kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakati watoto wa masikini mnabishana kuhusu Simba na Yanga, matajiri na marafiki zao wanasiasa wanawagawia ajira nzuri watoto wao

    Nawakumbusha tu vijana. Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao. Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kubadili vyeti NACTE

    Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja. Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na cheti chake, means tupate cha NTA level 5 na NTA level 6 badala ya cheti kimoja kinachojumuisha...
  3. JamiiForums Tanzania Kisa Cha Mume, Mke jeuri na Punda kimenichanganya kuhusu sala la ndoa

    Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu chochote. Wakati pekee aliopata nafuu ni ule wakati aliokuwa nje shambani akilima na punda wake mzee...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NACTE

    Naomba msaada wa uelewa kwa wale wanafunzi walio hitimu vyuo vya kati ngazi za diploma na wakawa wamepata vyeti katika mfumo wa NON NTA. Kwa maana nyingine walio soma certificate mwaka mmoja na kupata cheti kisha wakasoma diploma miaka miwili na wakapata cheti pia kimoja. Je, watu hawa...
  5. JamiiForums Tanzania Elimu kwa Ally Kamwe na Ahmed Ally juu ya hamasa viwanjani siku za mechi

    Inasemekana kuwa Shabiki ni mchezaji 12 wa timu wakati wa mechi, hivyo Ally Kamwe na Ahmed Ally wasemaji wa Yanga na Simba wanafanya kila jitihada ya kuwataka wanachama na mashabiki wa timu hizo washangilie mwanzo mwisho wa mechi zao muhimu. Hata hivyo sayansi ya akili na tabia ya mtu inamtaka...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI BAKITA waonya kuhusu maneno Famasiala, Fautani

    Nimeona mtandaoni barua ikizunguka kuwa BAKITA wameonya kuhusu matumizi ya maneno kama Famasiala, Famchezo, Fautani nk
  7. JamiiForums Tanzania BAKITA yaonya kuhusu maneno kama Famasiala na Fautani

    BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu. Limeshauri watumiaji wa Kiswahili kutumia maneno “Unafanya mchezo nini, Unafanya...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kusafirisha parcel kutoka Marekani

    Salaam wakuu. Naomba kusaidiwa na yeyote humu ambaye ni mzoefu wa kusafirisha percel kutoka Marekani kuja Tanzania, kwa kutumia makampuni kama DHL na mengineyo hasa napenda kufahamu gharama za kusafirisha simu, ziko mbili kutoka Ohio Cleaveland kuja Tanzania ina gharimu kiasi gani KWA uzoefu...
  9. JamiiForums Tanzania Malezi: Salamu kwa Serikali na Mashirika Binafsi

    Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana, lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu walitokea familia za aina gani? Utagundua familia hizo ni za walevi au baba...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Serikali inazungumziaje suala la wanafunzi kukaa na njaa shuleni hadi usiku?

    Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu. Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala na wakifika shule hamna uji Wala chakula na mwanafunzi ili Afike kwao Mbagara, Gongo la Mboto au...
  11. JamiiForums Tanzania Hatumfundishi kazi Rais bali tunamshauri kuhusu vitengo hivi viende wizara husika

    Umofia kwenu wana Great Thinkers. Nilianzisha uzi huu uitwao Rais Samia hii wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo. ambapo pamoja na mambo mengine nimeona kutenganisha uzi huo na huu ninaouweka hapa hasa kuishauri serikali kwenye masuala ya kimuundo...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Takwimu za MOI zinaonesha Lema yupo sawa kuhusu "laana" ya bodaboda

    Godbless Lema hakueleweka na watu kwa kauli yake kuwa kazi ya bodaboda ni laana. Lakini ukiangalia takwimu kutoka taasisi ya mifupa Muhimbili utagundua Lema ana point. Hapo ni Muhimbili tu, nchi nzima ni zaidi ya vijana 1500 huumizwa vibaya kwa mwezi sawa na zaidi ya vijana 15,000 kwa mwaka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamehangaika sana kutafuta ajira. Nimekaa miaka 2 mtaani mpaka nilipokuja kupata ajira mwaka huu. Kuna websites huwa zina matangazo ya ajira. Sitaki kuzitolea mfano maana sitaki kuchafua website yoyote. Na lengo la hii post sio kuchafua website yoyote ila kushare...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

    Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu. Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi. Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA mmechoka, hakuna 'consistency' ya maamuzi kuhusu Wabunge 19 waliofutwa uanachama

    WanaJf, Salaam tena! Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe amesema "Kuna baadhi ya vyombo vya habari vimevumisha kuwa sisi tumekubaliana kupeleka Wabunge 19 ambao hawakutokana na maamuzi yetu ya Chama. Ni uhuni na uvunjaji wa Sheria ambao unapaswa kupingwa na yeyote anayependa Haki" Ameongeza...
  16. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC, niliwatahadharisheni mapema mno kuhusu hili hapa JamiiForums na leo ndiyo mnalifanya acheni Dharau sawa?

    GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa (mnafanya Mazoezi) katika Uwanja wetu wa Bunju wa Mo Arena kwa sababu za ndani nilizowapa ila...
  17. JamiiForums Tanzania Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

    Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote. Kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Usihangaike na mwanamke ambaye havutiwi nawe

    Wanaume wengi huumia kwa kutokuzingatia vitu vya msingi linapokuja suala la mahusiano. Sababu hawajui wanachokitaka, wanachokifanya, hawana uzoefu. Na kuishia kuumia, kuwachukia, na kuwalaumu wanawake kwa mambo mengi. Lakini ili kuepuka hayo, na wakati unatengeneza uzoefu kwenye suala la...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu Mgombea wa nafasi ya Uweka Hazina Taifa Chama cha Walimu Tanzania Protas Magesa

    Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa nafasi tajwa hapo juu Mwalimu Protas Magesa. Huyu ni mwalimu mwakilishi kwenye Kamati ya Utendaji...
  20. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu siasa za Rais Samia, Je CCM ipo tayari?

    Good morning members. Heri ya siku ya wanawake. Ukiangalia Kwa jicho la kawaida kabisa ni kwamba Mh. Rais ana ndoto ya kuona siasa za bara na Zanzibar zinakuwa Sawa 2025. Inaonekana Rais anataka kuona Serikali ya umoja wa kitaifa ikiundwa baada ya uchaguzi mkuu 2025. Kwa kwenda mbali zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…