kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Beige

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kuanzisha kampuni ya tours!

    Habarini wana JF, Naomba kujua jinsi ya kuanzisha kampuni ya tours. Nitakuwa tu na ofisi ila magari sina Nategemea kukodisha magari na kutia nembo ya hiyo kampuni tarajiwa. Ninaomba ABCD tafadhali kwa wenye idea. Natanguliza shukurani za dhati.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu course za biashara kwa mihitimu wa Kidato cha Nne aliye somea science

    Nahitaji kusomea diploma business managing and marketing je, inawezekani?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Je unawezaje kujua kama ip address mbili zipo kwenye network tofauti?

    wakuuu mambo vipi wale wataalam wa network, ningeomba msaada kama kuna ip mbili unawezaje kujua kama zipo network moja au network nyingine...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

    Hii kalenda tunayotumia, Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa. Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? Au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
  5. Dra Maxie

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu wana JF hawakijui?

    Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

    Mwenzenu kila nikiwaza mboga ya kula siku hiyo napata tabu sana, yaani natumia muda mrefu sana kuwaza mboga na wakati mwingine nakosa najikuta kila nayowaza nimekula siku za karibu. Yaani kujua mbga ya kupika kwa upande wangu ni tatizo sana natamani hata ningekuwa naambiwa tu pika mboga hii leo...
  7. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba

    Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Kuhusu Mikopo ya Riba nafuu kutoka Hazina.

    Heshima kwenu! Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri. Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa gari za Toyota town hiace au panya buku

    Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
  10. May Day

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno ya matusi ambayo jamii hutumia kwa kujua au bila kujua

    Kumekuwa na mtindo kwenye Jamii kugeuza maneno yenye mlengo wa ki matusi kuwa kama sentensi au misemo rasmi na halali kuitumia kwenye maongezi ya kawaida. Na kwa isivyo bahati kwa utitiri huu wa vyombo vya habari imekuwa ni rahisi sana kueneza misemo au mneno yenye ukakasi au matusi hata kama...
  11. Bzero

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Ni kozi gani ya kusoma chuo ili kujua mambo ya graphics design na motion?

    Nahitaji kujua kozi inayohusiana na graphics designing na motion graphics chuon, ni course ipi naweza kwenda kuisoma kwa wanaofaham?!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adaiwa kutupiwa lawama na viongozi ACT Wazalendo kwa kushindwa kuikosoa Serikali

    Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
  13. official__pius

    JamiiForums Tanzania Je, naruhusiwa kuhama chuo?

    Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?
  14. Billionaire wa Betting

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba kama naweza kupata gari 0 kilometers au kuagiziwa

    Wakuu heshima kwenu, Naomba kufahamu authorized dealers au hata waagizaji wa magari kutoka USA kwa hapa Bongo.
  15. Side Makini Entertainer

    JamiiForums Tanzania Kipi ni kigumu zaidi kati ya kuweka rekodi na kuvunja rekodi?

    Wakuu kama kichwa cha uzi kinachoeleza najiuliza je ipi ina thamani kubwa na inaugumu zaidi kuliko kingine kati ya Kuweka rekodi na kuvunja rekodi!!!?
  16. willpower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  17. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajiona unapendwa kisa umewekwa Profile picture Whatsapp na kila mtu anaiona? Ijue mbinu chafu ya kuwaingiza kingi wawili bila wao kujua

    Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto. Wapili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye mkwanja mrefu, kijana wa totoz, Aisha yupo kwajili ya kukusanya mtaji tu hapo, siku akiachwa awe...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

    JF, Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia. Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC

    Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC
  20. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Rushwa inafanyaje kazi, angalia Nape na Makamba wanavyochaguliwa huko Dodoma

    Licha ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi, na January kufeli kabisa kwenye umeme, uashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu! Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha hawa vijana.
Back
Top Bottom