Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao.
Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe.
Leo hii kwa kiduku inajulikana maamuzi yake ila wananchi wengi wameshaamua kama ikitokea uwezi wanaweza kuondoka na...
Huu ni msimu wa kilimo kwenye maeneo mengi ya mikoa ya Tanzania, hebu ndugu zangu watanzania tutafute maeneo tulime, Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassani anagawa mbolea za ruzuku za kutosha huku mikoani.
Miaka 20 - 40 si miaka ya kuishi kwa kumtegemea mtu, au kuishi kwa kubet au kuishi kwa kulelewa...
Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo.
Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani ya siku hizo tatu. Bila shaka kitendo hicho kilimsononesha na kumuudhi sana.
Usiku wa oct 31...
Baada ya matukio ya MO29 (Oktoba 29) na sasa tukiwa tunaelekea kwenye maandamano ya D9 (Desemba 9), hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya vita yamenifanya kuwa makini sana.
Mijini hali ni ngumu. Huwezi kutulia wakati mambo yanapowaka...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Tulikuwa tunamcheka ayatollah kuwa anaishi kwenye mashimo kama panya
Lakin angalau yule mzee wa kipesian ana maadui kutoka nje
Huyu wa kwetu anaishi mashimoni kama panya na maadui zake ni WA ndani
Kwa taarifa zilizopo sasa wamemkalibia...
Wahuni na mafisadi wanampago wa kuzima mtandao ili kufanya uchafuzi wao gizani, wameona kuwa mitandao itaeneza haraka mipango ya maandamano, kura fake, rushwa katika uchafuzi huo, na uonevu na matendo ya kinyama ya poliCCM dhidi ya raia Wema
Naona hawa wahuni na mafisadi wanajipalia Mkapa...
Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
MALENGO MAKUU YA VITA NI KUISHI NA KUSHINDA; SIO KUJITOA MHANGA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Unapoingia kwenye vita yoyote jambo la kwanza unapaswa kuangalia uwezekano wa kuishi upo. Kuyalinda maisha yako. Hilo ndilo jambo la kwanza.
2. Jambo la pili, kama uwezekano ni mdogo je kuna...
Vijana wa Morocco wameingia barabarani, wanakiwasha, ifahamike hawa vijana wa Gen Z huwapumbazi kwa chochote, hata utumie dini hawatakuskliza, boresha uchumi na mifumo tu basi................
A lot seems to be riding on a speech by Morocco’s King Mohammed VI before politicians on Friday, to...
Najua ni moja kati ya maswali ambayo yanawasumbua baadhi ya vijana wakiwaza wanaenda kuishi vipi baada ya anguko la serikali ya kikoloni.
Watakula nini? watalipa vipi kodi? na je ni muda wa kuanza kutumia akili zao?
Nitaandika uzi kuhusu ajira kadhaa za muda ambazo machawa wanaweza kuanza...
Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe.
Halafu...
Maisha ya bongo ni jihadi kwa kweli! Ukiwa mkimya utasemwa unajisikia na ukiwa muongeaji utaitwa mjuaji licha ya haya usiache kuishi kwa namna yako
"MTAZAMO WAKO KWANGU NI TASWIRA YAKO"
Kuna wakati utagundua ulipoteza muda kuwa na hurka ya kuridhisha watu, ulipoteza muda kuhukumu wasioendana...
Ningependa kujifunza kuhusu watu wanaoishi milimani katika jiji la Mwanza.
Nini hupelekea watu masikini kwenda kujenga na kuishi juu ya hii milima ukizingatia Mwanza bado ina maeneo makubwa tambarare?
Materials na vifaa vya ujenzi huwa vinafikishwaje juu ya vilima ukizingatia kuwa havina...
Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu.
Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii.
Watu wengi wanaishi katika double power mindset. Yaani Wanaamini ziko NGUVU mbili zinashindana zenye uwezo unaokaribiana. Moja ya Mungu...
📸Tokyo, Japan
NB: Mada hii imekuwa direct translated from English to Swahili kwa kutumia ChatGPT 4
Chini ya mradi ujulikanao kama JICA Africa Hometown Initiative, Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA) limeweka miji ifuatayo nchini Japan kuwa "miji ya nyumbani" kwa raia wa baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.