kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

    Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali) 1. Kama mkataba una manufaa, kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu Mtanzania aliyetekwa Nigeria

    Wale jamaa zetu wa kupasua matofali kwa ukogo kwenye sherehe za uhuru, tukio kama hili ni platform pekee ya kuionyesha dunia umwamba wao kwenye special op. Nashauri wakuu ndani ya JWTZ wafanye selection, wachague vijana sita au saba 7 ambao ni the best of the bes ndani ya jeshi, wakibidhiwe...
  3. JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu EPL, nani kutwaa kombe 2023/2024?

    Nani ataweza kutwaa hili kombe la premier League season ya 2023/2024??? 1. Manchester City 2. Arsenal 3. Manchester United 4. Liverpool 5. Chelsea 6. Newcastle 7. Brighton 8. Tottenham
  4. JamiiForums Tanzania Mwakilishi wa Kampuni ya N-Card: Taarifa inayosambaa kuhusu Yanga SC kuizidi Simba SC mapato ni Uwongo

    "Moja ya Makubaliano ya Kisheria tukiingia na hivi Vilabu vya Simba na Yanga katika Matamasha yao ni kutotaja Mapato yao na hiyo Taarifa inayosambaa kuwa Sisi N-Card tumesema Yanga SC imeizidi Simba katika Mapato ya Matamasha yao ni ya Uwongo na ipuuzwe imeandikwa na Waandishi Wahuni" amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Kuhusu Moses Phiri naomba nisiwe mnafiki

    Haya mambo ya kuzunguka zunguka hayafai kwa sababu muda unaenda kasi sana. Siwezi kujifanya sijashtuka Phiri kukalia bench dakika 90. Ni uongo. Kila mtu kaona kikosi cha kwanza huku majembe mengine yakiwa pale bench. Baadae wakapewa nafasi wachezaji wa kawaida na wakali kama kina Ngoma. Halafu...
  6. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Simba day hasa dakika 90 za mchezo

    Timu zote mbili zimecheza vizuri sana. 1)Ukuta wa Chemalone+Inonga mmh ni balaa. Uyo Malone ana jicho haswa 2)Kwenye kiungo naona nafasi ya Ngoma dhidi ya Mzamiru 3)Mganga wa Baleke anafanya kazi nzuri kumweka benchi Moses Phiri. 3)Chama kwa uwepo wa Onana na kuongezeka kwa Ngoma mmmh...
  7. JamiiForums Tanzania Kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?

    Ni kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?
  8. JamiiForums Tanzania Mikopo ya elimu ngazi ya Diploma inawezekana?

    Je ni kweli inawezekana kupata mkopo kwa anayeenda kusoma stashahada?
  9. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Wakosoaji hawamtendei haki Paul Kagame

    Jenerali Ulimwengu alitoa kauli hiyo wakati akihojiwa na chombo Cha habari kinachofahamika kwa jina "chanzo". Jenerali Ulimwengu aliunga mkono ukandamizaji demokrasia unaofanyika Rwanda kwa kisingizio Cha mauaji ya kimbati, ambayo hata hivyo yametokea miaka karibu thelasini Sasa. Kagame amejaza...
  10. JamiiForums Tanzania Vikao vya madiwani kuhusu uhamasishaji mkataba wa bandari

    Hivi hii nchi wapi inaelekea kwa sasa, serikali itwambie hii bajeti ya vikao vya madiwani nchi nzima ya kuwawezesha na kuwaelimisha ili waende kwa wananchi kuwaeleza na kuwashawishi kuhusu mkataba wa bandari wanaitoa wapi? Hata ivyo mimi naliwe najiuliza kunani kwenye mkataba huu hadi kufikia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini ACT Wazalendo hawazungumzii mkataba mbovu wa bandari

    Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World. 1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika...
  12. JamiiForums Tanzania Leo tupeane uzoefu wako, unajua nini kuhusu huyu kiumbe vunja jungu? (Mantis) je ni kweli ana super natural kama wazungu wanavyoamini?

    Ndugu wana nzengo amani iwe kwenu. Leo kuna jambo naomba tushirikishane uzoefu limeniumiza kichwa muda mrefu sana. Katika maisha yangu nimebahatika kuishi na wazungu kwa ukaribu sana kiasi kwamba nilipaswa kujuwa ukweli wa ninachokiuliza lakini wazungu ni wagumu kufunguwa codes, ukiwauliza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Weka wazo lako la kuishauri serikali kuhusu kuboresha usafi wa mazingira

    Habari ya jioni wanaJF, Mimi kama mkazi wa DSM nimeona niweke hii thread hapa ili tuwe tunaishauri serikali jinsi ya kuboresha usafi wa mazingira tunayoishi. Ushauri serikali ifanye haya. 1. Kuongeza kodi maradufu kwenye nepi za watoto wanaoziita baby diapers... Hizi zimekuwa uchafu maeneo...
  14. JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga yavunja ukimya kuhusu kuondoka kwa Fiston Mayele

    Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuondoka kwa Fiston Mayele ni hatua ya kukua kwa soka ndani ya timu yao na watampata mbadala wake kwa kuwa maisha ni lazima yaendelee. Mayele mchezaji na mfungaji bora msimu uliopita 2022/23 ametambulishwa rasmi juzi na klabu ya Pyramids ya nchini Misri na...
  16. JamiiForums Tanzania Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

    1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar. 2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini. 3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka. 4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Azma ya Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli yakaribia, akifika Chato kesho tarehe 02.08.2023 huenda itatimia

    Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo. Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka za Mkuu wa wilaya ya Chato. Baada ya viongozi kuwasiliana na Mkuu wa wilaya naye ameridhia tukio...
  18. JamiiForums Tanzania CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tueleweshane kuhusu PREP na PEP

    Kumekuwa na hizi dawa za kupunguza wezekano wa kuambukizwa virusi vya HIV, ambazo ni PREP na PEP, je zinafanya kazi kwa asilimia ngapi? Na mbona kwenye vituo vya afya wanatoa hizi PEP lakni ni dawa hizo hizo za ARVS, je ni sahihi kwa kufanya hivyo? Na je, kama umekutana na mtu mwenye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Marekani imeanza kujihami mapema kuhusu vifaru vyake vya ABRAHAMS inavyopeleka Ukraine!! Inahofu vitaunguzwa na kutekwa na URUSI!

    Marekani imeshaanza kuonesha hofu ya vifaru vyake kutekwa au kuchomwa moto na Majeshi ya urusi kama ambavyo vifaru vya ujerumani (Leopords) vinavyochomwa moto na kutekwa huko ukraine!! Marekani inasema kuwa itavyofoa sehemu muhimu kwenye vifaru hivyo ikiogopa teknologia yake kuangukia mikononi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…