kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kayeja jr

    JamiiForums Tanzania Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua tafsiri ya maneno haya kwa Kiingereza anasaidie.

    1. Ubwabwa 2. Wali 3. Pilau 4. Uji wa mapande 5. Mchele 6. Mpunga 7. Chuya 8. Pumba = Rice bran. By Kinyungu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ni kwa kiasi watu wanawaamini Makamba na Tanesco angalia hii picha!

  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Gharama Mbalimbali za Ujenzi

    Kwema Wakuu, Nataka nianze ujenzi, ila ujenzi wenyewe ni wa pole pole. Nimepanga nitenge walau 250,000/= monthly iingie kwenye ujenzi. Msingi nimeshaweka bado kunyanyua boma tu. Waiojenga msingi niliwatoa mikoani hivyo wako na bei reasonable ila kuwalaza gesti ilini cost. Nimepanga ninunue...
  6. Msolid1990

    JamiiForums Tanzania Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  7. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua ni wapi ntapata matangazo ya mpira wa kombe la dunia akitangaza Peter Dlury

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
  8. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme. Je ni vitu gani...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar

    Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar
  10. kabanga

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua zaidi kuhusu Kilimo cha minazi (coconut tree)

    Habari wa ndugu, Napenda kupata maarifa zaidi kwenye ulimaji wa minazi, hasa kibiashara. 1. Wapi napata mbegu nzuri za kisasa 2. Utayarishaji shamba? 3. Muda gani wa kupanda, na namna gani nzuri. 4. Kwa ekari moja inaapendekezwa miti mingapi? Na habari nyingine muhimu. karibuni
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ajali hii imetupa kujua, wananchi si kipaombele cha viongozi wao!

    Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende! Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu! Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea! Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa...
  12. John120

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hizi gari

     Wataalamu na wajuvi wa magari,naomba mwenye kujua kuhusu hizi gari kwenye maeneo haya yafuatayo: 1.comfortability yake. 2.fuel consumption 3.Availability of spare part zake. 4.Durability 5.Stability yake. 6.Changamoto zake. na mengine mengi unayoyajua kuhusu chuma hii. Asanteni sana
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Forensic audit ifanyike kujua michango ya Chadema ya kidijital imetumika vipi. Haiwezekani tuchange kidijital alafu wawe na magumu.

    Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri. Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika kujua Dogo Petit Reagan (Little Reagan) aliyeimba na Blaise Bula Ponderation 8 alifariki

    Wale wapenzi wa muziki wa Congo watakua sio wageni wa Petit/Little Reagan. Bwana mdogo aliesherehesha albamu ya mwanamuziki wa Congo B. Bula Ponderation 8 ya mwaka 1999/2000. Kwenye hiyo albamu ya Ponderation 8, na wimbo wa Ponderation 8 ambao ndio ulibeba jina la albamu, dogo Little Reagan...
  15. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua mpinzani wa huyu mwamba kwa Bei chini ya buku sita 6000/=

    Mwamba kama mnavyomuona unaweza fika benki wakakuachia kiti umalizie kuhesabu pesa. Hana longo longo Njoo na mpinzani unayeweza kudhani atamtoa kwenye (low price high value 💪character)
  16. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu Twiga Force na inapopatikana

    Habari za leo wakuu,hebu mwenye kufahamu kuhusu hii kitu iitwayo twiga force anijuze.Natanguliza shukrani
  17. P

    JamiiForums Tanzania Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

    Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market. Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

    Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye. Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

    Ukitaka kujua kama jambo ni baya au zuri andika herufi U kabla ya jina la jambo hilo. Jina utakalo lipata baada ya kuweka herufi U ndilo litakalo kupa majibu kama jambo hilo ni zuri ama sio zuri. Natoa mifano kadhaa. 1. Dini. Ukiweka herufi U kabla ya neno Dini unapata neno UDINI. Maana...
Back
Top Bottom