Kuishi kwa mazoea badala ya sheria

Kuishi kwa mazoea badala ya sheria

Mkandara

Platinum Member
Joined
Mar 3, 2006
Posts
16,011
Reaction score
9,460
Nimefuatilia sana mijadala mingi inaoendelea kuhusiana na tamko la Serikali juu ya mabus ya Usafiri Mikoani na matumizi ya Stendi ya Magufuli.

Ni hivi, miji yote mikubwa duniani ina Kituo kikuu cha Usafiri wa mabus au treni (Central Station) ambapo mabus yote hufikia pale kisha kuna usafiri wa ndani ambao kwa mji wetu wa Dar kuna usafiri wa Dart, taxi, Uber, Daladala na kadhalika ambao kazi yao huunganisha safari za abiria kule waondako.

Hii ni mipango miji inayolenga uboreshaji wa huduma, kupunguza msongamano wa magari mijini na usalama wa wananchi barabarani. Msafiri wa bus hawezi kuwa na haki zote barabarani pasipo kuzingatia watu wengine katika biashara zao.

Sii kila mfanya biashara ya Usafiri ana mabus ya kwenda Mikoani wengine shughuli zao huishia mjini na ndio riziki zao zinavyopatikana na mzunguko wa fedha unavyotakiwa. Hatuwezi kuondoa Umaskini nchini kwa huruma na sadaka za uongo wakati hawa ni wafanya biashara sio NGOs.

Ikiwa Stendi ya Magufuli ina mapungufu basi ni vema yakajadiliwa hayo mapungufu yakaboreshwa kuliko kuweka madai mengine ya uongo kama kwamba wananchi ni wajinga sana.

Isitoshe tunajua, hakuna bus linalotoza nauli moja kwa wasafiri wote, tiketi hutolewa kulingana na msafiri anaposhukia. Ukisema Pugu utatozwa gharama yake tofauti na yule anayekwenda Kariakoo au Mbezi.

Kisha hawa hawa wenye mabus ndio wana wapiga debe! Bei ya tiketi huongezwa kwa faida zaidi halafu unaambiwa ati wanasaidia maskini wasioweza kupanda Dart au Daladala.

Inawezekanaje bus linatoka Kigoma na samaki wamefungiwa kwenye buti la bus halafu anapelekwa Mpaka Kariakoo sokoni, waseme ati msafiri anasaidiwa! Samaki kwenye buti la mizigo na masanduku ya nguo za watu unasema unamsaidia nani?

Kisha Hakuna mzigo unaosafirishwa bure hata ukituma kikasha cha ubuyu utatozwa gharama ya usafiri.

Ifike pahala Watanzania tuache mazoea, tujifunze kuishi kwa Sheria na taratibu zilowekwa ndio Ustaarabu. Kutetea wenye mabus ambao wanadai hupeleka wateja wao Kariakoo, Chanika au Mbagala BURE wakati tunajua ndiko wao hulaza magari yao ni kutufanya wananchi wote wapumbavu kutetea Upumbavu - Haikubaliki.
 
wananchi wengi hupenda maendeleo lakini huchukia mabadiliko :NoGodNo:
 
Serikali imefeli na kwenye kufeli kwake wanafachi Kwa kutisha na kukamata kamata

Haya maswala yanapoanza wanawachekea chekea tu baadae tatizo likiwa kubwa wanaleta matumbo yao mbele ya camera.
 
Kweli uongozi wa serikali hii awamu ya Sita wanapuyanga lakini na sisi tusiwe kama wao. Yaani tunabishana vitu vingine vya kupuuzi kabisa. Hawa jamaa kupigania kutokwenda Magufuli lazima kuna kitu hawasemi ukweli. Utasikia hakuna vyoo vya kutosha, wakati huko Shekilango hakuna hata kimoja! Yaani sababu za kipumbavu kabisa. Nenda Shikalango leo uone kunavyopendeza ilikuwa kama garage za magari makubwa..
 
Nimefuatilia sana mijadala mingi inaoendelea kuhusiana na tamko la Serikali juu ya mabus ya Usafiri Mikoani na matumizi ya Stendi ya Magufuli.

Ni hivi, miji yote mikubwa duniani ina Kituo kikuu cha Usafiri wa mabus au treni (Central Station) ambapo mabus yote hufikia pale kisha kuna usafiri wa ndani ambao kwa mji wetu wa Dar kuna usafiri wa Dart, taxi, Uber, Daladala na kadhalika ambao kazi yao huunganisha safari za abiria kule waondako.

Hii ni mipango miji inayolenga uboreshaji wa huduma, kupunguza msongamano wa magari mijini na usalama wa wananchi barabarani. Msafiri wa bus hawezi kuwa na haki zote barabarani pasipo kuzingatia watu wengine katika biashara zao.

Sii kila mfanya biashara ya Usafiri ana mabus ya kwenda Mikoani wengine shughuli zao huishia mjini na ndio riziki zao zinavyopatikana na mzunguko wa fedha unavyotakiwa. Hatuwezi kuondoa Umaskini nchini kwa huruma na sadaka za uongo wakati hawa ni wafanya biashara sio NGOs.

Ikiwa Stendi ya Magufuli ina mapungufu basi ni vema yakajadiliwa hayo mapungufu yakaboreshwa kuliko kuweka madai mengine ya uongo kama kwamba wananchi ni wajinga sana.

Isitoshe tunajua, hakuna bus linalotoza nauli moja kwa wasafiri wote, tiketi hutolewa kulingana na msafiri anaposhukia. Ukisema Pugu utatozwa gharama yake tofauti na yule anayekwenda Kariakoo au Mbezi.

Kisha hawa hawa wenye mabus ndio wana wapiga debe! Bei ya tiketi huongezwa kwa faida zaidi halafu unaambiwa ati wanasaidia maskini wasioweza kupanda Dart au Daladala.

Inawezekanaje bus linatoka Kigoma na samaki wamefungiwa kwenye buti la bus halafu anapelekwa Mpaka Kariakoo sokoni, waseme ati msafiri anasaidiwa! Samaki kwenye buti la mizigo na masanduku ya nguo za watu unasema unamsaidia nani?

Kisha Hakuna mzigo unaosafirishwa bure hata ukituma kikasha cha ubuyu utatozwa gharama ya usafiri.

Ifike pahala Watanzania tuache mazoea, tujifunze kuishi kwa Sheria na taratibu zilowekwa ndio Ustaarabu. Kutetea wenye mabus ambao wanadai hupeleka wateja wao Kariakoo, Chanika au Mbagala BURE wakati tunajua ndiko wao hulaza magari yao ni kutufanya wananchi wote wapumbavu kutetea Upumbavu - Haikubaliki.
UKIMSIKIA BINADAMU YOYOTE ANA TAMANI UTAWALA WA SHERIA TAMBUA HUYO NI MPUMBAVU NA ANITHI WA AKILI ...kwa sababu neno sheria na neno haki ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa ila wapumbavu na wanasheria na wasomi wengi wanashindwa kutambua kuwa utawala wa shetia haimaanishi haki ....WENYE AKILI TUNATAKA UTAWALA WA HAKI WAPUMBAVU WANATAKA UTAWALA WA SHERIA .
 
UKIMSIKIA BINADAMU YOYOTE ANA TAMANI UTAWALA WA SJETIA TAMBUA HUYO NI MPUMBAVU NA ANITHI WA AKILI ...kwa sababu neno sheria na neno haki ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa ila wapumbavu na wanasheria na wasomi wengi wanashindwa kutambua kuwa utawala wa shetia haimaanishi haki ....WENYE AKILI TUNATAKA UTAWALA WA HAKI WAPUMBAVU WANATAKA UTAWALA WA SHERIA .
Ndugu yangu, Je unajua kama HAKI imewekwa sura ya mwanzo kabisa ya KATIBA ya JMT? Maboresho ya Katiba mwaka 1984!

Tena kibaya zaidi pamoja na kuwepo ndani ya Katiba kuna watu wanasema AMANI kwanza ili upate HAKI wakati hakuna sura wala ibara iyoyozungunzia AMANI kwa sababu Amani ni matokeo ya Utekelezaji wa HAKI.

Kwa hiyo HAKI ni Sheria Mama (Katiba) sio sheria ya Bunge wala matakwa ya mtu. Mnapokosoa tambueni pia Maudhui ya mnachosema
 
Ndugu yangu, Je unajua kama HAKI imewekwa sura ya mwanzo kabisa ya KATIBA ya JMT?

Tena kibaya zaidi pamoja na kuwepo ndani ya Katiba kuna watu wanasema AMANI kwanza ili upate HAKI wakati hakuna sura wala ibara iyoyozungunzia AMANI kwa sababu Amani ni matokep ya Utekelezaji wa HAKI.

Kwa hiyo HAKI ni Sheria Mama (Katiba) sio sheria ya Bunge.wala matakwa ya mtu. Mnapokosoa tambuelni pia Maudhui ya mnachosema
Mtu akivaa shati limeandikwa msomi, usidhani ni msomi au anajua visomo
 
anayepinga matumizi ya hiyo stendi "mpya" kuna 2 aidha ni siasa au labda haelewi vizuri khs mipango miji, hiyo stendi imewekwa kitaalamu na kwa akili kubwa kwa maoni yangu.

mabasi yote yatumiayo br. ya morogoro hayapaswi kuingia mjini abiria watashukia hapo na kuingia mwendokasi ambayo itawainggiza mjini in theory atleast, sasa tulipaswa tujadili jinsi ya kuboresha hapo kwenye mwendokasi lkn mpango ni briliant na kwa maoni yangu walioubuni na kuupanga walistahili tuzo, kwanza ukiangalia plan ya mradi wa mwendokasi kuna mpaka sehemu ya maegesho ya magari binafsi ambapo watu wanaotokea mikoani wangepaki magari (kama wangependa) na kupanda mwendokasi kuingia mjini na kuepuka foleni kwa maana mwendokasi haina foleni hivyo inakwenda faster in theory atleast klk gari binafsi au ilipaswa kuwa hivyo.

shida inakuja kwa upande wa mabasi yanayotokea kusini mtwara na lindi hao hawakupaswa kwa maoni yangu kulamizishwa kutumia hiyo stendi ya mbezi kwani ni itakuwa counterproductive ilipaswa wajengewe stendi yao huko tena sasa hivi mwendo kasi imeshafika huko mbagala pia, hivyo hao wa kusini wanastahili kuwa exempted kutumia hiyo stendi ya mbezi ...
 
anayepinga matumizi ya hiyo stendi "mpya" kuna 2 aidha ni siasa au labda haelewi vizuri khs mipango miji, hiyo stendi imewekwa kitaalamu na kwa akili kubwa kwa maoni yangu.

mabasi yote yatumiayo br. ya morogoro hayapaswi kuingia mjini abiria watashukia hapo na kuingia mwendokasi ambayo itawainggiza mjini in theory atleast, sasa tulipaswa tujadili jinsi ya kuboresha hapo kwenye mwendokasi lkn mpango ni briliant na kwa maoni yangu walioubuni na kuupanga walistahili tuzo, kwanza ukiangalia plan ya mradi wa mwendokasi kuna mpaka sehemu ya maegeso ya magari binafsi ambapo watu wanaotokea mikoani wangepaki magari (kama wangependa) na kupanda mwendokasi kuingia mjini na kuepuka foleni kwa maana mwendokasi haina foleni hivyo inakwenda faster in theory atleast klk gari binafsi au ilipaswa kuwa hivyo.

shida inakuja kwa upande wa mabasi yanayotokea kusini mtwara na lindi hao hawakupaswa kwa maoni yangu kulamizishwa kutumia hiyo stendi ya mbezi kwani ni itakuwa counterproductive ilipaswa wajengewe stendi yao huko tena sasa hivi mwendo kasi imeshafika huko mbagala pia, hivyo hao wa kusini wanastahili kuwa exempted kutumia hiyo stendi ya mbezi ...
Shida ni uelwa tu, watu wengi wanadhani bus likitoka Kusini tuseme Mtwara na Mtwara haliruhusiwi kushusha abiria Mbagala mpaka lifike Ubungo kwanza. Siodhani kama ndivyo ilivyo.

Hata ukitokea Dodoma au Mwanza unaweza shusha abiria Ruvu, njiani kuna vituo vidogo kama reli ilivyo. Reli ya SGR kutoka Dar hadi Kigoma ina vituo njiani haina maana SGR ikitoka Dar haisimaminl popote mpaka Kigoma lakini inajulikana kuna kituo Kikuu Dar na Kigoma.

Isitoshe mkuu wangu hata hilo bus la kutoka Mtwara linaweza kuwa na abiria safari yao inaishia Tegeta, Ubungo au Kimara! Ukimshushia Mbagala watawezaje kufika makwao? Swali linarudi palepale, tunacheza mchiriku.

Kinachotakiwa hapa Stendi ya Magufuli ndio mwisho wa safari za mikoani kuja Dar on main roads. Haina maana bus likifika Chalinze lisisimame pale kushusha abiria wa hapo mpaka wafike Magufuli stand , sio kweli ni upotoshaji tu kutaka sababu ambazo hazijengi.
 
Wafanyabishara ndo hao hao Wana influence maamuzi ya kisiasa na kiutawala.

Hebu fikiria ndani ya jiji kuna ICD's tena zimejaa kibao na kuleta msongamano mkubwa jijini, kwanini wasipeleke kule kwala magari yote yaishie kule kule, yaani unakuta Pembeni mwa barabara tena mtaani kuna ICD na malori yamepaki, hizo zitakuwa ni double standards za ajabu kabisa, kama tumeamua tufuate Sheria basi twende huko mazima...
 
Shida ni uelwa tu, watu wengi wanadhani bus likitoka Kusini tuseme Mtwara na Mtwara haliruhusiwi kushusha abiria Mbagala mpaka lifike Ubungo kwanza. Siodhani kama ndivyo ilivyo.

Hata ukitokea Dodoma au Mwanza unaweza shusha abiria Ruvu, njiani kuna vituo vidogo kama reli ilivyo. Reli ya SGR kutoka Dar hadi Kigoma ina vituo njiani haina maana SGR ikitoka Dar haisimaminl popote mpaka Kigoma lakini inajulikana kuna kituo Kikuu Dar na Kigoma.

Isitoshe mkuu wangu hata hilo bus la kutoka Mtwara linaweza kuwa na abiria safari yao inaishia Tegeta, Ubungo au Kimara! Ukimshushia Mbagala watawezaje kufika makwao? Swali linarudi palepale, tunacheza mchiriku.

Kinachotakiwa hapa Stendi ya Magufuli ndio mwisho wa safari za mikoani kuja Dar on main roads. Haina maana bus likifika Chalinze lisisimame pale kushusha abiria wa hapo mpaka wafike Magufuli stand , sio kweli ni upotoshaji tu kutaka sababu ambazo hazijengi.

lengo au moja ya malengo ya kujenga stendi nje ya mji ni kuzuia mabasi kuingia mjini kupunguza msongamano hivyo kwa kutumia logic hiyo kwa maoni yangu stendi ya mbezi ilipaswa ihudumie mabasi yanayotekea kaskazini i.e kutumia br ya morogoro na yale ya ktk kusini mtwara na lindi basi yawe na stendi yao pia labda nje ya mbagala halafu pia iunganishwe na mwendokasi ambayo tayari imeshafika mbagala khs abiria wa tegeta anayetokea kusini mtwara hilo ni gumu na ndiyo maana dar kwa maoni yangu haikupaswa kuruhusiwa kukuwa zaidi ya iliyvokuwa original i.e wilaya 3 ilala, kinondoni na temeke kwa sababu ya changamoto kama hizo lkn kama mabasi ya ktk kusini ni lazima yafike mbezi yatapitia wapi sasa kama siyo kuingia mjini na kusababisha foleni pia?

i mean, ni ngumu kumridhisha kila mtu na ndiyo maana tulipaswa treni ya Mwakyembe (a brilliant man) kuinvest fedha kulikuwa na treni iliyokuwa inatoka kwa mfano ubungo mpaka town nyingine inatokea pugu hizi zote zilipaswa kuboreshwa ziunganishwe na vituo vya mwendokasi hii ingesaidia sana ...
 
Unamaanisha kuwa niktokea mtwara wakati nishi mbagala basi nisishukie mbagala niende hadi mbezi then nirudi mbagala kwa mwendo kasi?au wanishushe mbagala then wandelee na safari yao kwenda Magufuli?
 
Final destination ya mabus yote ni Magufuli stand, pale itafanyika ukaguzi wa safety issues, utoaji wa huduma mwanzo na mwisho. Ndoa changamoto zote za wapiga debe na tiketi za magendo. Sioni kosa la kuwepo maduka maadam usafi unazingatiwa.

Kama nilivyosema Bus linalotoka Mtwara linasema Mtwara - Dar sio Mtwara Mbagala, likiishia Mbagala watalalanika wanafika hadi Tegeta , Ubungo na Kimara. Isitoshe wente Mabus wanajua kuna sehemu hazina wasafiri wengi kama Daladala wanavyojua.

Tukilazimisha vituo kila pahala kwenda.mikoani kuna stand zinabaku wazi, wenye mabus watahamia eneo wanalopenda wao.

Tuwe makini sana na Usalama wa watu badala ya Biashara, ndio yale yale tuna club na Bar mpaka makazi ya watu kwa sababu hatufuati aheria ya mipango miji. Kariakoo sasa hivi kuna nyumba wanajenga underground (basements) tokea msingi wa zamani, nyumba zinaanguka watu wanakufa! Sababu ati convenience ya wanunuzi na wafanya biashara bilamkujali wapangaji wanaishi katika majumba hayo!
 
Unamaanisha kuwa niktokea mtwara wakati nishi mbagala basi nisishukie mbagala niende hadi mbezi then nirudi mbagala kwa mwendo kasi?au wanishushe mbagala then wandelee na safari yao kwenda Magufuli?
Hapana bus lina vituo vidogo njiani kuelekea Magufuli stand kama ilivyo kwa treni. Vituo vidogo mbona vipo miaka yote? mnajichanga kivpi yaani.

Kwa hiyo Bus likifika Mbagala sijui Mtoni kuna kituo kidogo (somewhere) hapo wanashuka wa Temeke, Mbagala n.k.

Lakini bus halitaishia hapo wala halitaanza safari zake Mbagala kwa sababu wasafiri wanaotoka ama kwenda Mtwara wapo Kinondoni, Mbezi, Tegeta, Kimara na.maeneo mengine nao watalalamika Stand kuwa Mbagala ni mbali kwao. Kurahisisha yote kituo kikuu (Central Station) ni Magufuli terminal

Bus likitoka Mtwara mwisho wa safari yake ni hapo na litaanzia hapo kwenda Mtwara sii vibaya likisimama Mbagala kuchukua abiria wengine wa eneo hilo wala sii kosa kushusha abiria vituoni kwa wanao komea njia kabla ya kufika Mtwara. Ila Mtwara ndio.mwisho wa safari nao kutakuwa na stand yake mabus yanapoishia.

Ndivyo ilivyo kote duniani vituo vidogo njiani (on the way) vipo na vinajulikana. Wa Temeke atalazimika kwenda kituo kidogo cha Mbagala popote kilipo lakini safari ya bus haianzii hapo.

Nina hakika, Ukisema lianzie Mbagala halafu ikaonekana hakuna Biashara bus halijai, wataenda eneo jingine lenye biashara ya kwenda Kusini. Ni muhimu tuwe organised katika jambo hili, Kinachobadilika hapa ni Mwanzo na Mwisho wa safari tu.
 
Mbona Airport wanaenda Suala la stand ya Magufuli naunga mkono mara mia
 
ok gentleman, ntaingia tusomane 🐒
Tuwaulize hivi Shekilango kulikuwa karibu na makazi ya watu wote? Shekilango.kuna vyoo vya abiria? hakuna mauza nguo?

Ni uongo kusema ati walikuwa wanawapeleka abiria mpaka majumbani, yaani abiria wa Tegeta na wengine Kigamboni na Chamazi unawapelekaje baada ya kufika Dar! Wanatufanya sisi wote wapumbavu sijui?
 
Back
Top Bottom