Tunangoja Zaidi Kuliko Kuishi?

Tunangoja Zaidi Kuliko Kuishi?

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
587
Reaction score
546
Tunatumia sehemu kubwa ya maisha yetu kungoja kuliko kuishi.
Tunangoja tumalize shule.
Tunangoja tupate ajira.
Tunangoja tupate mchumba.
Tunangoja mchumba abadilike.
Tunangoja ndoa.
Tunangoja tujenge.
Tunangoja tupate watoto.
Tunangoja tuongeze elimu.
Tunangoja tupande cheo.
Tunangoja tupate kazi ya ndoto zetu.
Tunangoja biashara ikue.
Tunangoja tujenge nyumba ya ndoto zetu.
Tunangoja kipato kiimarike.
Tunangoja watoto wasome.
Tunangoja kikokotoo cha kustaafu.

Mara kweli tumezeeka.
Tunangoja kufa. Hatujaishi.
 
Tunatumia sehemu kubwa ya maisha yetu kungoja kuliko kuishi.
Tunangoja tumalize shule.
Tunangoja tupate ajira.
Tunangoja tupate mchumba.
Tunangoja mchumba abadilike.
Tunangoja ndoa.
Tunangoja tujenge.
Tunangoja tupate watoto.
Tunangoja tuongeze elimu.
Tunangoja tupande cheo.
Tunangoja tupate kazi ya ndoto zetu.
Tunangoja biashara ikue.
Tunangoja tujenge nyumba ya ndoto zetu.
Tunangoja kipato kiimarike.
Tunangoja watoto wasome.
Tunangoja kikokotoo cha kustaafu.

Mara kweli tumezeeka.
Tunangoja kufa. Hatujaishi.
WAKATI UNANGOJA UNAISHI!
 
Ni mwendo wa kusindikiza wao tu sio mzee
downloadfile-1.png
 
Chawa wa lumumba naona umekumbuka kuishi baada ya fukuto la ndani ya chama chenu cha wezi linalotishia posho zenu za ngama.

Unakumbuka shuka kumekucha, anyway sisi wengine tunaishi, balling to the fullest since day moko
 
Mnanishaurije Mimi ambaye:-
Nangoja watoto wa shule kwenye chochoro ili ningonoke nao,
Nangoja dakika zaidi ya 90 nijamiianapo na wife ndipo nimwage,
Nangoja chakula nikifika kwa watu hasa wakipika wali,
Nangoja...
 
Sasa wakati unangoja unafanyaje? Unakuwa umekufa?

Wakati hayo tunayangoja bado tunaendelea kuishi
 
Mnanishaurije Mimi ambaye:-
Nangoja watoto wa shule kwenye chochoro ili ningonoke nao,
Nangoja dakika zaidi ya 90 nijamiianapo na wife ndipo nimwage,
Nangoja chakula nikifika kwa watu hasa wakipika wali,
Nangoja...
Hatuna cha kukushauri maana kungoja ni Sehemu ya maisha hata kifo tunakingoja japo kikija hakitoi taarifa
 
Back
Top Bottom