kukata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamotee

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania ondoeni hii meseji mnayotuma kwa wateja kila muda, pindi wanapopiga simu na kukata simu. Ni kero

    Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii. Na hii ni huduma ambayo sikujiunga...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Bonde la kukata maneno

    Bonde la kukata maneno ni nini? Biblia inatuambia kuna wakati unafika hapa mbele yetu ambao Mungu atayaleta mataifa yote katika bonde lijulikanalo kama bonde la kukata maneno, biblia imeliita pia kama Bonde la Yehoshafau ukisoma kuanzia mstari wa 12. Yehoshafua maana yake ni...
  3. msovero

    JamiiForums Tanzania Kuna hali ya kukata tamaa kwa vijana baada ya ajira mpya za walimu

    Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka. Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, kukata hela katika muda wa maongezi ni chanzo cha mapato

    Kuna kitu ambacho sikielewi kwa hawa viongozi wetu hususani katika Muhimili wa Bunge, hawa wabunge hawalipi kodi yoyote katika posho zao na wanapokea posho nyingi tu ambazo hazina makato. Lakini cha ajabu wanapopewa jukumu la kubuni vyanzo vya mapato kwao uwa ni mtihani mkubwa sana japokuwa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mnaoshindana na Diamond na ninyi basi anzeni kukata viuno ili mshindane vizuri

    Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond. Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake sasa kuna wanasiasa wameibuka mitandaoni na kuanza kumsemasema kijana wa watu. Sasa mimi naona ili...
  6. kurlzawa

    JamiiForums Tanzania Serikali na Bodi ya Mikopo (HESLB), naomba ufafanuzi wa utaratibu wa kukata pesa ya mwisho ya kujikimu

    Habari za mda huu wakubwa, Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha Corona sasa napenda kufahamu je safari hii nini kimepeleakea hilo? Je, Rais samia ameamua kuiga...
Back
Top Bottom