Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,449
3,100
JF,

Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia.

Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta waliishi maporini na milimali wakimtafuta.

Mungu kabla hawajafanikiwa
 

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
4,731
6,056
Nilianza kumsikia akiwa Vatican sinza bar, hii ni maarufu kipindi enzi zetu tunasoma,
Siku moja nimetoka arusha nikasema ngoja nikapate biere baridi moja nikashangaa hakuna bar kuna Injili inapigwa kuulizia somebody Mwamposa nikasema haleluya.

Ila Aache mazingaombe kutapika nyembe na mende,kunya hirizi na shanga
 

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,929
4,818
Historia yake ya kumtafuta Mungu kabla hajaanza huduma
Alianza uinjilist wa kukaa na kuhubiri barabarani Mke wake akawa anaona aibu akasema tutafute kazi akasema hayupo tayari Mke wake akamtosa naye akajiwekea nadhiri kuwa hatuaacha kumtumikia Mungu hadi Ajue Mungu huyu ni nani ndiyo akampa hicho kipawa Chake..

I do not know lakini I think hadi leo hana Mke tena hata yule alipotaka kumrudi alikataaa.. A little I know though sina uhakika ready to be corrected
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
15,600
22,298
Alianza uinjilist wa kukaa na kuhubiri barabarani Mke wake akawa anaona aibu akasema tutafute kazi akasema hayupo tayari Mke wake akamtosa naye akajiwekea nadhiri kuwa hatuaacha kumtumikia Mungu hadi Ajue Mungu huyu ni nani ndiyo akampa hicho kipawa Chake.. I do not know lakini I think hadi leo hana Mke tena hata yule alipotaka kumrudi alikataaa.. A little I know though sina uhakika ready to be corrected
Kipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!
 
26 Reactions
Reply
Top Bottom