BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,377
- 8,121
Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.
Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.