kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Treni ya umeme

    Habari wakuu! Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Employee Equity Incentive Plan

    Equity incentive plan ni mipango ya Motisha ya Ushiriki iliyoundwa na makampuni kutoa motisha kwa wafanyakazi wao kwa kutoa hisa au chaguo la kununua hisa kama sehemu ya malipo yao. Mipango hii inalenga kumfanya mfanyakazi ajisikie kuwa sehemu ya mafanikio ya kampuni na kumtia moyo kufanya kazi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

    Kama nilivoahidi kuwa leo Jumatatu tarehe 26/02/2024 naanza mchakato wa kuwashitaki hawa watu. Nimeanzia TCRA ambako nimepeleka malalamiko yangu, Majibu ya TCRA ni kwamba wao hawahusiki kwa sababu hasimamii watu bali wabasimamia makampuni ya mawasiliano. Hii kidogo imeshitua hivo ikabidi niende...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeweza kutoa ushauri mzuri kwa Watanzania kuhusu mtindo wa maisha (lifestlye) ni Rais Mstaafu Mzee Ali Mwinyi

    Mungu amemjalia maisha marefu mzee wetu huyu, mpaka sasa anaikaribia miaka 100. Pamoja na kuwa tunasema ni kwa neema na kudra za mwenyezi Mungu lakini nina uhakika kuna mambo huwa anaepuka kuyafanya ama huyafanya kwa kiasi mpaka kuufikia umri huu. Basi ni muda umefika mzee wetu aulizwe ili...
  5. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kufilisika na Umaskini/Ufukara

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na jitihada zenu za kujenga uchumi binafsi na wa Taifa. Kwa heshima na taadhima kabisa nimeona leo nilete mjadala kuhusu Mtu aliyefilisika au kwa lugha ya mtaani Kufulia na Mtu Maskini/Fukara.Lengo la kuleta mjadala huu ni ili...
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito. Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine. Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito? Zitaje upate undani wake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

    1. Hamuwezi mechi za kimataifa 2. Medali ya kombe la looser 3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana 4. Sio Shirikisho huku. NB Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

    Friends and Our Enemies, Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo. Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi wanatoa tamko muda huu, kuhusu ardhi

    23 February 2024 Morogoro, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Z53l5mEXWwU Migogoro ya ardhi kutokana na wingi ya idadi ya watu nchini, matumizi ya ardhi kwa kilimo na ufugaji yanatakiwa kupatiwa ufumbuzi wa haraka. Pia ufafanuzi wa umiliki wa ardhi elimu ya uraia yatolewa na bunge la...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wangu wa chama na Serikali kuhusu ahadi za umeme

    Sasa ni dhahiri kuwa suala la umeme linakitweza na kukiaibisha chama tawala-CCM. Pia, umeme unaitweza na kuiaibisha Serikali iliyopo madarakani. Umeme unakatikakatika. Umeme haueleweki. Umeme hauaminiki. Umeme hauzoeleki. Umeme unagawiwa. Unaleta athari kubwa kwa wananchi na kwa nchi. Mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Alichokisema Rais mstaafu Kikwete kuhusu Sukari na Umeme

    Wakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho la changamoto hizo kwa kuwa ni mambo ya kawaida kwenye uongozi. Kikwete amesema anachoonyesha Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria ana upeo mdogo kuhusu haki, aache kupotosha jamii

    JOYCE KIRIA ANAUPEO MDOGO KUHUSU HAKI, AACHE KUPOTOSHA JAMII. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Baada ya kuishiwa kifurushi nikajikuta nipo Channel 10, huko nilikutana na mwanamama aitwaye Joyce Kiria ambaye kwa mazungumzo yake ni dhahiri anapotosha jamii. Joyce Kiria elewa kuwa kwenye nchi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mambo yako yakaenda vibaya sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu?

    Naomba kuuliza hivi Mambo yako yanaweza yakaenda vibaya kila unachofanya kisifanikiwe kwa sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu waliotangulia? Yaani kuwakumbuka kwa kufanya ibada? Je, kuna mahusiano?
  14. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna haja ya kumlaumu Rais Msataafu Jakaya kikwete Kuhusu ugombea Urais wa hayati Edward Lowassa na kupatikana Magufuli

    Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi? Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole? Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe. Lakini Inawezekana pia mfumo...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP

    Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema kutokana na jitihada za Serikali na wakandarasi, kwa mara ya kwanza jana Februari 15, 2024 yamefanyika majaribio ya kuwasha...
  16. JamiiForums Tanzania Siku hizi Makanisani 90% mahubiri ni kuhusu Sadaka Sadaka Sadaka!

    Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena. Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi...
  17. JamiiForums Tanzania Shairi: Swala la Umeme na Bunge wahenga wanasema "Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"

    Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"(Mmetupunguza Ubongo,Mnatuchuza Hadharani) Achutama zivukapo, mwerevu zake 'zo Nguo, Kuinama aketipo, soniye ndio chaguo, Tena hata aitwapo, huitika kwa rudio, Mmetupunguza Bongo, mwatuchuza Hadharani. Mwatuchuza Hadharani, mmetupunguza Bongo, Wengine...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa?

    Mambo vipi wakuu? poleni na majukumu. Naomba kuuliza mwenye kufahamu, hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa? Maana kwenye siku za hivi karibuni nimejaribu sana kufungua account lakini system inagoma...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hii PA ya leo kuhusu maandamano, hamna mtu ambaye atasema hakusikia

    Baada ya maandamano ya Chadema Dar kushindwa kufana kama ilivyotakiwa, sababu kubwa ilisemwa ni taarifa kushindwa kuwafikia wananchi kwa wakati. Hili tatizo haliwezi kujitokeza tena Mwanza, maana magari yamezunguka Mwanza nzima kutoa taarifa. Kila baada ya saa moja kulikuwa na gari linapita...
  20. JamiiForums Tanzania Hoja ya Mpina kuhusu upasuaji wa kuongeza makalio yazua mjadala Bungeni

    MJADALA mkali umeibuka bungeni kuhusu upasuaji kurekebisha maumbile, ikiwamo kupunguza au kuongeza ukubwa wa makalio katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa (CCM), ndiye aliyeibua zogo bungeni jijini, alipotoa hoja kwamba MNH-Mloganzila imeanzisha huduma hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…