kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Soka Ufaransa ajiuzulu baada ya ripoti mbaya ya ofisi yake na tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014. Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, Jaji Biswalo anapaswa kujiuzulu haraka

    Leo Januari 31, 2023 Rais Samia amezungumzia suala la Plea Bargain, utaratibu wa Makubaliano ya Kumaliza Kesi kwa Kulipa Fedha kwa Serikali ambao ulitumika wakati wa Utawala wa Hayati Rais Magufuli chini ya DPP Biswalo Mganga aliyeondolewa na kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, huku akieleza...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

    CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota. Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14. Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mbowe ajiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Wana CHADEMA wengi hawana imani naye

    Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta. Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania New Zealand: Waziri Mkuu atangaza kujiuzulu

    Jacinda Ardern (42) amesema ataachia ofisi kabla haijavuka Februari 7, 2023 kwa kuwa anahisi hana nguvu ya kutosha kuendelea kushika madaraka hayo. Ardern alikuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mdogo Mwanamke alipoteuliwa kushika nafasi hiyo akiwa na umri wa miaka 37 Mwaka 2017 kisha mwaka...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Wananchi waandamana wataka Rais ajiuzulu

    Wananchi hao zaidi ya elfu moja wamemtaka Rais Kais Saied kuachia ngazi kutokana na mzozo wa kisiasa na kiuchumi unaoendelea. Wakiandamana katika Mji Mkuu wa #Tunis huku wakipata upinzani kutoka kwa Askari katika baadhi ya maeneo, wamedai licha ya kumuunga mkono kiongozi huyo lakini Serikali...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ufilipino: IGP ajiuzulu baada ya Maafisa wa Polisi kukamatwa na Dawa za Kulevya

    Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jenerali Rodolfo Azurin Jr, amesema anachukua uamuzi wa Kuwajibika kama Kiongozi ili kuwahimiza Maafisa wengine 1000 kujiuzulu ili kurejesha imani ya umma kwa Polisi. Waziri wa Mambo ya Ndani Benjamin Abalos alitoa wito kwa Majenerali wote wa Polisi na Makanali...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk kujiuzulu Uboss wa Twitter ikiwa atampata mtu "Mpuuzi" wa kuchuka nafasi hiyo

    Elon Musk amesema atajiuzulu kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Twitter atakapompata mtu "Mpuuzi" anayetosha kuchukua kazi hiyo. Bilionea huyo aliahidi mapema kutii matokeo ya kura ya maoni ya Twitter ambayo ilishuhudia 57.5% ya watumiaji walipiga kura ya "ndio" kumtaka kuachia jukumu hilo. Anasema...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watumiaji Twitter Milioni 10 wanataka Elon Musk ajiuzulu Utendaji Mkuu

    Mmiliki wa Twitter Elon Musk ameweka Kura ya Maoni kwenye mtandao huwa akiwataka watumiaji kuamua kama aendelee kuwa Mtendaji Mkuu au aachie nafasi hiyo ambapo Asilimia 57 ya watumiaji wameunga mkono kuwa aachie nafasi hiyo. Musk mwenye wafuasi milioni 122, alitweet: "Je, nijiuzulu kama...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Barua ya kujiuzulu kwa Papa Francis iko tayari tangu mwaka 2013?

    Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki lenye Waumini zaidi ya Bilioni 1.3 alisaini Barua ya Kujiuzulu baada tu ya kuteuliwa kushika Wadhifa huo na inasubiri tu augue kiasi cha kushindwa kutekeleza Majukumu yake ili aondoke Madarakani. Papa Francis aliyetimiza miaka 86 Desemba 17, 2022 aliikabidhi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mgawo wa Umeme wasababisha Bosi wa ESKOM Group kujiuzulu

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Eskom Group Andre de Ruyter amejiuzulu huku nchi ikikabiliwa na matatizo ya kukatika kwa umeme (kukatwa kwa umeme kulikopangwa). De Ruyter anaacha wadhifa wake karibu na tarehe ya alipochukua wadhifa huo Desemba 25, 2019. Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kufikia kiwango...
  12. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Azimio

    Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Uhuru Kenyatta anatarajiwa kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Muungano wa Azimio, aliobuni pamoja Mhe' Raila Odinga katika kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita. Hatua hii ina maana kuwa sasa Raila Odinga na mgombea mwenza Martha Karua ndio watakaondelea kuongoza Muungano...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana viongozi wanashindwa kujiuzulu!

    Kwanini mnafanya jambo la nchi kama personal ama family issues? Unapofail katika jukumu la kitaifa, ukionekana hutoshi mahala kama unajua hilo ni jambo la kitaifa na sio personal basi ni rahisi ukajiuzulu na kuwapa wenzio nafasi wafanye na wao. Hii mentality ya kujibinafaiahia nchi mpaka...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Miaka 15 ya Uspika na 35 ya Uwakilishi Bungeni, Spika Pelosi kujiuzulu rasmi

    Spika wa 52 wa Baraza la Wawakilishi na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo akiwa kiongozi wa chama cha Democratic kwa miaka 19, ametangaza hatua hiyo baada ya kuhudumu kama Spika mara 2 kwa miaka 15. Amekuwa Mwakilishi Bungeni kwa miaka 35 tangu mwaka 1987 na kisha kuwa Spika mwaka 2007...
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka Rais Samia Suluhu kujitafakari na Kujiuzulu

    Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana. 1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi...
  16. Execute

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

    1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati. 2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam. 3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na...
  17. Poker

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi ajiuzulu nafasi yake ya urais kwa kututusi sisi wanayanga!

    Kitendo cha Rais wa klabu yetu pendwa ya Young Africans au yanga kutuita sisi mashabiki wake wala mihogo, ni kutudhalilisha, kutufedhehesha, kutudharau na kutuona hatuna maana. Inauma sana kwa kweli leo hii sisi ni wakuitwa wala mihogo ambao hatufai kuchangia chochote kisa tumekula mihogo. Na...
  18. ankai

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye shaka juu ya demokrasia ya nchi za Magaharibi hasa baada ya Waziri Mkuu Uingereza kujiuzulu?

    Nasubiri kuona kiongozi wetu mkuu kuiga mfano halisi wa demokrasia sahihi na hakika kutoka kwa kiongozi wa jumuiya ya madola. Yaaani ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na nusu tumeshuhudia kwa macho yetu wenyewe kabisa mawaziri wakuu wawili tena wa dola kubwa sana duniani wakijiuzulu kutokana tu...
  19. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Suala la kujiuzulu Tanzania

    Suala hili la kujiuzulu haswa katika nyadhifa za utawala ndani ya sirikale ya CCM. Hili limekuwa ni mwiba mkali sana kwao maana kila linapotkea jambo lisilokuwa na mashiko na ikatokea shinikizo dhidi ya mhusika kutakiwa kujiuzulu linakuwa ni jambo zito mno haswa kwa viongozi wa sirikale. Mfano...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022 Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na...
Back
Top Bottom