Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,020
- 82,518
Aisee jana mida ya saa 7 usiku niliumwa tumbo la kuvuruga nikaenda chooni kupush naiikaanza choo ngumu hapo tumbo linauma sana baadae nikaanza kuharisha huku tumbo inauma sana je nitumie dawa gani ili nizuie kuharisha