kujifunza

  1. Ladder 49

    Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa. Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia nitumie android studio nikainstall android studio kwenye computer nikajaribu kutengeneza weather forecast...
  2. Kiokotee

    Jamii wameiga(Kujifunza) nini kutoka kwako?

    Kuna jambo lolote unahisi katika familia, Wilaya, mkoa, Taifa au Dunia kwa Ujumla lilinzia kwako ndipo watu wakaliendeleza katika jamiii liwe baya au zuri au la kuvutia au kukera lakini wewe ndio muasisi. Tuthibitishie hapa!! Kwa mfano kuna maneno yalitamkwa na wanasiasa na wanamuziki miaka...
  3. Kibosho1

    Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

    1. Napoleon Bonaparte Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku. Alihamishwa kabisa...
  4. and 998 others

    Wapi naweza kujifunza lugha ya KIARABU

    Wakuu nimepata fursa ya biashara ya kuuza Mkaa katika nchi wanazozungumza Kiarabu Egypt, Oman, Bahrain, Kingdom of Saudi Arabia, UAE na Qatar. Ili kurahisisha mawasiliano nimeona nijifunze lugha pendwa. Wapi naweza kujifunza kwa Dar es Salaam? Gharama sio tatizo. **Walimu wawe professional...
  5. R

    Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

    Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo. Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa...
  6. Nebuchadinezzer

    Hayati Rais Magufuli: Kiongozi wa mfano Karne ya 21

    Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja. Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Katika awamu yake, alithubutu kukingia kifua raslimali za watanzania...
  7. peter msuku

    Je, unatatizo au unataka kujifunza?

    Katika kipindi ambacho technology iko Kasi pia fursa nyingi zinafunguka kwa vijana wanaoitaji kujiajiri. Saan agency tunakupa mafunzo yatakayo kufanya uweze kujiajiri mwenyewe. 1. Tutakufundisha matatizo mbalimbali yanayoikumba computer au simu yako upande wa software na hardware na jinsi gani...
  8. Fursakibao

    Baada ya Kenya kupiga marufuku LPG kutoka Tanzania, kuna kitu cha kujifunza kama Taifa

    Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake. Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi...
  9. ESCORT 1

    Yalitokea kwa Joyce Banda, Rais wa kwanza mwanamke nchini Malawi kuna la kujifunza

    Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo. Akaingia madarakani, akawa...
  10. NguoYaSikuKuu

    Simba ina mengi ya kujifunza kwa Petro de Luanda

    Hawa jamaa wanacheza kama wako kwao. Jamaa wana timu nzuri na wachezaji hawakosei pass wala kushindwa kujiamini. Unatazama soka mpaka unafurahia. Tuna mengi sana kujifunza kwa nia nzuri tu!
  11. The Sheriff

    Wanahabari 50 wa Tanzania kujifunza kuandika habari za fedha na biashara

    Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
  12. Jembe Jembe

    Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
  13. bafetimbi

    Nahitaji kujifunza Martial Art

    Wasalaam wazee. Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipenda kujifunza sanaa za mapigano. Sasa wadau naamini humu kuna wakongwe na wajuzi wa mambo haya mnaweza kunipa ushauri. Je, ni sanaa ipi ya mapigano iko strong kwa maana ya self defence, sihitaji kuwa mkorofi ila mtu akijichanganya vibaya...
  14. Naona TV

    Umewahi kujifunza ujuzi gani kupitia Filamu?

    Tuongelee filamu kidogo.. Inasadikika kuwa baadhi ya movies (Filamu) ukitazama zinaweza kukufundisha ujuzi au masuala ambayo hukuwahi kuyafahamu kwa urahisi kabisa. Mfano movies zinazohusu masuala ya sheria/kesi zinapendwa na wengi sababu zinatoa elimu ya Sheria na mienendo ya haki huku...
  15. Dr Matola PhD

    Sasa tuzungumze kimichezo, Nawapongeza sana Simba, Yanga tuna la kujifunza kwa Simba hili liko wazi atakayebishe ana matatizo kichwani

    Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba. Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki wa Simba hamna cha kuidai timu yenu kwa kutolewa robo fainali ni hatua nzuri timu imefika...
  16. clinton gidioni

    Naomba kujitolea kujifunza kazi yako, unilipe pale nitakapoweza baadhi ya majukumu

    Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU. Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne. Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tusiopenda kusoma makala ndefu na tunapenda kujifunza na kufahamu zaidi tukutane hapa

    Habari hizi ni za kutoka kwenye mtandao wa kijamii FAHAMU ZAIDI.
  18. Z

    Je, inawezekana kujifunza pikipiki Kama hujui kuendesha baiskel?

    Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk. Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel? Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel? Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
  19. S

    CHADEMA mnatakiwa sana kujifunza na kukubali kuwa kukosoana, kuvumiliana ndo sehemu ya demokrasia

    Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo: I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka wazo tofauti juu ya CHADEMA inachokiamini watu wa chama hiki hujitokeza kuta kejeli na matusi kama...
  20. dubu

    Kabla ya tume huru ya Uchaguzi, Tanzania twende kujifunza Demokrasia Nchi ya Mauritius

    Salaam, Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa kama nchi pekee barani Afrika yenye demokrasia kamili. Kulingana mchakato wa uchaguzi, kazi za...
Back
Top Bottom