Natafuta Apartment DSM: Ghorofa, AC, Jiko <300K

Natafuta Apartment DSM: Ghorofa, AC, Jiko <300K

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,918
Reaction score
28,645
Nataka ni sake apartment kabisa, hiyo 200k sio shida tena kwangu.

Labda ni waambie tu.

Mazingira unayoishi yanaku shape in subtle ways ambazo wewe mwenyewe huwezi kujua

Nataka ni sake apartment,

Wajuvi ni ipi bei chee kwa DSM na iwe below 300k yaani iwe ghorofani, iwe na air condition, na jiko?

Naombeni mnipe mwongozo.
 
Kigamboni kwa bei hiyo, ungekaa hapo tajiri. Hiyo bei apartments mitaa hiyo mwenye nyumba alitaka ukae utunze nyumba sio uwe mpangaji. 😊
Mkuu Sitanii ni padogo sema ndo maana nilikacha kuna wapangaji na vyumba ilikuwa vimeshajaa alikuwa anamaliza finishing
 
We ni mwanachuo? Kama bado unapanga nyumba za below 800k hapa Bongo we bado kinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom