Boris Johnson ajiuzulu Ubunge kwa shinikizo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1686340975632.png
Johnson ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza na baadaye kujiuzulu kutokana na sakata la Brexit, amefikia uamuzi baada ya Kamati ya Haki za Bunge kubaini alipotosha Bunge na hivyo kupendekeza asimamishwe Ubunge kwa siku 10.

Mbunge huyo wa chama cha 'Conservative' kutoka Majimbo ya Uxbridge na Ruislip Kusini, amesema "Inasikitisha sana kuondoka Bungeni, lakini nimeshangazwa kwamba naweza kulazimishwa kutoka, kinyume na demokrasia".

Ameishutumu Kamati hiyo kwa kumtuhumu bila kuwa na ushahidi kuhusu kashfa ya kulipotosha Bunge katika mchakato wa Brexit (Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya (EU) ambapo watu Milioni 17 waliripotiwa kuchagua kujitoa.

=============

Boris Johnson stepping down as an MP with immediate effect and says he is 'bewildered and appalled' at being 'forced out'​

Boris Johnson is standing down as the Conservative MP for Uxbridge and South Ruislip, it has been reported.

The move by the former prime minister will trigger an immediate by-election.

He took the move after the Privileges Committee of the House of Commons reportedly found he misled Parliament & recommended sanction of more than 10 days.

Johnson told the Times: “It is very sad to be leaving parliament - at least for now - but above all I am bewildered and appalled that I can be forced out, anti-democratically, by a committee chaired and managed, by Harriet Harman, with such egregious bias”

BREAKING

Boris Johnson is standing down as the Tory MP for Uxbridge and South Ruislip, triggering an immediate by-election

Comes after Privileges Committee recommended suspension of more than 10 days
— Steven Swinford (@Steven_Swinford) June 9, 2023
 
Back
Top Bottom