kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siri ya kuishi miaka mingi ya Kheri Duniani

    SIRI YA KUISHI MIAKA MINGI YA KHERI DUNIANI! Anaandika, Robert Heriel Baba. Tena Sisi tuliowatoto wa Baba asiyeonekana, tukawa Baba wanaoonekana ili tuweze kufanya yaliyo mapenzi ya Baba yetu aliyemkuu Yule asiyeoonekana na kamwe ambaye hatokuja aonekane. Basi nisikilizeni Wanangu. Kwa maana...
  2. Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Habari za muda huu wana JF, Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya. Mfano, Mimi niliwahi kutembelea...
  3. Bado na Ndoto ya kwenda kuishi Canada

    Wadau habari za jamvini mimi naomba msaada kwa yoyote mwenye imani ambaye anaweza kunipa tips za kwenda Canada kupambana uko kimaisha kama hauna lolote unalojua kaa pembeni subiri ujadili mengine
  4. Mipango ya Wahaya kuishi kama wazungu 1950

    Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today. Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo? Utangulizi. Mji Bukoba au Bukoba ya Leo ya mwaka 2019,hayajapishana sana na mji wa Bukoba wa mwaka 1915 wakati wa...
  5. Maamuzi ni yako kati ya KUISHI ama KUDUMU

    Naam wana Jamii Forum (Jukwaa) Binafsi me ni mzima na nyie natamani muwe hivyo ila kama kuna mmoja wetu hayupo sawa kiakili, kiafya, kiuchumi basi asikaribishe nia ya kukata tamaa. Nafkiri andiko juu lina someka vizuri "MAAMUZI NI YAKO KATI YA KUISHI NA KUDUMU". Nafkiri misamiati mikuu ya...
  6. Ipi sehemu nzuri kujenga na kuishi?

    Habari zenu wana JamiiForums! Ningependa kupata maoni kwa wadau katika kuchagua eneo la kuishi. Kuna ndugu yangu anataka kujenga kabisa, viwanja anasema vipo poa kapata maeneo haya; 1. Kigamboni (mjimwema, gezaulole, kisiwa) 2. Kimara 3. Mbezi mwisho 4. Kitunda 5. Goba Hivyo viwanja maeneo...
  7. Wanaokuja kuishi Dar wapewe semina elekezi

    Katika utafiti mdogo niliofanya hapa Dar es Salaam nimegundua kuwa changamoto za mji huu haziishi na kwa kiasi kikubwa ni zile zile miaka yote kwa kuwa wakaazi wa mjii huu, hasa wale wageni hawataki kubadilika. Leo nimepita barabara ya Bagamoyo maeneo ya Mbezi, nikaona mdada mmoja anamwaga...
  8. M

    Unapojenga nyumba ya kuishi fikiria sana mahitaji yako halisi, vyumba vitatu vinatutesa wengi

    kipindi hiki cha likizo, mimi kama mwalimu ili kupunguza zarau maana tunaonekana walimu ndio watu maskini na hatuna akili nchi hii,so kama kawaida likizo hii nimendelea kufanya biashara zangu za mazao na nimejikuta nipo zambia , hulka yangu napenda kudadisi na kujifunza vitu vipya...
  9. M

    Wanawake mnawezaje kuishi na mwanaume anayefokafoka?

    Habari zenu jamani. Naomba kuuliza, inawezekana mie nimesahau mafundisho ya shangazi, wanawake wenzangu mnawezaje kuishi na mwanaume anaye fokafoka? Maana mimi naona yamenifika hapa! Huyu mwanaume amenizidi umri kwa miaka saba, sasa sijui ananichukulia mimi mdogo yake! Yaani nikikosea kitu...
  10. Je, wanawake hamuwezi kuishi kabisa bila kutegemea wanaume?

    Hivi watoto wa kike hamuwezi kabisa kuishi kwa vipato vyenu mpaka muombe ombe hela kwa wanaume? Yaani hamuamini mnaweza mkawa self dependent bila wanaume? Ni kwanini mnageuza miili yenu kuwa sehemu za kujipatia kipato? Ni lazima mvae nusu uchi? Ukitongozwa ni lazima uombe hela? Hio elimu...
  11. Simulizi kuhusu maana ya kuishi

    Hiki ni kisa cha mtu aliyechelewa safarini. Alipofika kwenye stesheni ya treni alipanda treni ya kwanza kuwasili mbele yake. Na kwa sababu ya uchovu alisinzia kwa muda na kisha baadae kuamka. Alishangazwa kuona treni ikiendelea kwenda kwa kasi pasipo kujua uelekeo wake. Alianza kuuliza kila...
  12. Ulaya wameanza kuishi kama enzi za kale baada ya viyoyozi kukosa gesi

    Hakuna dunia bila Putin.
  13. Umuhimu wa kuwalipa wasanii pesa inayowawezesha kuishi bila kujichanganya na jamii

    Msanii ni kioo cha jamii na jamii ina watu wenye uwelewa tofauti na hupokea ujumbe katika mapokea tofauti. Mfano tamdhilia ina kipengele cha mama wa kambo mtesi wa watoto. Nia ya sanaa ni kuweka wazi matendo yanayoendelea katika jamii lakini kuna watakao pokea na kumchukia yule msanii hasa...
  14. Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO

    Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
  15. Namna ya kuweza kuishi DAR; Ishi kibepari

    NAMNA YA KUWEZA KUISHI DAR! ISHI KIBEPARI Anaandika Robert Heriel Ni ndoto ya Vijana wengi hapa nchini kuja mjini hasa Dar es salaam. Hilo sio ajabu kwani hata katika mataifa mengine hiyo ni kawaida. Kwa Kenya Vijana wengi hutamani Nairobi, Nigeria ni Lagos na Abuja, Misri ni Cairo, na majiji...
  16. Wanawake 7 kumtaka mwanaume mmoja. Unyenyekevu na utiifu vyahusishwa katika ndoa

    Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika. Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
  17. SoC02 Ongezeko la bei za bidhaa ni chanzo cha wananchi kuishi kama watumwa

    (Picha mtandoni) Utangulizi Ugumu wa maisha umesababisha ongezeko la umaskini hapa nchini. Wananchi wengi wamekosa mahitaji kwa sababu ya mapato yao kuwa madogo hali ambayo imewafanya wananchi kuishi kama watumwa wakitafuta angalau kidogo cha kutia mdomoni. Wananchi wengi ndani ya sehemu...
  18. Ni Muhimu Watoto Wenye Ulemavu Kuwezeshwa Kuwa Washiriki Hai Katika Jamii Zao Na Kuishi Maisha Bora

    Ni muhimu kwa watu wenye ulemavu kuwa washiriki hai katika jamii zao na kuishi maisha yenye kuridhisha. Mkataba wa Haki za Watu Wenye Ulemavu unasema kuwa watu wenye ulemavu wana haki ya kushiriki kikamilifu katika jamii. Watoto na watu wazima wenye ulemavu mara nyingi hukabiliwa na ubaguzi...
  19. Sidney Sweeney analalamika malipo anayolipwa hayamtoshi kuishi

    Sidney ni Hollywood Star ambae analipwa $25,000 kwa episode moja. Anasema kati ya hizo 10% inakwenda kwa agent wake, 5% ni ya lawyer na 3% ni ya meneja. Hela inayobaki baada ya tax ndiyo anaishi nayo yeye. Analalamika amechoka kufanya kazi na anataka kuchukua likizo ya miezi sita kutuliza...
  20. SoC02 Kuishi kwa Hekima

    KUISHI NA HEKIMA Hekima inaweza kuja kwa namna nyingi. Inaweza kuwa kipande cha ushauri, somo la kujifunza, au hata tukio la maisha. Hekima ni kilele cha uzoefu na maarifa, ni matokeo ya kuishi kwa sasa. Hekima ni uwezo wa kujua jinsi ya kutenda katika hali yoyote. Hekima ni uwezo wa kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…