Huu ujumbe kwenye social Media kuhusu COVID 19 ni wa uhakika?

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,130
721
Kuna huu ujumbe ambao umekuwa ukizunguka kwenye social media. Please mwenye kutoa clarification

"Habari za jioni wapendwa! Hongereni kwa kazi.Nawasihi madaktari wenzangu tujikinge na hili gonjwa,dalili za wave hii zipo so vague.wagonjwa wengi waliokuwa wamekuja Leo clinic waliokuwa wanalalamika mgongo,kiuno,shingo kuuma na mwili kuuma.hakuna aliyelala Mika kifua,au kukohoa,na nilipofanya rapid test ya Corona ig G na IgM zmekuja positive na chest x-ray inaonyesha features suggestive of viral pneumonia. Tujikinge tujilinde.

BE WARNED "From: A DOCTORS' GROUP KMA
 
Hii ni hatari sana, watu wanadondoka kimyakimya.

Kwani Chanjo imefikia wapi?
 
Kwenye Awamu Yangu Maneno Matamu Sitayasema Mimi
Ngojeni Huyo Atakayewabeleza Ninyi 🙄😶😑😐
 
Kwani humu hamna Madaktari wakathibitisha kama wanawafahamu hawa KMA group na kwamba huu ujumbe ni wa kweli? Tusaidieni basi hasa kwenye mabadiliko ya dalili za ugonjwa wa COVID 19 kutokana na kirusi kipya.
 
Bado wana hofu ya Mzee bab wanadhani watadakwa
 
Back
Top Bottom