Ninahitaji kujifunza 2D animation

Mtoto mkubwa

Member
Dec 29, 2014
68
23
HABARINI za muda huu Wakuu, mimi ni kijana nimeenda age kidogo, kwasasa nipo chuo mwaka wa3. Nilikua natamani kujua kutengeneza animation since 2016 ila sikua na wakunisapoti nilielezea hili suala kwa familia ila walilizalau.

Sasa hivi nahitaji kujifunza kwan nimeshanunua tablet Xpen mini deco 7, ambayo ikospeedart ni kwaajili ya kuchorea na nna pc Kuhusu kipaji cha kuchora mimi ni mchoraji mzuri tu. Nmejaribu kuangalia totorio yutub ila zinanichanganya tu.

So shida yangu kubwa ni mtu ambae anaujuzi na 2d animation anifundishe alaf tutajua tunapozana vipi. sihitaji collage cz najua sitaweza kulipa ada nahitaji mtu ambae anajua vizuri 2D animation.

ASANTENI

20220128_125600.jpg
 
View attachment 2098684
penye nia pana njia, oky pata mtu pia mkisaidiana na google utaelewa zaidi!

Ila mwanangu umenipa wivu mana hiyo laptop na tablet ni mtaji wa biashara kabisa!
 
HABARINI za muda huu Wakuu, mimi ni kijana nimeenda age kidogo, kwasasa nipo chuo mwaka wa3. Nilikua natamani kujua kutengeneza animation since 2016 ila sikua na wakunisapoti nilielezea hili suala kwa familia ila walilizalau.

Sasa hivi nahitaji kujifunza kwan nimeshanunua tablet Xpen mini deco 7, ambayo ikospeedart ni kwaajili ya kuchorea na nna pc Kuhusu kipaji cha kuchora mimi ni mchoraji mzuri tu. Nmejaribu kuangalia totorio yutub ila zinanichanganya tu.

So shida yangu kubwa ni mtu ambae anaujuzi na 2d animation anifundishe alaf tutajua tunapozana vipi. sihitaji collage cz najua sitaweza kulipa ada nahitaji mtu ambae anajua vizuri 2D animation.

ASANTENI

View attachment 2098684
Check www.tzcodeacademy.com najua Wana IT. Ulizia kuhusu hiyo 2D Sina uhakika nayo
 
If you can not undestand you tube teachers then you will not be able to understand JF teacher.
Why ? Because youtube colkects millions of best teacher on the same topic.
I think the problem is you don't understand their mother tongue. The fact is the best teachers are found on you tube.
My advice; improve your listening skill kwa sababu you tube hakukwepeki na hata huyo wa JF atatumia media na tools kama za you tube kukufundisha.
Learn to learn to use techology.
Tafuta website nzuri, tafuta walimu wazuri huko you tube huta juta.
Kuna site huyo mwalimu wako wa kibongo atasubiri sana yani gape ni kubwa sana, wazungu wanajua sana mambo na wana techology nying za kufafanua mambo. Mi nabaki kukushangaa tu ku surrender yt.
 
Thanks kwa kiongozi.
 
Kama upo dar....nenda ubongo kids msasani waombe kuvoluntreer utakutana Na 2d artists Na kujifunza mengi....Mimi pia ni mchoraji Nina swali kuhusu hiyo drawing tab....ukichomeka kwa PC unaweza kuchora direct kwenye hiyo tab kama simu zenye pen.....unaweza pia kuadvise nitumie njia gani kupata kama hiyo
 
Mkuu! Hapo ubongo kids uliwahi kwenda kuomba kuvolunteer au? Kama uliwahi kwenda unaweza kuniambia experience uliyoipata pale na sisi pia tuweze kwenda
 
Back
Top Bottom