Siku ya Lugha Mama Duniani: 40% ya watu hawatumii Lugha wanazozielewa katika kujifunza

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Februari 21 ni Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama ambayo ilianza kuadhimishwa 2000 ili kudumisha Utamaduni na Amani kupitia Lugha

UNESCO wamesema hadi sasa 40% ya watu duniani hawatumii Lugha wanazozielewa kwenye kupata elimu. Jamii hizo zimelazimika kufahamu Lugha zaidi ya moja

Kwa 2022 Siku ya Kimataifa ya Lugha inaangalia nafasi ya teknolojia katika kukuza Lugha Mama

=======

The idea to celebrate International Mother Language Day was the initiative of Bangladesh. It was approved at the 1999 UNESCO General Conference and has been observed throughout the world since 2000.

UNESCO believes in the importance of cultural and linguistic diversity for sustainable societies. It is within its mandate for peace that it works to preserve the differences in cultures and languages that foster tolerance and respect for others.

Linguistic diversity(link is external) is increasingly threatened as more and more languages disappear. Globally 40 per cent of the population does not have access to an education in a language they speak or understand. Nevertheless, progress is being made in mother tongue-based multilingual education with growing understanding of its importance, particularly in early schooling, and more commitment to its development in public life.

Multilingual and multicultural societies exist through their languages which transmit and preserve traditional knowledge and cultures in a sustainable way.

"Technology can provide new tools for protecting linguistic diversity. Such tools, for example, facilitating their spread and analysis, allow us to record and preserve languages which sometimes exist only in oral form. Put simply, they make local dialects a shared heritage. However, because the Internet poses a risk of linguistic uniformization, we must also be aware that technological progress will serve plurilingualism only as long as we make the effort to ensure that it does".
 
Nadhani kwa Tanzania ni zaidi ya 80% ya watoto wetu hawajui kbs lugha ! makabila ya wazazi wao...
 
Nadhani kwa Tanzania ni zaidi ya 80% ya watoto wetu hawajui kbs lugha ! makabila ya wazazi wao...
Hujaelewa, habari ni kwamba watu hawatumii lugha ya mama kwenye kupata elimu, hawasemi kuongea kilugha. Mfano msukuma, mgogo, mchaga na makabila yote ya Tanzania hatutumii lugha ya mama kupata elimu. Hapa tunajifunza kwa kiingereza ili kupata elimu na ujuzi.
Kuna mataifa yaliyoendelea yanatumia lugha mama kupata elimu na ujuzi
Waingereza, wachina, warusi, wakorea, etc wanatumia lugha zao kupata elimu na ujuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom