Baada ya Kenya kupiga marufuku LPG kutoka Tanzania, kuna kitu cha kujifunza kama Taifa

Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
6,681
11,120
Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake.

Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi kutoka TZ kwenda KE;

waimba mapambio walisikika kila kona ya nchi wakiwaaminisha watanzania kuwa safari ilikuwa na mafanikio kwani nchi hizo mbili zimesaini mkataba wa ujenzi wa bomba la gesi.

Baada ya ziara hiyo waimba mapambio walisikika wakisema kuwa ziara ilikuwa na mafanikio makubwa sana kwani nchi hizo mbili zimekubaliana kujenga bomba la mafuta lenye thamani ya dola bilioni 1.

kwa watu wasioelewa waliona tumeula kumbe kijana wa mjini kutoka +254 kamuingiza mkenge dada ake wa kambo😂😂😂.
Watu wenye upeo mkubwa wa uchambuzi wa mambo tulijua hapa tunepigwa lakini kutoka na nguvu kubwa ya waimba mapambio hakuna ambae angesena akaeleweka ila sasa kwa kuwa mda ni mwalimu nadhani wataelewa sasa baada ya Kenya kuzuia KPG ya Tanzania kuingia Kenya.

Baaghi ya sababu ya kuzuia gesi hiyo ya Tanzania kuingia huko ni kutaka kuteka soko la gesi la Africa Mashariki linaloshikiriwa na Tanzania.

Ili kutekeleza azma yao hiyo wameamya kuanza kujenga storage facility yao itakayoweza kutunza tani 25000 za LPG

mkandarasi kutoka Pakistan tayari kaisha pewa tenda ya ujenzi na makampuni 5 yatakayoendesha biashara hiyo tayari yamepatikana wanasubiri leseni tu.

Mama yetu kipenzi kuna jambo la kujifunza hapa
mliambiwa hawa sio watu wa kuchekea mkabisha huku mkimponda alie choma vifaranga. haya sasa bomba hakuna tena. mmebaki na MoU kabatini huku wakenya wakufaidika na yale madariki mliofanya hasa hasa upande wa work permit na Tozo.

wahuni si watu; Kenya 2: 0 Tanzania.Kazi Iendelee
 
Taifa Gas, a Tanzanian liquefied petroleum gas (LPG) supply company led by prominent businessman Rostam Aziz, has been granted permission to establish an LPG plant in Kenya’s Export Processing Zone (EPZ), allowing the energy firm to expand its operations in East Africa.

Source:The Citizen
 
Kenya siku zote wameweka maslahi yao na taifa lao mbele.
Tanzania ni ya wazembe na kizembe mno kuliko unavyogikiri.
Kama hujawahi kuvuka mpaka wowote wa ardhini au angani najua hutanirlewa utaishia kunitukana
Mkuu umesha kunywa chali kweli?
Naona unachanganya mafaili kweli.
 
Habari ya lini hii?
Taifa Gas, a Tanzanian liquefied petroleum gas (LPG) supply company led by prominent businessman Rostam Aziz, has been granted permission to establish an LPG plant in Kenya’s Export Processing Zone (EPZ), allowing the energy firm to expand its operations in East Africa.

Source:The Citizen
 
Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake.

Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi kutoka TZ kwenda KE;

waimba mapambio walisikika kila kona ya nchi wakiwaaminisha watanzania kuwa safari ilikuwa na mafanikio kwani nchi hizo mbili zimesaini mkataba wa ujenzi wa bomba la gesi.

Baada ya ziara hiyo waimba mapambio walisikika wakisema kuwa ziara ilikuwa na mafanikio makubwa sana kwani nchi hizo mbili zimekubaliana kujenga bomba la mafuta lenye thamani ya dola bilioni 1.

kwa watu wasioelewa waliona tumeula kumbe kijana wa mjini kutoka +254 kamuingiza mkenge dada ake wa kambo😂😂😂.
Watu wenye upeo mkubwa wa uchambuzi wa mambo tulijua hapa tunepigwa lakini kutoka na nguvu kubwa ya waimba mapambio hakuna ambae angesena akaeleweka ila sasa kwa kuwa mda ni mwalimu nadhani wataelewa sasa baada ya Kenya kuzuia KPG ya Tanzania kuingia Kenya.

Baaghi ya sababu ya kuzuia gesi hiyo ya Tanzania kuingia huko ni kutaka kuteka soko la gesi la Africa Mashariki linaloshikiriwa na Tanzania.

Ili kutekeleza azma yao hiyo wameamya kuanza kujenga storage facility yao itakayoweza kutunza tani 25000 za LPG

mkandarasi kutoka Pakistan tayari kaisha pewa tenda ya ujenzi na makampuni 5 yatakayoendesha biashara hiyo tayari yamepatikana wanasubiri leseni tu.

Mama yetu kipenzi kuna jambo la kujifunza hapa
mliambiwa hawa sio watu wa kuchekea mkabisha huku mkimponda alie choma vifaranga. haya sasa bomba hakuna tena. mmebaki na MoU kabatini huku wakenya wakufaidika na yale madariki mliofanya hasa hasa upande wa work permit na Tozo.

wahuni si watu; Kenya 2: 0 Tanzania.Kazi Iendelee
Lakini mkuu watu tuliandamana mtandaoni sema tu masikio ya kufa ya awamu ya sita.Katika hii block nchi za kuwa suspicious nazo Kenya na Rwanda ,hiyo haikwepeki. Nyerere hakuwa mnoko na hata alochoma vifaranga naamini hakuwa mjinga. So I just need pop cones and watch the match na hawa watu
 
Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake.

Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi kutoka TZ kwenda KE;

waimba mapambio walisikika kila kona ya nchi wakiwaaminisha watanzania kuwa safari ilikuwa na mafanikio kwani nchi hizo mbili zimesaini mkataba wa ujenzi wa bomba la gesi.

Baada ya ziara hiyo waimba mapambio walisikika wakisema kuwa ziara ilikuwa na mafanikio makubwa sana kwani nchi hizo mbili zimekubaliana kujenga bomba la mafuta lenye thamani ya dola bilioni 1.

kwa watu wasioelewa waliona tumeula kumbe kijana wa mjini kutoka +254 kamuingiza mkenge dada ake wa kambo.
Watu wenye upeo mkubwa wa uchambuzi wa mambo tulijua hapa tunepigwa lakini kutoka na nguvu kubwa ya waimba mapambio hakuna ambae angesena akaeleweka ila sasa kwa kuwa mda ni mwalimu nadhani wataelewa sasa baada ya Kenya kuzuia KPG ya Tanzania kuingia Kenya.

Baaghi ya sababu ya kuzuia gesi hiyo ya Tanzania kuingia huko ni kutaka kuteka soko la gesi la Africa Mashariki linaloshikiriwa na Tanzania.

Ili kutekeleza azma yao hiyo wameamya kuanza kujenga storage facility yao itakayoweza kutunza tani 25000 za LPG

mkandarasi kutoka Pakistan tayari kaisha pewa tenda ya ujenzi na makampuni 5 yatakayoendesha biashara hiyo tayari yamepatikana wanasubiri leseni tu.

Mama yetu kipenzi kuna jambo la kujifunza hapa
mliambiwa hawa sio watu wa kuchekea mkabisha huku mkimponda alie choma vifaranga. haya sasa bomba hakuna tena. mmebaki na MoU kabatini huku wakenya wakufaidika na yale madariki mliofanya hasa hasa upande wa work permit na Tozo.

wahuni si watu; Kenya 2: 0 Tanzania.Kazi Iendelee
Leta source ya taarifa yako
 
Back
Top Bottom