kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. insane

    JamiiForums Tanzania Mbona ameniacha ghafla! ana mtu au kaamua kuishi tu peke yake?

    Ipo hivi... Kuna siku nilikuwa napita mahali nikamuona mtoto wa kike jina alikuwa skola nilikuja kumjua baadae ametulia kwao hio asubuh juani akawa ananiangalia sikumsemesha nikapita zangu lakini nikigeuka nyuma alikuwa bado ananiangalia basi mimi nikaachananae tu nikaendelea na mishe zangu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania HOJA Jebra Kambole: Kufanya Kuishi Kuwa Kosa la Jinai: Gharama ya Kibinadamu ya Operesheni ya Kinondoni Dhidi ya Uombaji

    ANDIKO LA Jebra Kambole Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu wanaoomba kwenye mitaa ya Dar es Salaam ni sehemu ya wimbi linaloongezeka la hatua kali za manispaa dhidi...
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumba la kifahari, inadaiwa la Lugumi, ukipewa kuishi bure, unaweza shindwa, kumudu bili ya umeme na maji

    Sina hakika ni skendo tu nasikia ni ya LUGUMI. Kwa ukubwa inaonekana vigogo hewa wa humu jf tunaweza SHINDWA KUMUDU billi ya maji na luku, maisha haya
  4. O

    JamiiForums Tanzania Unahisi mtu huyu aliweza kuishi baada ya kumaliza karibu kreti ya pepsi

    Jonee mwenyewe https://youtu.be/WTiIWW6QQ_0?si=SOtRb7rbD0YDPMma
  5. Astrid_Lulanga 8223

    JamiiForums Tanzania Maisha bila watoto wala ndoa

    Naomba kujua kwa walioamua kuishi bila bila kuoa/kuolewa maisha yao yote na bila kuwa na watoto kabisa(sio kwasababu hana uwezo wa kuzaa). Ni mambo gani yaliwasaidia kuishi hiyo lifestyle? Umelala kwa muda gani na attention yako umehamishia wapi zaidi tofauti na ndoa/Watoto?
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

    Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja. Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na . kuimarika kwa afya...
  7. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufahamu kuwa kuna samaki anaweza kuishi miaka hadi 500?

    The Greenland shark can live over 400 years. It was swimming before Shakespeare was born.
  8. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Ukifa, hutatamani tena kuishi duniani!

    Ukifa hutatamani tena kuishi duniani. Hutatamani kuishi tena duniani kwa sababu utakuwa hujui chochote kinachoebdelea. Hali inakuwa sawa na vile ilivyokuwa kabla ya kuzaliwa. Ni hayo tu!
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ibara 14 ya katiba inampa kila mtu kuishi iweje watu wachache ndani ya nchi wanaivunja katiba...

    Nashangaa taifa lililosheheni taasisi nyingi za kuilinda katiba lakini wanaibuka watu ,kikundi cha watu wanaivunja hiyo katiba na taasisi zipo za kuitetea katiba . Kama katiba imeshindwa kumlinda raia kuna haja kuwa na katiba . Katiba yetu imechakaa kama shati lililopauka lenye virakaviraka...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi kwa furaha na mkeo/mumeo Siku zote za maisha yenu.

    JINSI YA KUISHI KWA FURAHA NA MKEO/MMEO SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba/Mume. 1. Nitaendelea kutoa elimu. Sipo hapa kumbadilisha mtu anayeishi maisha anayoyahitaji. 2. Nipo hapa kwa ajili ya wenye uhitaji wa kuishi maisha ya furaha, kuishi kwa amani wao na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

    Naamini mko njema wakuu Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe muda mwingi nyumbani akitekeleza majukumu ya nyumbani na watoto Kingine niliamini mwanamke akianza...
  12. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

    Wakuu, Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero! Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana. Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao...
  13. Latent chaos

    JamiiForums Tanzania Kuishi kama mtu mzima: [life skills vs gender roles]

    Jumapili njema waungwana, Natumaini kila mmoja wetu yupo salama, wengine mpo viwanja, wengine mnapambana na usingizi wa mchana nk. Sasa ndugu zangu leo nimekaa nikakumbuka experience fulani niliyowahi kupitia field wakati naanza kazi miaka zaidi ya kumi ilopita , na kadri nilivyofikiria...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mpo kwenye starehe, si mumeo, unabeba Mimba! Hivi una akili sawasawa?

    MPO KWENYE STAREHE, SI MUMEO UNABEBA MIMBA. HIVI UNAAKILI SAWASAWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba. 1. Binti Yangu, usijeniletea aibu za rejareja hapa. 2. Nilikufundisha tangu mwanzo, anayepata madhara zaidi ndiye anatakiwa kujihami. Nikakuambia Jambo lolote ambalo wewe ndio utakuwa...
  15. Last_Born

    JamiiForums Tanzania Je, mtu anaweza kuishi bila marafiki?

    Baadhi ya watu huishi maisha ya peke yao. Je, hiyo ni afya au tatizo?
  16. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

    Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda. Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hali ya Watanzania kuishi kwa matumaini kuwa ipo siku watabutua kwenye kamari inatishia Usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa ni nyanja pana sana. Suala la ulinzi wa pesa za nchi na wananchi linapaswa kuwa sehemu ya mkakati wa Usalama wa Taifa. Watanzania kwa ujumla wao kila siku hupoteza mabilioni ya pesa kwenye kampuni za betting wakitarajia ipo siku watalala maskini na kuamka matajiri. Siku...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Pemba tuliathiriwa na Mradi wa Barabara ya Mtambile - Nanguji hatujalipwa fidia na hatuna pa kuishi

    Sisi ni Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Jimbo la Mtambile, Wilaya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba katika eneo letu tunaloishi kumepita mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mtambile hadi Nanguji inayojengwa na mkandarasi IRRIS. Malalamiko yetu mkandarasi huyu alijenga njia kwa kujaza kifusi kingi bila...
  19. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi bila kazi yeyote, tusaidiane

    Shikamoon wakubwa Mwishoni mwa mwaka Jana niliweka mipango yangu kuwa ifikapo tarehe 5 Mwezi wa Kwanza niwe nimeshalipa chumba changu,ikiwa ni njia ya kujitegemea, wazazi wangu ,haswa mama hakupenda kabisa nihame nyumbani huku akiniasa ikiwa maisha ni magumu nirudi. Mmmh ,nikalipa chumba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi?

    Na wengi wao huwezi kuwajua kabla ya ndoa, Drama inaanza baada ya ndoa
Back
Top Bottom