kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Msemaji wa Azam ni mtu wa hovyo

    Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi. Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
  2. Digital base

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k Napenda nitumie laptop kufanya kazi hiyo kutokana na mazingira yangu kibiashara kuwa ya kusafiri mara...
  3. masara

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

    Mwaka ndio bado mmbichi kabisa naamini uko salama salimini. Ni ukweli kwamba mtu kuoa au kuolewa haimaniishi kwamba ndio amefungiwa kabisa kupenda na kupendwa na mwingine ila kinachofanyika huwa heshima ya kiapo tu. lakini pamoja na kiapo bado hisia na tamaa au mazingira huwa yanalazimisha...
  4. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua makadirio ya pesa nyumba hii

    Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah. Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom) Jiko Dining Kitchen Store Sitin room Public toilet...
  5. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Kama Siasa tulifikia hapa, naomba kujua mhariri wa hili gazeti. Je huu ndio mfumo wa kuchora katuni?

    Ndugu wana jamvi, Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe? Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje? Naombeni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya kuremba kwa gharama kubwa makaburi ya wapendwa wetu?

    Kuyaremba ninakomaanisha hapa ni kuyaweka nakshi nakshi za kila aina, Mbwembwe nyingi, kuyapiga Picha na Kuwaringishia Watu Mitandaoni mpaka kutaka hata kuyawekea Taa na AC ndani yake. Na kinachonishangaza na kuniachia Maswali mengi ni pale ninapoona Msiba fulani Kaburi linafanyiwa Mbwembwe...
  7. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

    Moderator please DELETE huu Uzi.
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM

    Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM
  9. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida wanayopata NBC

    Mimi ni mshabiki wa mpira ila mpka sasa sijui huyu mdhamini mkuu anapataje faida kwa kudhamini ligi kuu.Ukiniambia anajitangaza na anapata wateja sijui kama ni kweli maana mimi tangu aidhamini sijawahi kuvutiwa kwenye kufungua acc kwao. Kwa Azam najua anapata faida kwa sababu anatangaza vitu...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

    Je, 1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu? 2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu? 3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
  11. Rumi96

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

    Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani. Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea. Natangauliza shukrani.
  12. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli wa mishahara ya BRELA

    .... Uzi ifutwe .... Moderator please delete
  13. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Jinsi ya Ku-Activate Call Recorder Mode Kwenye Truecaller Premium Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza ku-activate call recorder kwenye app ya Truecaller Premium Wakuu...? Natanguliza shukran.
  14. safuher

    JamiiForums Tanzania Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu? Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
  15. akatanyukuile_tikoma

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua au kuwa nayo magunia ya katani

    Nahitaji magunia ya katani mengi yapatayo pieces 100,000, mwenye nayo au anayejua yalipo anitumie inbox
  16. M

    JamiiForums Tanzania Jamani nahisi nimetukanwa kwa lugha ya Kirusi, nisaidieni kujua maana yake

    Salaam! Jamani nimeandikiwa kwa lugha ya Putin sijaelewa so anayefahamu anieleweshe. Уважаемый мистер Шабани! Я искренне не понимаю чего Вы хотите добиться своими сообщениями? Natanguliza shukran!
  17. dotto jonandason

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua maana ya kabambalu

    Nahitaji kujua maana ya kabambalu wadau
  18. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mshahara wa Property Manager ngazi ya Diploma

    Wakuu Habari za muda huu! Nimeitwa kwenye interview itakayofanyika Arusha siku ya ijumaa kwa kampuni binafsi. Sasa siku hizi Kuna Swali common la candidate's salary expectations ambalo ndilo hutumiwa kuwachuja watahiniwa. Naomba kufahamishwa range ya mshahara wa hii kazi kwa ngazi ya diploma...
  19. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi, Kuna uwezekano wa kujua Location ya Mtu alipo kupitia simu yangu Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu? Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu...
  20. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua hii simu kama ni Original, Fake au copy?

    Wakuu, Nilinunua simu Redmi Note 10 pro ila sidhani nasema sidhani kama hii ndio simu yenyewe. Kama vile sijapenda Camera, battery ni 5,000Mah lakini haikai saana, camera ni 108px ila na yenyewe kama vile siielewi. Sijawahi kutumia hii product na hii ndio mara ya kwanza. Nawezaje kuitumbua...
Back
Top Bottom