figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,614
- 62,397
Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+ kisa AFCON.
AFCON ishakuwa Dilisha la upigaji.
Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni Bilioni 400 tu kwa mwaka 2026/2027 .. Sasa kama Bilioni 50 zinajenga Kilometa mbili, Mishahara, Matumizi mengine itakuwa bei gani? So kwa Mwaka Zanzibar wanatengeneza Kilometa mbili tu? Maajabu
Hiki ni kipalande cha Barabara kinachopita kwenye nyumba mpya ya Samia Suluhu Hassan...
Wanasema gharama ni Panoja na kupanda Miti. Mbona tulienda Kizimkazi kupanda Miti bure siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Samia?
Hiyo bajeti ya bilioni 471 siyo kwamba zote zinaenda barabara pekee; ni kifurushi cha miradi ya miundombinu kinachojumuisha barabara, madaraja, bandari, usafiri wa baharini, taa za barabarani na baadhi ya miradi ya usafiri wa anga. 🤣🤣🤣🤣
NGOJA NIWAPE MFANO KIDOGO ILI KUJUA TUNAPIGWA.
Hebu tuangalie miradi mbalimbali ya barabara zinazosimamiwa na TANROADS:
1. Barabara ya Kahama–Bulyanhulu Jct–Kakola (km 73) imekadiriwa kugharimu Sh bilioni 101.2, sawa na takribani Sh bilioni 1.39 kwa km moja.
2. Mradi wa Tanga–Pangani (km 50) wenye gharama ya Sh bilioni 118.7 ni takribani Sh bilioni 2.37 kwa km moja.
3. Mradi wa Nyamuswa–Bunda–Bulamba (km 56.4) kwa Sh bilioni 67.887 ni takribani Sh bilioni 1.2 kwa km moja.
Haya, Wazanzibar Jiteteeni kama hamtumii hela ambayo hamjatolea jasho
Hela ya Watanganyika. Ndo maana mnatumia Bilioni 25 kwa Kilometa moja badala ya kutumia Bilioni 5(Ukiweka na 10% ya Mafisadi)
Tuambieni.