukata siku mbili mfululizo inakuwaje? Kuweni serious na maisha ya watu.
  11. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Acheni kutumia vitunguu saumu kama dawa ya kukata harufu mdomoni pigeni mswaki

    Ase ifike mahali tuambiane ukweli kuna watu hawapigi mswaki kwasababu morng ana amka na vitungu swahumu kutafuna ili kukata halufu ya mdogo hii inapelekea hata jasho la mwili kuwa baya sana. Tumia kwa tiba na sio kufanya ndio dawa ya meno epuka kula vyakula vyenye viuongo vingi sana hivi...
  12. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati kukata tamaa ni chaguo sahihi

    Habari zenu ndugu zangu, japo hatufahamiani ila uwepo wenu humu imekuwa ni faraja kubwa sana kwangu kwani mmekuwa watu wa kunipa furaha na kunifariji mara kwa mara,. Leo nimeona ni bora nisiwaache mkafa bure bila ya kulitambua hili, Ndugu yangu KUNA WAKATI KUKATA TAMAA HUWA NI CHAGUO SAHIHI...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kukata kiuno ni hatari, huweza kusababisha ukapata ganzi mara kwa mara

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video fupi ikieleza kwamba kukata mauno ni hatari, kunaweza kuwa kisababishi cha ganzi kwa mwilini. Tazama Video hapa chini: Je, kuna ukweli hapa? ---
  14. U

    JamiiForums Tanzania Anayeijua App nzuri ya kukata online tickets za mabasi hapa Tanzania anijuze

    Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
  15. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna kukata tamaa💪💪💪

    Nimeingia Dar juzi nimepata chumba Mbezi karibu na Stendi ya Magufuli katika harakati za kusaka tonge leo nimechanganya kwenye nikawa nauza maji hapa Mbezi stand ya daladala mgambo wakanikamata wakachukua mzigo nimerudi geto kulala, naombeni idea mishe gani nipige hapa town nisikose hela ya kula.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakerwa watoto kukata viuno katika Mahafali yao

    Kwa anayetaka Taarifa kamili juu ya Wabunge kukerwa na watoto kukata viuno katika Mahafali yao, tafuta copy yako ya Gazeti la Habari Leo la leo ukurasa wa Nne (4) ili uyajue mengi.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Imaging Africa kitendo chenu cha kukata miti usiku Bamaga Mwenge ni cha kihuni, na ni uharibifu wa mazingira, hakikubaliki

    Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara. Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza. Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu. Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya. Baada ya...
  19. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kukata mawasiliano na mumewwe!

    Wadau ipo hivi. Nina jamaa yangu nafanya nae kazi. Mke wake ni mwalimu sasa mwanafunzi wa chuo kimoja hivi kikubwa hapa nchini Kabla ya kwenda chuo mahusiano yao yalikiwa yamekaa vizuri kabisa. Baada ya miezi miwili chuo Bible hana taimu na jamaa kabisa . Hili limekaaje
  20. Bambalaga01

    JamiiForums Tanzania Nimeishiwa nguvu na nimekuwa Mtu mwenye kukata tamaa kwa Mkasa ulionikuta

    Wakuu habarini! Nimekuja kwenu naomba nisaidiwe kimawazo na ushauri. Hivi karibuni nilipeleka barua ya uchumba (posa ) na Mambo yalienda freshi tu. Kikao Cha kupangiana mahari makubaliano yalikuwa kifanyike ijumaa hii. Nimejikuta nina mawazo Sana kwani hela niliyoiandaa kwa ajili ya kuitolea...
Back
Top Bottom