kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ishu nzito kama hii ya Magendo, Bangi, ulevi, dawa za kulevya Mbunge Dkt. Charles Kimei amechemka

    1. Ku address issue nzito kama hii ya magendo, ulevi, dawa za kelevya (narcotics) kwenye Bunge inahitaji umahili wa hali ya juu sio kutoa tu statements na kusema huu ni ukweli. Hapo Dr Kimei alitakiwa atoe matamshi yake kama "facts" zenye supporting data, yaani "facts and figures". Yeye kama...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Nape Kuhusu Uchunguzi wa Akaunti ya Deni la Taifa

    Hoja ya Mhe. Nape (MB) Bungeni kuhusu kukaguliwa akaunti ya deni la taifa sina shida na hoja na anazo haki zote kwa mujibu wa Katiba, sheria na kanuni za Bunge, isipokuwa nachelea kuamini kwamba uzito wa hoja hii unaweza kutambuka wigo wa mhimili wa Bunge na kuleta shida kwenye mhimili wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kukiri kwa viongozi wa CCM kuhusu Maalim Seif kutufumbue macho kuhusu kinachoendelea kwa Wapinzani nchini

    UKIRI WA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAKE KUHUSU MAALIM SEIF, UTUFUMBUE MACHO KUHUSU YANAYOENDELEA KWA FREEMAN MBOWE NA WAPINZANI WENGINE! Tulikuwa Zanzibar kuhudhuria Uzinduzi wa Maalim Seif Foundation. Tuliwasikiliza vizuri viongozi waandamizi wa CCM na Serikali yake, wastaafu na waliopo...
  4. JamiiForums Tanzania Seif foundation Lengo kuu ni kuenzi fikra za Hayati Maalim Seif... Vipi kuhusu kuenzi fikra za Magufuli?

    Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma) Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana.. Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mbingu na urembo wa wanawake au mitindo ya fashion

    Hello ni mimi tena BINADAMU MTAKATIFU natumai mu wazima wa afya, Leo bwana nataka tusemezane kuhusu zaidi utakatifu na mbinu za adui(Ufalme wa giza) Kuna watu wengi ambao wamepotoshwa sana leo sitazungumzia dini ila kwa kiasi nwenye akili atatambua lililo sahihi sio kila mtu atakwenda mbinguni...
  6. N

    JamiiForums Tanzania RC Makalla umeyamaliza ya wamachinga, lakini vipi kuhusu Mbuzi wazururaji wa Dar?

    Wote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria. Hiyo sawa; lakini kuna suala hili la mbuzi wa Dar ambao wanajichunga wenyewe Magomeni, Mbagala, Mbezi, Shekilango nk ambao nao wanaleta uchafuzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Doroth Gwajima, Wazazi na Wanafunzi tunasubiri ahadi yako kuhusu hatma ya waliovujisha mitihani ya utabibu

    Habari JF Serikali kupitia Wizara ya Afya ilitoa taarifa kuwa ipo katika hatua za mwisho kuwachukulia hatua wote watakaobainika walihusika katika kuvujisha mtihani wa kitaaluma wa mwaka wa pili wa matabibu pindi tu ripoti ya uchunguzi itakapokamilika na kuwasilishwa. Hayo yamesemwa na Waziri...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Safari za Rais Samia nje ya nchi ziwe za kimkakati zaidi kuhusu masuala ya Utalii

    Awali ya yote Mimi ni mojawapo ya Kijana ambaye nafarijika kuona Mhe.Rais wetu akisafiri nje za Nchi na kufungua Fursa za mambo mengi ikiwemo kuitangaza, Nchi yetu kimataifa pamoja na kuvutia wawekezaji wengi kuja Tanzania pia. Lakini Kuna kitu nakiona kama hakipo sawa,kwenye suala la Utalii...
  9. JamiiForums Tanzania Dar: RC Makalla apingana na kauli ya Shaka kuhusu Machinga, asema machinga wote wamepangwa vizuri

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Wamachinga katika Jiji la Dar es Salaam limeenda salama pasipo usumbufu wowote na kusema kwa sasa ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati. "Maelekezo ya Rais Samia yalikuwa zoezi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania RC Arusha na timu yake waonesha uwezo mdogo wa kuwaza kuhusu upangaji Machinga

    Wataalamu wa serikali ya awamu ya tano wa Jiji la Arusha wameona wawapange wamachinga kwa mfumo huu 1. Soko la Mbauda litakuwa la nguo za mitumba. 2. Soko la Machame Luxury litakuwa la vyombo na vifaa vya umeme. 3. Soko la Ulezi litakuwa maalumu kwa nguo za dukani. 4. Soko la Kilombero...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana kuhusu kazi

    Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa 1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar

    Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam. ===== CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini CHAMA Cha...
  13. JamiiForums Tanzania Nidokeze haya kuhusu Trekta za South Afrika

    1. Nawezaje kuagiza trekta used toka South Afrika. 2. Ni kampuni ipi ya South Afrika ni ya uhakika kwenye kuuza hizo machine 3. Gharama ya kusafirisha mpaka Bongo inaweza kuwaje? 4.Nimeona wanauza Massey MF 290 4WD. Hizi ni MF za namna gani maana nimezoea MF 290 ni 2WD. Kuna kipindi nilichat na...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu matokeo ya darasa la saba yaliyozuiliwa (withhold)

    Habari za leo wadau wa jf ,bila shaka weekend imekaa poa. Naomba mwenye uelewa kuhusu kushikiliwa (withhold) kwa matokeo ya darasa la saba kwa baadhi ya shule ,je ni nini hatma ya wanafunzi na vituo vilivyofungiwa? Naomba mwenye uelewa wa mambo hayo.
  15. JamiiForums Tanzania Tuzungumze kidogo kuhusu Supreme Maestro Ndalla Kasheba

    Mwaka huu imetimia miaka 17 tangu tumpoteze gwiji wa muziki mnamo mwaka 2004 na kuzikwa makaburi ya kinondoni. Nataka tujadili uwezo na mchango wa Ndala Kasheba kwenye muziki wa Tanzania. Kwa kuanza nataka tuwekane sawa kuhusu baadhi ya kazi zake. Mfano wa Kwanza ni Wimbo wa kumuaga mama Maria...
  16. JamiiForums Tanzania Tujadiliane kuhusu mitihani ya "Sat" ambayo kwa muda mrefu imekuwa siri ya wachache

    Nilikuwa nataka kufatilia zaidi ila huyo mtu aliekuwa anajua hizi ishu na kufanikiwa kuvusha ng'ambo ndugu zake kadhaa aligeuka kunikatisha tamaa wazi wazi, ndipo nilipojua hii kitu wachache waaifanya iwe siri ili watu wao wa karibu pekee ndio wasome nje kirahisi kwa kuhofia ushindani wakijua...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu kesi ya Mbowe: Jaji Luvanda, Siyani, Tiganga, wamesoma darasa moja UDSM, pia wamesoma pamoja na Deputy DPP!

    Je wajua? Jaji Luvanda, aliyekataliwa na Mbowe, Jaji Siyani aliyejitoa, na Jaji Tiganga, anayeendesha shauri sasa, wote walianza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2000, na kumaliza 2004. Na pia walisoma na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Nchi ya Tanzania JP Tunajua wajua lakini tutaendelea kukujuza
  18. JamiiForums Tanzania Nipo mwambao wa Ziwa Tanganyika, uliza chochote kuhusu Kigoma utajibiwa

    Mwitongo hotel, Kigoma, Tanzania Karibuni Kigoma, Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa. Umepakana na Burundi na Mkoa wa Kagera upande wa Kaskazini, mikoa ya Shinyanga na Tabora upande wa mashariki na Mkoa wa Rukwa upande wa kusini. Magharibi umepakana na Ziwa Tanganyika penye mpaka na Jamhuri ya...
  19. JamiiForums Tanzania "Katiba, Katiba, Katiba...", msikilize Jaji Warioba kuhusu Katiba mpya

    Wanajukwaa, Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
  20. JamiiForums Tanzania Najikumbusha kuhusu Uchaguzi was 2015

    It was the dream that . I had. Niliota sayari zinazunguka jua na miezi inazunguka sayari,like watching inside a clock. Halafu all those celestial bodies started rotating backwards. After rotating backwards for some time,again they started going forward . Ndipo hapo kati ya watoto watatu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…