7/7 Tuchague kujenga badala ya kubomoa

7/7 Tuchague kujenga badala ya kubomoa

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
703
Reaction score
1,143
Katika Kumbukumbu la Torati 30:19, twasoma "Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako"

Niwazi kuwa Mwenyezi Mungu ametupa uhuru wa kachagua hatima yetu kama mtu mmoja mmoja lakini pia kama Taifa kwa ujumla. Kwahiyo hali yetu ya sasa na ya baadaye inategemea sana tunachagua nini leo.

Sote ni mashahidi wa madhila yaliyotukuta October 29. Kama Taifa tulikata shauri kwa kauli moja kuwa "Never Again" Hata hivyo katika hali isiyokuwa ya kawaida wapo wenzetu wanaoona tuliyoyapitia hayatoshi wanatamani 7/7 tuirudie historia ile ya machungu.

Nina imani tunayo hoja na haja ya kuambiana ukweli. Katika mapambano ya ngangali na ngunguli huwa hakuna mshindi. Haswa haswa tutasababisha vifo, ulemavi, majeruhi, upotevu wa mali na uharibifu wa miundo mbinu.

Nchi yetu ni "work in progress" bado haijakamilika. Tofauti za mitizamo yetu juu ya hali yetu ya sasa na maoni ya nini tufanye kujikwamua sio sababu ya kutufanya tuingie barabarani, bali ni fursa yakutuleta kwenye meza ya mazungumzo.

Serikali imeshaonesha nia thabiti ya kufanya maridhiano. Hiyo ni fursa adhimu ya kujitokeza kusema kero, maoni na ushauri utakaotutoa sehemu moja kwenda nyingine katika njia salama. Rai yangu kwa wananchi wenzangu, 7/7 tuchague kujenga badala ya kubomoa
 
Ukazungumze na nani kwa lipi ?
 
Kulikuwa kuna ugumu gani wa kufanya maridhiano kabda ya uchaguzi wa kiuni.Nyakati hizi siyo za kufanya uhuni kwenye chaguzi ili tupate viongozi watakaopeleka nchi mbele.
Watumishi wa chini tunapambana kujenga taifa nyie wa juu mnatuletea uhuni.Acheni uhuni kwenye maisha ya watu.Raia wachague kiongozi wanayemtaka bila kujali mshindi ni ccm au chadema.
 
Serikali imeshaonesha nia thabiti ya kufanya maridhiano. Hiyo ni fursa adhimu ya kujitokeza kusema kero, maoni na ushauri utakaotutoa sehemu moja kwenda nyingine katika njia salama. Rai yangu kwa wananchi wenzangu, 7/7 tuchague kujenga badala ya kubomoa
Ni kama hukwenda shule ya uganga kabisa.
Utatibu vipi kansa bila ya kuondoa/kuua seli zote mbovu.
Akili yako siku zote inatazama tumbo tu basi.

Sijui umeandika nini humo ndani ya hayo maandishi ambayo yangepashwa kubebwa na kichwa cha mada.
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,

8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.

9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA.
HAKUNA ALIYE SALAMA.
 
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Nyie pigeni sarakasi ila suala la October 29 halitawahi kufutika na litawaandama hadi siku haki imepatikana.

Huwezi kukaa na kuja na vikaulimbiu vya huko CCM kwamba "never again" halafu unashindwa kuwajibika kwa kukwepa visababishi na wasabibishaji wa hayo huku umejificha kwenye kivuli cha kaulimbiu.
 
Huyu punga anajionaga sijui nani, Anajiita dr, huo udaktari ni wa upumbavu?

Huyo mama yako baada ya kuiba kura na kujipachika uraisi ameacha kuteka? na kuua watu? Juzi tu hapa kamteka msaidizi wa Lissu.

Unataka haya maovu tuyapinge kwa namna gani? Kama yeye hawezi kuvumilia wakosoaji wake iweje sisi tumvumilie? kwa lipi Jema analotenda kwa watanganyika? Je ni kwa kuuza raslimali zao? kuwateka? kufisadi mali za Tanganyika?

Ninyi madaktari mapunga tutakuja kuwala viboga tukikomboa nchi.

Ulivyo mpumbavu utakuja na swaga za JF ya siku hizi imekuaje, hatuwezi kuvumilia upumbavu wa kutetea wanaolifilisi Taifa letu.

Hiyo "never again" inapaswa kuwa kwa huyo mama yako kwa matendo yake kwetu, sio sisi tuseme never again kwa ufisadi, utekaji, mauaji, nepotism, na wizi wa kura. Peleka udaktari wako wa kisenge uko ccm.
 
Hivi watu wakakae kuridhiana kuwa watu wasitekwe? Au nyie wenzetu mnaishi nchi gani?

Yaani unaamini kuwa serikali inaweza kushindwa kutokomeza Utekwaji na utesaji wa Watanzania kawa wao hawahusiki?
MSUMENO HUKUTA KUWILI.
 
Katika Kumbukumbu la Torati 30:19, twasoma "Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako"

Niwazi kuwa Mwenyezi Mungu ametupa uhuru wa kachagua hatima yetu kama mtu mmoja mmoja lakini pia kama Taifa kwa ujumla. Kwahiyo hali yetu ya sasa na ya baadaye inategemea sana tunachagua nini leo.

Sote ni mashahidi wa madhila yaliyotukuta October 29. Kama Taifa tulikata shauri kwa kauli moja kuwa "Never Again" Hata hivyo katika hali isiyokuwa ya kawaida wapo wenzetu wanaoona tuliyoyapitia hayatoshi wanatamani 7/7 tuirudie historia ile ya machungu.

Nina imani tunayo hoja na haja ya kuambiana ukweli. Katika mapambano ya ngangali na ngunguli huwa hakuna mshindi. Haswa haswa tutasababisha vifo, ulemavi, majeruhi, upotevu wa mali na uharibifu wa miundo mbinu.

Nchi yetu ni "work in progress" bado haijakamilika. Tofauti za mitizamo yetu juu ya hali yetu ya sasa na maoni ya nini tufanye kujikwamua sio sababu ya kutufanya tuingie barabarani, bali ni fursa yakutuleta kwenye meza ya mazungumzo.

Serikali imeshaonesha nia thabiti ya kufanya maridhiano. Hiyo ni fursa adhimu ya kujitokeza kusema kero, maoni na ushauri utakaotutoa sehemu moja kwenda nyingine katika njia salama. Rai yangu kwa wananchi wenzangu, 7/7 tuchague kujenga badala ya kubomoa
Ukiulizwa hiyo serikali iliwekwa na nani utajibuje? Kama iliwekwa na wananchi kwa nini Rais akukusanya watu uwanja wa taifa siku ya Uwapisho wake wananchi wakafurahia? Kwa nini ilikua ufichoni kwa hiyo unajificha wananchi wako waliokuchagua?
 
Back
Top Bottom