kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Mbezi mwisho siyo pa kuishi "Domo zege's"

    Heri ya Mwaka mpya wakuuu, Nimeishi maeneo mengi hapa Dsm ila nina mwezi wa saba sasa since nihamie mbezi mwisho, mimi ni wale domo zege, yaaani kutongoza Mitihani, mimi ndo wale tunapata mbususu kwa wadau (dada zetu hawa watoa huduma). Nimekuja kugundua hii sehemu ina uhaba wa mbususu...
  2. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaotaka Kumiliki nyumba za kuishi mwaka 2023

    Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali. Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia somo ambalo nimeona litakusaidia sana sana kuhusu nyumba ya kuishi. Ninafahamu kuwa ushauri huu sio...
  3. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Kila nikifikiria kifo cha Alphonce Mawazo Roho inakataa kabisa kuishi Bongo, bora nikimbie

    Huwa nawaza sana kuuawa kwa huyu mwamba halafu mbaya zaidi huzuni hii hunijia wakati unapigwa wimbo wa taifa kwamba Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote. Yaani Mungu abariki wauwaji? Hakika baadhi ya vesi za kinafiki kwenye wimbo wa taifa ziondolewe. Yote kwa yote mimi nafsi yangu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa. Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali. Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

    Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani. Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 nategemea kuishi ki-padri

    Usiniwaze Sana Mimi nawaza Maisha yangu. Ili nifikie Goals na nisiweke- pause Lazima niishi ki-padri (Priest life) Nahitaji chukua Chuma ya Pili ili nimpatie My Mama that All na siwezi mchukulia Chuma ya Chini ya Mil 20
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dream za baadhi ya wanawake ni kufanya sherehe/harusi kubwa na si kuishi maisha ya ndoa

    Unakuta dada anafunga ,anaomba apewe mume ,Mungu anampa mume baada ya ndoa anarudi kwa ex wake ,hapo ndipo unajua shida yake ilukuwa ni SHEREHE/HARUSI nae wamwone kaolewa na si MUME wala NDOA. Hapo utajua kuna wanawake wanaopenda SHEREHE/HARUSI ila hawapendi maisha ya NDOA wala mume,kwani anaye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi karibu na Mpaka wa Tanzania na Zambia

    Wana jukwaa Salaam Kwa wazoefu wa maeneo haya ninaomba msaada. Mpango wangu ni kuishi mpakani mwa Zambia na Tanzania (karibu na hapo Tunduma) lakini eneo la mpakani kiasi kwamba nikitaka kuvuka kupata mahitaji upande wa pili wa Tanzania ninavuka bila shida. Pia ni biashara gani hapo inayoweza...
  9. Toni Toni

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuishi kwa wazazi, naombeni ushauri

    Shikamooni wakubwa zangu mdogo wenu naomba ushauri kidogo kutoka kwenu... Mimi ni kijana mwenye miaka 24 naishi hapa dsm ila mpaka muda huu bado naishi nyumbani kwa wazazi, kwa umri wangu nshaona kuwa najiendekeza sana mana mpaka sasa ningekuwa najitegemea na mimi niwapunguzie mzigo wazee. Ila...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maisha mazuri ni kuishi katika utakatifu tu

    Hakika nikijiangalia kipindi changu cha Majira ya upofu ambapo nilikuwa sijaamua kuishi katika Maisha ya utakatifu. Naona mabadiliko makubwa sana. Nchi ya ahadi ni nzuri, imejawa na asali. Nauona mwisho wangu ukitamatika katika haki na kweli. Vijana mtafuteni Mungu wa kweli acheni kuishi...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke watu waliotupokea na kutupa njia za kuishi hapa DSM

    Kwa Mara ya kwanza nilipofika hapa Dsm nilifikia kwa Uncle wangu ni Askari yeye na mke wake. Nakumbuka nilikaa pale wiki tatu tu lakini niliziona Kama Mwaka mzima . Asikuambie Mtu yule uncle wangu ndo alinifundisha kumjua Mungu na kunipeleka Shule Hadi kufika Chuo Mungu Ampe Maisha marefu...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tanzania watu zaidi ya milioni 40 hawana makazi yao ya kuishi

    Kiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini? Sera ya nchi ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na makazi salama inaharibiwa na utaratibu mbovu wa watu kumiliki...
  13. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Watoto wa "Single mama" jifunzeni kwa Diamond Platinumz kuishi na baba zenu wa kambo

    Ndiyo, nawakumbusha tu. Kila siku utasikia Anko Shamte piga YOPE! Anko Shamte! Ankali wa Taifa! Yaani hadi unatamani kabisa kuoa single mama. Hii si kwa bahati mbaya, kijana anamkubali baba’ke wa kambo. Na hii ndiyo furaha na tulizo la mama’ke. Sasa kuna hawa wengine, kuna muda hata salamu tu...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Funga macho, vita picha katika fikra kwamba umeweza kuishi mpaka 2100, ni kitu gani unakiona ?

    Nafunga macho naanza kuvuta picha kwamba kama ntafika mwaka 2100 1. Bangi imeruhusiwa karibu Kila nchi, ni bidhaa unayoweza kuipata hata Kwa Mangi na kutumia hadharani. 2. Jiji la dar limepanuka sana, Mlandizi pamebomolewa na kujengwa upya, maghorofa kibao 3.Smartphone zitakuwa kama...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  16. co fm

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuishi Bongo, nataka niende mamtoni

    Habarini za humu wanajamii, humu JF kuna watu mbalimbali wengine wanakaa Buza huko kwa mpalange, wengine Masaki na Osterbay, wengine Mwananyamala kwa kopa huko ila wengine wapo mamtooni huko pande za akina Biden. Sasa wale wa kwa biden na ulaya huko ndo naomba ramani za kwend kuzama huko. Je...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siri ya kuishi miaka mingi ya Kheri Duniani

    SIRI YA KUISHI MIAKA MINGI YA KHERI DUNIANI! Anaandika, Robert Heriel Baba. Tena Sisi tuliowatoto wa Baba asiyeonekana, tukawa Baba wanaoonekana ili tuweze kufanya yaliyo mapenzi ya Baba yetu aliyemkuu Yule asiyeoonekana na kamwe ambaye hatokuja aonekane. Basi nisikilizeni Wanangu. Kwa maana...
  18. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Habari za muda huu wana JF, Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya. Mfano, Mimi niliwahi kutembelea...
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Bado na Ndoto ya kwenda kuishi Canada

    Wadau habari za jamvini mimi naomba msaada kwa yoyote mwenye imani ambaye anaweza kunipa tips za kwenda Canada kupambana uko kimaisha kama hauna lolote unalojua kaa pembeni subiri ujadili mengine
  20. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Mipango ya Wahaya kuishi kama wazungu 1950

    Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today. Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo? Utangulizi. Mji Bukoba au Bukoba ya Leo ya mwaka 2019,hayajapishana sana na mji wa Bukoba wa mwaka 1915 wakati wa...
Back
Top Bottom