Mipango ya Wahaya kuishi kama wazungu 1950

Oct 26, 2021
98
287
Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today.

Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo?

306432676_3294369624218129_4548346703781099898_n.jpg
74209201_3205533579521893_2565166872483856384_n.jpg

Utangulizi.

Mji Bukoba au Bukoba ya Leo ya mwaka 2019,hayajapishana sana na mji wa Bukoba wa mwaka 1915 wakati wa utawala wa Germans. Katika iliyojulikana kama German East Africa Sphere of Influence ambayo ni Tanganyika,makao makuu yake yalikuwa Mjini Bukoba. Station kubwa ya Germans ilikuwa mjini Bukoba (itaekezwa zaidi katika story ya vita vya kwanza vya dunia).

Hivyo mji huo ulijengwa kuwa makazi ya Kudumu ya Germans na baadae British pia na wao waliendeleza mpango huo mala baada ya vita vya pili vya dunia kuisha,kuwa waijenge Upya Bukoba na kuwa makazi yao ya kudumu,na Bukoba ikaanza kujengwa kwa mfanano wa Europe."The Bahaya should live like the white men" Ilikuwa ni kauli iliyoongoza kuijenga Bukoba.

MIKAKATI YA KUIJENGA BUKOBA

Katika kuelekea Uhuru kuanzia miaka ya 1950's,tawala zote za buhaya (Obukama 8/9)zilikuwa na mwakilishi katika Buhaya Council ambayo Mwenyekiti wake alikuwa ni Omukama Sylvester Ntare wa Ihangiro(Iyangilo lya nkumbya) na kuwa Mukama wa kwanza kuchaguliwa Bukoba. Katibu wake alikuwa ni kijana msomi Sospeter Zahoro.Bwana Zahoro nae mke wake alikuwa ni mwana mama msomi aliyejulikana kama Magret Zahoro na baadae alikuwa kiongozi wa Bukoba Women's Club ambayo ilikuwa ikipambana dhidi ya Uasherati na Umalaya kwa kuwafundisha wanawake sanaa na ujuzi wa ufumaji na Uhunzi.

Katika vikao vya Council, Mwenyekiti wake alikuwa akifungua vikao kwa kuanza kusema maneno yafuatayo*"kuanzishwa kwa Council ni zawadi ya Selikali, Selikali ya kikoloni kwa watu wake,Japo kuwa democracy ndiyo iliyokuwa zaidi ya zawadi iliyoshikiliwa na utawala wa kikoloni*".Wahaya wasomi walijikita zaidi katika kutafuta Selikali huru,hivyo mwaka 1955 wahaya wasomi walisajili na kufungua tawi la TANU mjini Bukoba.

Kuanzia hapo,mjini Bukoba kukawepo na utawala wa aina 3,ambao kila utawala ulikuwa na Selikali yake na malengo yake.
1. Selikali ya utawala wa Abakama.
2. Selikali ya utawala wa Kikoloni.
3. Selikali ya utawala wa TANU

Abakama walijihusisha na maendeleo ya tawala zao,wakoloni walikuwa wanyonyaji na TANU iliutafuta Uhuru wa aridhi na democrasia kutoka kwa wakoloni, kumbuka mandate territory, hivyo wahaya hawakutaka kabisa kutawaliwa na wengi wao walikuwa ni wasomi.

TANU ilipoanza mjini Bukoba,raisi wake wa kwanza alikuwa ni kijana msomi Herbert Rugizibwa ambaye mwanzo alikuwa ni msaidizi wa Felix Lwamugira aliyejihusisha na utafiti na uandishi wa historia za tawala za Bakama wa Buhaya.Akiwa kiongozi wa TANU,aliweza kufika Mara kwa Mara mjini Bukoba na kuangalia maendeleo ya Buhaya Council, alikuwa akitoka Mwanza ambako yalikuwa makao makuu ya kanda ya TANU, we are writing to our government to give some help to our local administration towards further advancements in our Country hayo ni maneno ya Rugizibwa.

Mwaka 1957,Bukoba ilikuwa na Wajumbe 7462 wa TANU,idadi hiyo ilimshitua District Commissioner kwa maana alijua kwa idadi hiyo ilikuwa ni nguvu kubwa ya Buhaya kudai aridhi na Uhuru na wengi wao wakiwa wasomi na walionekana kuwa na nguvu ya Umoja.Hakika wahaya walitaka kupewa Uhuru wao mwaka 1957.

Mnamo August 1957, Commission ya Umoja wa Mataifa(UN), ilitembelea Bukoba na kukuta idadi ya wajumbe 15,000 wa TANU ambao kwa pamoja walihitaji Uhuru wa aridhi yao pamoja na Selikali yao na Mara moja wakaanza mikakati ya Kilijenga taifa lenye utambulisho wa Utamaduni wao kwa kufuata mila, desturi na miiko ya Buhaya.

Mwabarua 1956 Rugizibwa aliandikia barua Buhaya Council juu ya wimbi la ulevi na umalaya wa wanawake kwenye bar na kuranda randa balabalani, alieleza kuwa katika kipindi chake cha kulitumikia Jeshi mjini Nairobi Kenya,alikuwa akiwaona wazungu wakienda na wasichana wao kwenye kumbi za sinema na kucheza nao disco na pia aliwaona wakiwa pamoja sehemu zingine ila hakuwahi kuwaona wanawake wa kizungu wakilewa na kuyumba yumba barabarani,japo wanawake wengine walikuwa wakifanya kazi ya umalaya, waliweka katika maadili na kuwa na adabu za kizungu tofauti na wanawake wa kihaya waliokiuka mila na desturi na kuwa wendawazimu.

Alihimiza kuwa katika jamii ni lazima wanawake wawe ni wenye kuwa na heshima,stara na waungwana katika kulijenga taifa. Mwanamke asiwe zimwi la upotofu wa maadili ili kuliangusha taifa. Herbert Rugizibwa alisisitiza kuwa baa zote za kienyeji zifungwe na kuwekwa sheria za kuwazuiya wanawake kutembea usiku. Rugizibwa aliungwa hoja na haya political thinkers ambao walihitaji maadili ya jamii kufuatwa ili kutengeneza buhaya yenye heshima na nidhamu. Mmoja alisikika akisema kuwa Countries like German, France, Egypt and England you can't see the behaviors like what we see here in Buhaya Kwa pamoja wakakubaliana na kuamuwa kuwa """ Haya people should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today.
 
Attachments

  • 75625294_3205534779521773_2914753102726823936_n.jpg
    75625294_3205534779521773_2914753102726823936_n.jpg
    11.2 KB · Views: 44
Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today.

Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo?

View attachment 2363288View attachment 2363289

Kwamba mji wa Bukoba ulikuwa mji mkuu wa German East Africa, ndiyo leo nasikia. Ninavyofahamu nchi za Ulaya zilifanya mkutano mjini Berlin Novemba 1884, kugawana Bara la Afrika. Wajeremani walipewa Tanganyika, Rwanda na Burundi, wakaliita eneo hilo German East Africa na makao yake makuu yalikuwa Bagamoyo. Wakaanza kutawala kutoka Bagamoyo. Kwa kuwa Bagamoyo ni pembezoni mwa hilo koloni, baada ya muda si mrefu walipanga kuyahamisha makao makuu kuyapeleka Tabora ambapo ni katikati zaidi ya koloni lao. Bahati mbaya vita vikuu vya dunia vya kwanza vikaanza na mpango wa kuhamisha makao makuu ukasitishwa. Lakini ujenzi ulikuwa umeanza tayari na mpaka leo hii lipo hilo jumba linaloitwa Boma. Hapo ndipo walifanya makao makuu na mpaka miaka ya 1980 makao makuu ya Mkoa yalikuwa hapo. Miaka hiyo ya 80 makao makuu ya mkoa yalihamishiwa jirani tu na hapo Bomani kwa kujenga majengo mapya. Lakini Boma la Mjeremani bado lipo hadi leo na bado linatumika kama ofisi. Kwa hiyo Bukoba kuwa mji mkuu wa German East Africa ni habari ngeni kabisa kwangu.
 
Zamani tulizoea kuona wanawake wa kihaya wakijiuza,hata ulitaka kuoa mhaya ilileta shida,mambo yamebadilika,Malaya wengi wanatoka uchagani,na sehemu mbalimbali,umalaya limekuwa janga la taifa,na halina ukabila tena,...
MKUU umalaya hauchagui kabila mkuu. na kuna tafiti yoyote umefanya kuona kwamba malaya wengi sasa wanatokea uchagani?
 
Majitu manaume sijui yana nini! mnapewa huduma oooh! umalaya! basi pigeni punyeto! ..........hamueleweki nini mnataka! hata mkipiga weee! mtalia tena!
 
Back
Top Bottom