habari ndugu yangu natumaini uko njema wa afya, na kama si hivyo polee. kwa jina naitwa ......
Fulani hila kwa sababu ya hili nililoamua kushikilisha adhira sinto tananabaisha kinagaubanga wasifu wangu..huenda walegwa wa hili wakapata nakala hii hiii si hadithi ya kubuniwa wala kutungwa ni ukweli ambao mapito yake ni sawia.
Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 25 ni kijana ambaye natafuta maisha na katika tafuta tafuta zangu nikaangukia kwenye udereva. udereva wa magari makubwa haswaaa maroli watu wamekuwa na dhana au maono tofauti sana na fani hii jamani hii ni fani kama fani zingine japo kuna watu waovyo wanaharibu jina lake. sasa mwaka huu 2026 mwezi wa 7 ilikuwa jumanne hivi.
Nilikuwa nipo maeneo ya ukonga kata ya banana. maskani nimetulia na wife na mwanangu mdogo wa miezi 7 . hapo kichwani mambo yanakuja mengi mengi.. vipi life langu linakuaje naliendeshaje likae sehem nakotakantapoona hapa sasa hafadhali .. simu yangu ya mkonon
Niliita samsung A05 za mkopoo wengi mnnazifahamu ... namber hilikuwa tofauti na yatanzania hilianzia na+ 257..
Nikasema anhaa sawa kumbe upo burundi ? simu imekata tyu mke wangu akaniuliza uyo ndo yule ba mdog wako? nikamjib ndiyo huyu ndo alinfundisha udereva wa roli akajibu haaa sawa ndo yuko burundi ? nkadakia ndio sjuhi kaenda lini? Akasema wife mhh atakwambia uende uko nini? Nikamwambia sijuhi hata maana amenambia nmpigie akinitumia hile ya vocha.. malaa tywee mesej iyo muhamala uwoo sh 12000 hiyo
...daah nikafaurah sana maana nilikuwa sielew nikajiunga chapa dk za buku nikamvutia waya kweny number yak ya tanzania. maongez yalikuwa hiv saas ba mdog ndio ba mdogo sasa nataka tuongee kidg upo shem nzuri ? nikjb ndio niko sehem nzuri tyuu ... akanmbia vitu vingi tyuu hila kikubwa kile alichohisi mke wangu..safari ya burundii na hiii ndo sababu ya kusimulia jambo hili linalotokea katika maisha yangu...
Kusema kweli skumpinga kwa wazo lake lakunambia anatka nkamshikie gari burundi na yeye aje tanzania sasa ikawa mm na mke wangu tunajadiri inakuaje mzee nkaskuti kwenye ndonga langu nikapata jibu moja tyu hapa nikuzama mzee burundi kwa watoto weusi wa mng'ao ni hatari sasa ndo nimejionea mwenyew.. nikamwambia wife enhee m nasepa hivyo akintumia nauli ba mdogo akajibu sawa hila na hapa tunabakije sasa? nkamwambia ntafosi mimi bwana ni mzee wa tutuu ni rsata falahi japokuwa nanyoa denge wenyewe tunaita ngazi tatu kiufupi najipenda kunyoa 3000 -5000 m sioni hasala kikubwa nipendeze sasa siku zikapita simu ikaita tena nipo maskani mda huo nimepoa haloo n bamdogo mhh vip uko sawa akanambia nkamwabia nko poa tyu nambie ba mdogo.. akasema hile ishu sasa iko tyr nataka uje nakutumia laki moja hapo ukate tiketi leo kesho uanze safali .. anhaa mi mdomo wazi..
Kama surprise nikamwambia sawa ba mdogo..number hipi akaniuliza hiii nikwambia jina linatoka la kwangu... sawa akakata simu daki chache mzigo huwooo.. mia kamili yan laki moja..ikazama sasa chaap akili ikaanza kuruna butun ipo high mda huwo da hii hela naigawaje sasa kudadeki?😇 nikawaza cha kwanza tiketi nikazama online google chap safari dar kigoma..maana hili ufike burundi lazima upite kigoma kwanza then ndo ufike uko bunjumbura..
Kwa watoto wazuri wenye madhali ya kinyarwanda na rundi mchanganyiko huwo sasa ngoma ikasoma 70000 dar kigoma chuma saratoga nikaona fulesh nikalipa muhuni chp chapi online mzigo ukaenda kila mtu akafa na chake m yangu tiket yao wakazoa.. kwenye simu sasa kukabaki na 28000 ..na vichenji vyangu nikawa jumla na kama 50 eflu na point nikafika home ma mtu nikampa 20000 eflu kumi nikanunua koti nikabaki na 20000 nikazimisha ngoma kama hivyo.. usiku niliagwa vizuri sana nilipewa vitu vya slow mixer migandisho mhh basi tyuu kuna mda unkuwa sio wewe kabisaa...
Chezea penzi wewe. kumekucha na safri ikaanzia kwa magufuri jioni moja hivi ya saa 11 nko ndan yq saratoga pempeeeee chuma 12 inaondoka kwa kasi ndani ya stsndi ikipiga pempeee kama zote wenyew tunaziita Kanga... sasa kichwani nawaza tyu mhh yani dar hivi naenda burundi mhh sijuhi itakuaje hii mungu nifikishe salama tumeenda ndani ya basi hap nko siti ya dirishani naangalia basi linavyouacha mji wa dar na kuingia kibaha ...njiani vijana walikuwa wanatuaga wakisema wasalimie Kigoma karibu dar..huku wakicheka nikaachana nao.
Nikawa namchtisha mke wangu nkazika na usingizi kustuka nk morogoro stend.iyoo saa 3 naaaa.dk zake jaman kuchimba dawa dakik 10 nkadrop n mm chap nikapata zangu kali nikawasha maana fegi nilizitupa mdaa tyuu namaliza nikastag toilet nakalud kweny mchuma naskizia ngoma pyeee chumba ikapewa gia mbeleeee safari tena imeanza njaaa ikaniamsha kucheki mdaa saa 6 hiyoo kituo kilichofata aijuhi hilikuwa wapi nilishuka nikachukua juic na karanga na maandazi hapo lengo n kumeki hela nistumie hovyo sasa nikazimua hapo nikawa fitii ngoma iyoo imeingia Kigoma stend taaap mzee ndo nipo kigoma hivyo nikamvutia waya ba mdogo kwamb m nmefk haloo haloo ba mdogo nmefika tayr anhaa sawa safi polee bana na safali nkisema asante angalau nimefika mhhnaomba muongozo nipande gari gani akanambia hap wew tafuta geat ulale maana basi za kuja uku ni asubuhi tyuu..hapo mfukon sina mazingira ya kuafodl maana bado sijala na gest
...ngoma ikawa ngumu akanitumia 100,000... 25,000 ya paspot na nyingine ya nauli kutoka kigoma asi burundi ni 30000.. sasa nikafanya mazngira yangu nikapata culture kwanza ya kilasi na gezt moja ya 10000.. nikazama ndani nikaenda kukta tiket ya kesho asubuhi iyo ni mishale ya saa 8 mchana ... nikapata ni coster wala sio basi kama yakama ya tanzania.. paspoti sasa nikaenda pale nikatoa vitu vyangu taarifa zangu nikapata paspoti japo kwa mbinde anyway.. sasa nikarudi nasubir safali na hapo ndo mwanzo sasa wa hili pigo la kwanza linalonikuta nikiwa njiani ndani ya burundi kwenye ardhi yenye dhahabu na ndizi za kutosha ni madhari ya milima na barid kiasi ni mji wenye milima mingi sana kuliko tambalale ntaendeleza maana majukum yananbana kidogo..