kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti kuhusu ufisadi unaoendelea huko Zanzibar

  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna salam wala msaada kutoka nchi zinazotuzunguka kuhusu janga lililotokea huko Katesh Manyara?

    Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu. Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu? Lakini pia hakuna...
  3. R

    JamiiForums Tanzania CCM wakataa Baba yake Sabaya kuhojiwa kuhusu kuchoma nyumba za Wamasai akiwa DC, wasema hilo siyo swali

    Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo. Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM. Leo Mzee...
  4. JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu DeX na CeX pamoja na hasara na faida Zake katika Cryptocurrency.

    Kama unapitia thread hii naamini unaelewa kuhusu cryptocurrency kwahiyo sitaelezea kuhusu introduction to Cryptocurrency kwasabu naamini hizo mada zipo humubau waweza kuzikuta Google. Katika Cryptocurrency wadau wengi wamekua wakiamini ni njia Moja salama zaidi ktk kufanya miamala salama na...
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi, Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake. DF...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa safari za nje ya nchi naombeni kueleweshwa hapa kuhusu Yellow fever card

    Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani. Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu Akuzamu International Church

    Wasalaam wana jamvi Nimekuwa nikipita bango la Akuzamu International Church maeneo ya njia panda ya Bahari Beach kila mara. Naomba kujua zaidi kwa mwenye undani au ufahamu wa hili kanisa. Asanteni.
  8. JamiiForums Tanzania Kosa alilofanya Mgunda Simba ni Kuongea na Mo kuhusu mkataba kamili kihalali kabla viongozi hawajaweka cha juu

    Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji. Mo akaona huyu ndio anayefaa sasa. Kwasababu viongozi hawakupata cha juu zikaanza figisu. Kuchonganishwa na baadhi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Fundi Samico kuhusu ukamataji wa makahaba kiufundi; Tujifunze pamoja

    Heshima kwenu ndugu zangu! Nashawishika kuandika maoni haya Leo nikitambulika kama fundi Samico, Fundi bora kabisa wa umeme na ujenzi kwa bei nafuu kwa watu wote na taasisi! Wateja wangu ni wengi wakiwemo hata makahaba wenyewe! Napatikana kwa simu 0711756341 au Instagram tafuta...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye swala lolote kuhusu Technology ya AI

    Mwenye swala lolote katika maswali ya AI ili tuweze kushare knowledge
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mbao nzuri za kujengea makabati ya jikoni ukutani

    Habari za humu? Nilikuwa naomba kujuzwa mbao gani ni nzuri kwa kujengea makabati ya ukitani na pia Jikoni. Natanguliza Shukurani
  12. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu dawa za PEP

    Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
  13. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi. Kwanza awali wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    Iko hivi 1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar. 2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira. 3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuzua taaruki kuhusu Afya ya Makamu wa Rais wapuuzwe sawa na wanaozusha kujiuzulu kwa KM CCM

    Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Dar es Salaam nenda Mbagala katatue mgogoro mliouanzisha kuhusu soko la Zakhiem

    Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli. Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Ujenzi

    Wakuu habari za wakati huu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Kupambana na Mungu kuniwezesha kupata kiwanja. Natamani sana kwa mwaka ujao Mungu anisaidie nianze ujenzi. Ila ningependeza nianze na vyumba viwili kwanza (chumba na sebule) ili ni niweze kuhamia kwangu kwa kuwa bado...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

    Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards! Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina! 1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa! 2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia...
  19. JamiiForums Tanzania Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
  20. JamiiForums Tanzania Je! ni njia gani za kashfa za matapeli wa forex? Jifunze kuhusu njia hizi ulinde pesa zako.

    Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku. Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…